Mkoa wa Njombe ni mmojawapo kati ya mikoa mipya nchini Tanzania wenye postikodi namba 59000, ukiwa ulianzishwa rasmi mwaka 2012. Unapakana na mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya, na Iringa.
Kutokana na hadhi mpya, Wilaya ya Njombe iligawanyika kati ya Njombe Mjini na Njombe Vijijini. Pia, mwezi...
Polisi mkoani Njombe wamekamatwa watu wawili wa CHADEMA, Emmanuel Raston Ngelime (44) na Obadiah Tedius Chogwa (47) siku ya Jumanne, Oktoba 15, 2024 baada ya video kusambaa, ikionyesha wakiwa wamemzuia na kumhoji kijana aliyejitambulisha kama kijana wa CCM, Antony Mtagawa baada ya kuadaiwa...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ni miongoni mwa wakazi wa Mtaa wa Lunyanywi, Halmashauri ya Mji Njombe waliojitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Zoezi la kujiandikisha linazinduliwa leo Oktoba 11...
Kijiji cha Ikondo kilichopo Kata ya Ikondo kupata huduma za afya za daraja la kwanza baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya matatu katika Kituo cha Afya cha Ikondo.
Akizungumza Oktoba 04 2024 na Wananchi wa Kata ya Ikondo baada ya kuzindua kituo hicho Prof...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkendaleo Oktoba 03, 2024 amezindua nyumba pacha ya Walimu wa Shule ya Sekondari ya Lubonde iliyopo katika Kata ya Lubonde Wayani Ludewa Mkoa wa Njombe.
Akizungumza baada ya uzinduzi huo Waziri Mkenda amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
RAIS SAMIA AAGIZA BARABARA YA SONGEA - NJOMBE - MAKAMBAKO KUANZA KUJENGWA UPYA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Ujenzi kukamilisha maandalizi na kuanza kujenga upya barabara ya Songea - Njombe - Makambako (km 295) pamoja na ujenzi wa...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amewataka Watanzania kujivunia kwa maendeleo yaliyopatikana katika sekta mbalimbali zinazogusa wananchi moja kwa moja.
Akizungumza na viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Njombe, Septemba 20, 2024 wakati wa ziara ya kukagua miradi ya...
Sintofahamu imetokea mkoani Njombe na hii ni baada ya moto ambao bado haujafahamika chanzo chake kuwaka na kuteketeza eneo la kituo cha kusambaza umeme mkoani humo.
Mara tu baada ya kudhibiti moto huo, Kaimu meneja wa TANESCO mkoa wa Njombe Mhandisi Lazaro Bartazai alidokeza kuwa hakuna athari...
Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi bilioni 3 kwa ajili ya kushughulikia Barabara zilizoathiriwa na mafuriko/Mvua za El-Nino kwa mkoa wa Njombe.
Fedha hizo zimetumika kuhakikisha kuwa miundombinu yote ya Barabara...
My take: Ni ajabu na ni kweli mtoto mmoja kuwa na Wababa zaidi ya Mmoja. Wenyewe wanasema Wanawake ambao hufanya hivi lengo lao ni kupata Maokoto kutoka kwa Wababa wengi ilhali anajua mhusika ni mmoja
Na hii ni kwasababu mtu ukishapewa kadi unajua Mtoto ni wako
Njia moja ya kuepusha haya huko...
Njombe, Tanzania
CHADEMA MKOA WA NJOMBE WAMALIZA UCHAGUZI
Mwenyekiti wa CHADEMA aliyechaguliwa tena kwa miaka mingine 5 kamanda Rose Mayemba awashukuru kwa kumuamini na kumchagua tena kuwa mwenyekiti wa mkoa.
Miaka mitano iliyopita CHADEMA iliweza kusimama imara wakati mgumu wa mikutano na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia mtoto wa umri wa miaka (12) kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa darasa la nne (10) katika shule moja iliyopo Makambako mkoani Njombe.
Hayo yamebainishwa leo Aprili 13, 2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Mahamoud Banga zungumza na waandishi wa...
Mimi siyo mrefu wala mfupi, lakini naweza nikawa mrefu kwa watu wengi wa Njombe!
Kwa siku chache nilizokaa Njombe, nilibaini ukweli kuwa ukubwa wa mwili hauamui "ukubwa" wa mtu. Anaweza akawa na umbo dogo sana lakini akawa ni mtu "mkubwa" sana.
Watu wengi wa Njombe wana maumbo madogo, unaweza...
Mery James Numbi, ameshtakiwa kwa kosa la kuomba na kupokea Rushwa kinyume na Kifungu cha 15(2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (cap 329 Re 2022)
Mshtakiwa akiwa Mtendaji wa Kijiji cha Lupembe Wilayani Njombe aliomba na kupokea rushwa ya Tsh. 200,000 kutoka kwa Irine Justine ili...
Mery James Numbi, ameshtakiwa kwa kosa la kuomba na kupokea Rushwa kinyume na Kifungu cha 15(2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (cap 329 Re 2022)
Mshtakiwa akiwa Mtendaji wa Kijiji cha Lupembe Wilayani Njombe aliomba na kupokea rushwa ya Tsh. 200,000 kutoka kwa Irine Justine ili...
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe anayemaliza muda wake , Kamanda kabisa Rose Mayemba , ambaye ametajwa kuinyoosha ccm katika uongozi wake Mkoani humo , huku akiisambaza Chadema hadi kwenye maeneo ambayo awali yaliamini kwamba CCM ni dini , ameomba tena nafasi ya uenyekiti wa Chadema Mkoani...
Mikoa yote miwili, Geita na Njombe, inalingana kiumri. Ilianzishwa mwaka 2012.
Kila mkoa una rasilimali ya kipekee tofauti na mkoa "mwenzake". Njombe kumeshamiri kwa kilimo, hasa miti ya mbao na nguzo pamoja na kilimo cha parachichi, wakati Geita inatamba kwa uchimbaji dhahabu.
Kwa utajiri...
Nimeishi Mwanza!
Nimefika Chunya mkoani Mbeya.
Nimeshafika Iringa.
Zanzibar napafahamu.
Nimefika na maeneo mengineyo ya Tanzania. Ni mikoa miwili tu ndiyo bado sijafika: Mtwara na Lindi.
Japo nimeona vilima na miinuko maeneo mbalimbali ya Tanzania, sidhani kama kama kuna inayofikia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.