Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Iran sasa imeamua kutumia njia ya anga kupitia uwanja wa ndege wa Beirut kusafisha silaha nzito kwa washirika wao ambao ni magaidi ya Hezbollah
Mazungumzo mazito yanaendelea muda huu huko tehran
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Live Update arrow...
Habari yenu wadau wa JAMIIFORUM.
Leo hii nataka kuwapa dondoo kuhusu MAISHA .
Watu wengi najua wanapitia magumu Sana wameomba sana Kwa MUNGU Ila wametoka 0-0 na wengine wameroga Sana Ila wametoka 0-0.
Siri iliyopo katika haya MAISHA ni (shukrani ).
Anza kuwaambia watu neno Asante na anza...
Habari
Kama Heading inavo sema, hii ni kwa watu wa safari tuu ikiwa wew huamin katika safar na upambanaji katika nchi za watu basi pita kushoto hii haikuhusu
Kwa wale wenzangu wenye ndoto za kusafir kwenda Poland, Australia, Ujeruman, Denmark, Scandinavia, UK, Canada, US na nchi nyingn zenye...
Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia.
Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa kama CUF ya Lipumba. Sisi tuna akili, nenda peke yako bwana Mbowe kulamba viatu vya Samia. Kama...
Anaandika Wakili Joseph oleshangay
freemanmbowetz anaashiria maridhiano yalikwama Kwa sababu ya negative energy kutoka Chadema “team Lissu”
Kwa sehemu kubwa ya hotuba ya freemanmbowetz , suluhuSamia is just a pure soul.
Anasema wamenunua ofisi 1.6b kutokana na maridhiano wakapewa ruzuku. Ila...
Kutokana na ongezeko la watu karibu na barabara kuu na ukuaji wa teknologia
Nafikiri ule utaratibu wa kutumia vivuko vya mistari ya pundamilia kwenye barabara kuu unaenda ukipitwa na wakati. Fikiria unaendesha gari barabara kuu ndani ya kilometa 10 unakutana na vivuko 5, ambayo vyote...
Huwa inatokea mmiliki wa biasahara hasa baba anapotangulia mbele ya haki haya hutokea,
Mke hujimilikisha mali zote na pengine yeye kahusika kwenye kifo kwa tamaa ya mali
kuna mtoto hasa wa kwanza hupenda kujimilikisha biashara yote akiamini ni haki yake
Wengine wanaolewa au kuoa majambazi...
Maneno aliyozungumza Lissu leo wakati anarudisha fomu ni mazito sana, anasema mtu aliyemleta Abdul kwake ampe pesa na akamwambia hata wengine wameshapewa pesa ndiye anagombea kuwa makamu mwenyekiti wa CHADEMA na anamuunga mkono Mbowe kuwa mwenyekiti!
Katika hili jambo kama ni kweli ni baya...
Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake.
LAKINI mimi naona...
Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake.
LAKINI mimi naona...
Miaka kumi nyuma nimemaliza zangu shule naingia mtaani sina ramani ya kipi kifanyike nitoboe kimaisha
Nikaanza harakati za hapa na pale kuchimba vyoo nipo, ukuli nipo, nk piga kazi kwa nguvu zote kila mchongo ukitokea nipo
Lakini kila nikitazama malengo na kazi ninazofanya imani ya kutoboa...
WANAPOONA UKUTA WEWE ONA NJIA 😊
Njia wanazopita mashujaa ni zile ambazo watu dhaifu waliona ukuta, jicho la shujaa sio rahisi kuona ukuta bali litaona namna ya kuruka huo ukuta 😊
Moja sababu inayofanya matajiri karibu wote waitwe washirikina ni kwa sababu walipita njia ambazo zilionekana...
Uongozi, hufafanuliwa kama uwezo wa mtu binafsi, kikundi, au shirika wa kushawishi njia mbadala na si kufuata tu njia aliyoikuta hata kama njia hiyo inaelekea kuzimu.
Hatua ya Mbowe naye kutangaza kutetea nafasi yake, mimi naipongeza kwani itakiwezesha Chadema kuitafsiri falsafa yake ya...
Bwana Baltazar wa Njombe amemtoa mwanamke utumbo Kwa kuingiza mkono wake kwenye haja kubwa kisa kunyinwa papuchi.
Haijaeleweka kama marehemu alikula hela zake au laa ila Polisi wamemtia nguvuni Kwa mahojiano zaidi.
--
Polisi mkoani Njombe inamshikilia Baltazari Sonyonda (33) mkazi wa Kijiji...
Huu uchaguzi kufanyika vibaya na udanganyifu wa maridhiano umemaliza enzi za sasa za nchi yetu kutokujielewa. Kama nchi Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa udanganyifu na uongo uongo.
Sasa baada ya haya utakuja muda wa Watanzania kulazimishwa kuchagua kwa vitendo mfumo mmoja kati ya haya...
Nawasilisha hii hoja nikiwa na nia njema. Kama kuna mwenye update atoe ushirikiano ili tufahamu ni lini huu mfumo utaanza kutoa huduma hasa katika kipengele cha Uhamisho.
Habari mara nyingi Watu wengi wanajikuta wamezaa nje ya ndoa na mwenzie kuolewa Na mnamtoto tayari.
Mtoto anahitaji malezi ya baba na mama.
Sasa njia gani unatumia kuwasiliana na mzazi wenzio aliyeolewa tayari afu utakuta huko anaishi na mtoto wako au mtoto unaishi naye sometimes mtoto atataka...
Kama umepambana na una Mali nyingi usioe.
Tafuta mwanamke uwe nae kama mpenzi tu.
Jenga nyumba Sehemu na umueleze huyo mwanamke kua umempangishia.
Umiliki wa hiyo nyumba hata kama uko kwa jina lako tafuta ndugu yako, asajili Taarifa za umeme kwa jina lake.
Inamaana hata huyo mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.