Lengo kuu la kuongezewa njia wakati wa kujifungua (Episiotomy), ni kuzuwia kuchanika kwa msamba (perineal tear) au kukaza kwa misuli kupita kiasi ambapo huweza kupelekea sehemu ya haja kubwa kuchanika.
Mama mjamzito ataongezewa njia ili kumlinda mtoto, ikiwa mtoto ametanguliza uso, makalio au...