"Nikajifanyia tathmini mimi mwenywe kwamba hivi mimi Mbunge mchango wangu ni upi kwenye kuhakikisha kwamba mambo mengi yanafanyika na kwakweli nilimuambia Mke wangu nasoma hapa asisikitike maana yake hela hizi ni za familia, Njombe mumshukuru maana nayasema naye amekubali anataka tuendelee kutoa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limepiga marufuku wananchi kuandamana baada ya uwepo wa taarifa ya kuhamasisha maandamano inayotajwa kutolewa na Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) taifa, Sigrada Mligo wakati wa mazishi ya Atugafile Mtulo (90) aliyepoteza maisha baada ya kupigwa na...
Nauliza tu!
Kwa nini wageni ndio wanapanga bei ya kuuza maparachichi?
Jirani zetu wananunua maparachichi kilo shillingi elfu mbili wanaenda kuweka label product of…. Hii ni dhambi kubwa sana!
Waziri wa Kilimo na Mkuu wa Mkoa lini mtawasaidia wakulima?
Aliyekuwa Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Ramadhani Victor Kawogo amejiunga Chama cha Mapinduzi (CCM) Machi 05, 2025 katika Mkutano wa Usomaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM kata ya Ramadhani kwa kipindi cha miaka mitano 2020 hadi 2025.
Kupata matukio na...
Kutokana na kitongoji cha Dombwela kata ya Iwawa wilayani Makete mkoani Njombe kukubaliana kujenga ofisi mpya za kitongoji hicho, wananchi wamekubaliana kubadilisha sheria kwa watakaokuwa hawafiki kwenye mikutano ili irahisishe shughuli za ujenzi huo
Katika mkutano wa kitongoji hicho...
Zaidi ya shilingi Milioni 51 zilizotolewa na Mamlaka ya Elimu Tanzania TEA zimetekeleza mradi wa ujenzi wa Vyoo matundu 24 katika shule ya Sekondari Mpechi Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe na kupunguza changamoto ya watoto kuugua magonjwa yanayotokana na uchafu.
Akikabidhi mradi huo...
Katibu wa chama cha Chadema mkoa wa Njombe Baraka kivambe, amesema hawako tayari kushiriki uchaguzi ikiwa hakuna mabadiliko kwa baadhi ya mambo ambayo wamekuwa wakiyalalamikia kwa muda mrefu.
Ameeleza hayo katika kipindi cha Vitamin Asubuhi hapa Elolama Fm.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
Baada ya mtoto aliyekuwa anatoka shuleni kutumbukia mtoni wakati akivuka daraja, wananchi wa kitongoji cha Kilovoko kijiji cha Tandala wilayani Makete mkoani Njombe wameamua kufanya matengenezo ya eneo hilo ili lipitike kwa urahisi
Wananchi hao wakiendelea na matengenezo Februari 22, 2024...
Zaidi ya shilingi bilioni 1.1 zimetolewa kwa vikundi 92 vya wanawake,Vijana na walemavu katika Halmashauri ya wilaya ya Njombe ili zikawasaidie kuendesha miradi mbalimbali Fedha ambazo hutolewa kupitia makusanyo ya mapato ya ndani.
Fedha hizo ni zile za Asilimia kumi za maelekezo ya serikali...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka ameagiza Halmashauri zote mkoani Njombe kuanza kuwalipa posho Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji kupitia mapato ya ndani.
Mtaka amesema mkoa wa Njombe hauwezi kushindwa kuwalipa Wenyeviti hao kwani halmashauri zake zinakusanya mapato kutoka katika vijiji na mitaa...
Kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Njombe Ally kitumbo amewataka vijana kutojitoa uhai pindi wanapoachwa na wenzi wao, kwani kufanya hivo ni kosa kwa mujibu wa sheria.
Ametoa tahadhari hiyo ikiwa ni masaa kadhaa tu yamesalia kabla ya kuanza rasmi kvwa sikukuu ya wapendanao maarufu kama Valentine...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amepiga marufuku wataalamu wa afya mkoani humo kutoza fedha wala vifaa tiba kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure, na kuwataka kufuata muongozo wa Sera ya Afya kwa usahihi.
RC Mtaka ametoa agizo hilo wakati wa kikao cha Kamati ya...
Serikali imeanza kujenga shule ya Sekondari Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe ili kupunguza adha ya watoto kusafiri umbali wa takribani Km 15 Hadi Manda Sekondari na Km 30 Hadi Mchuchuma kupata elimu.
Kwa hatua za awali Tayari madarasa mawili yapo mwishoni kukamilika na Mbunge wa Jimbo la...
Hivi hizi kauli zao za kuongeza watoto zimekuwa ajenda? Lakini upande wa pili bado hali ni tete sanakwenye mazingira ya huduma za afya.
============
Mwenyekii wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe Deo Sanga {Jah People} amewasihi wananchi wa wilaya ya Wanging'ombe kuendelea kuongeza watoto kwani...
Ikiwa ni wiki moja imepita tangu chama cha mapinduzi CCM kimpitishe Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais kwa tiketi ya chama hicho na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea Mwenza kwa nafasi ya Makamu Rais katika uchaguzi mkuu wa 2025.
Maelfu ya wafuasi wa chama cha mapinduzi pamoja na Makundi...
Licha ya Mtaa wa Kambarage kuwa na idadi kubwa ya wakazi zaidi ya mitaa mingine yote ya mjini Njombe changamoto kubwa inayoendelea ni kushindwa kumaliza ujenzi wa ofisi yake ulioanza miaka 12 iliyopita.
Mtaa huu unaokaliwa na wakazi 15,195, unahudumiwa katika chumba kimoja kidogo cha kupangisha...
https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e
Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki...
Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA..
Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na...
freeman mbowe
makao
makao makuu
mayemba
mbowe
mbwa
mkoa
mwenyekiti wa chadema
njombe
ofisi za chadema
rose
rose mayemba
rushwa
uchaguzi
uchaguzi 2025
walinzi
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba amesema anahisi CCM wana tawi lao CHADEMA. Kupitia mtandao wa X mwenyekiti huyo amenukuliwa akisema "Kwa fedha nilizoshuhudia zikimwagwa USIKU kucha,nikikumbuka fedha zilivyokuwa zinamwagwa Njombe, naanza kuhisi CCM wana tawi lao huku kwetu"
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Njombe Mjini Emmanuel Kayombo na wenzake saba wamehama Chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi CCM
Mwaka 2020 Kayombo aligombea udiwani Kata ya Njombe Mjini, Kupitia lakini hakufanikiwa kushinda. Na mwaka 2024 aligombea...