njombe

  1. chokambayaa

    Picha za muonekano wa soko kuu la Njombe

    Picha za muonekano wa soko kuu la Njombe
  2. M

    Anatafutwa msusi Njombe

    Sifa za muombaji 1. Asiwe na umri chini ya miaka 18 2. Awe anajua kusuka vizuri hasa nywele za mkono na lasta pia mitindo mbali mbali 3. Awe anajua kuosha na kukausha nywele kwa kutumia Hair dryer na kuzichana vizuri 4. Asiwe na familia
  3. The Sheriff

    Njombe: Askari 3 wafariki na wengine 9 kujeruhiwa katika ajali

    Askari 3 wa Jeshi la Polisi mkoani Njombe wamefariki dunia na wengine 9 kujeruhiwa baada ya gari la polisi kugongana na basi la abiria la Sharon linalofanya safari zake Njombe-Arusha. Tukio hilo limetokea leo Februari 3, saa 12 asubuhi. Njombe. Polisi watatu wamekufa na wengine tisa kujeruhiwa...
  4. Influenza

    Njombe: Binti afariki baada ya kupigwa na Shangazi yake kwa kuchelewa kurudi nyumbani

    Jeshi la polisi mkoani Njombe linamshikilia mwanamke aliyefahamika kwa jina la Apronia Mwinuka(35) mkazi wa mtaa wa Kikula kata ya Makambako mkoani Njombe kwa tuhuma za kumpiga na kumsababishia kifo shangazi yake Elina Mwinuka (18) kwa kosa la kuchelewa kurudi nyumbani. Kamanda wa polisi mkoa...
  5. beth

    Vifo vya wajawazito, watoto vyapungua Njombe. Dk. Ndugulile atoa pongezi

    Mkoa wa Njombe umepongezwa kwa kupunguza vifo vya kinamama kutoka 250 kwa vizazi hai laki moja mwaka 2005 hadi vifo 94.8 huku vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano vikitoka 51 hadi vifo viwili kwa kila vizazi hai 1,000 Desemba 2019. Pongezi hizo zilitolewa jana na Naibu Waziri wa Afya...
  6. F

    Ushauri: Fedha zilizookolewa ktk uchaguzi Njombe, Tanga, Mtwara, Katavi na maeneo mengine zijenge vituo vya Afya

    Mada hapo juu yaeleweka vizuri sana. Mnafahamu kiendeleacho nchini hivi sasa. Katavi, Njombe, Mtwara na Tanga hakuna uchaguzi. Hela nyingi zimenusirika kulipa posho za wasimamizi, karatasi, wino, visanduku, usafirishaji nk. Hata mitaa na vijiji vingi kwingineko hakuna uchaguzi wa serikali y...
  7. Suley2019

    Njombe: Mwanamke ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua na kumla nyama Mtoto wake

    Mwanamke mmoja anaejulikana kwa jina la Christina Mlelwa(38) mkazi wa Kijiji cha Mavanga kata ya Mavanga kitongoji Cha mji mwema wilayani Ludewa mkoa wa Njombe anashikilikiwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumchinja mwanae Joseph Gumbilo(4) mwenye ulemavu wa viungo na kumla nyama Awali...
  8. Influenza

    Ludewa, Njombe: RC asema wasiolima mazao ya biashara kuwekwa rumande

    Mkuu wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Andrea Tsere ametangaza kumuweka lumande “Lock up” mwananchi yeyote atakayeshidwa kuwa na zao la biashara kutokana na uhamasishaji mkubwa unaoendelea wilayani humo ili kukuza uchumi wa wilaya na wananchi wa wilaya hiyo. Mkuu wa wilaya hiyo amesema uamuzi...
  9. ChoiceVariable

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Karibuni kwenye mada. Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga. Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji? Njombe Kahama
  10. figganigga

    Buriani mradi wa Liganga na Mchuchuma

    ULE msemo kuwa chelewa chelewa utamkuta mwana si wako umejidhihirisha wazi kwenye suala lauwekezaji wa mradi wa Liganga na Mchuchuma wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo mwekezaji, Sichuan Hongda Group yuko njia panda kwa kukosa mwelekeo na kuungwa mkono. Kampuni imesema madai yote yalikuwa na...
Back
Top Bottom