WARAKA KUTOKA KWA MWENYEKITI WA CHADEMA NJOMBE, BIBI ROSE MAYEMBA KWENDA KWA ASKOFU MWAMAKULA.
Hello Bishop! Heshima yako!
Ninaitwa Rose Mayemba, Mwenyekiti wa CHADEMA Njombe. Leo tarehe 3 Septemba 2020, tumetoka gerezani hapa Njombe ambako tulikwenda kuwasalimia wenzetu, story zao zinatisha...
Kesho Nina safari ya njombe, naomba msaada kwa mtu yoyote ambae yuko njombe
Anipe connection ya hotel au lodge mzuri ya kuanzia elf 40 Kuja chini
Iwe kwenye maeneo Mazuri ambayo ni easy pia kufika
IPO risiti ya halmashauri inazagaa mitandaoni ikionyesha malipo faini ya 30,000 kwa kosa la kujifungulia nyumbani.
Naomba kufahamishwa, hii faini ni kwa mikoa yote nchini au ni Njombe pekee?
Je, kujifungua mwanamke lazima apatwe na uchungu hospitalini?
Je, akipatwa na uchungu akiwa nyumbani...
Leo mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi yuko mkoani Njombe na kwa sasa anaongelea afya na Bima ya Afya.
Ameeleza kuwa walianza na vituo vya afya na kinachofata ni bima ya afya, pia ameelezea walishaanza na wamejitahidi kutoa huduma za bure kwa wazee, watoto wenye umri chini ya miaka...
Njombe ni mmoja wa mikoa 31 ya Tanzania, uliorasimishwa kuwa mkoa mwaka 2012 mara baada ya kutenganishwa na Iringa inayopatikana Nyanda za Juu kusini Kwa Tanzania. Hapo awali Njombe ilikuwa ni wilaya ndani ya mkoa wa Iringa ikiwa ina ukubwa wa eneo la mraba la Km 21,347. Sensa ya mwaka 2012...
22 September 2020
Njombe, Tanzania
Shirika la Misaada la Kimataifa la Marekani USAID ambao ni wadau wa maendeleo wa serikali ya Tanzania wameandaa semina juu ya Afya ya Mama na Mtoto mkoani Njombe uliopo nyanda za juu kusini nchini Tanzania.
Mradi huo umejikita kuondoa udumavu wilaya ya...
Leo tena Rais Mtarajiwa wa awamu ya 6 anazidi kusonga mbele na kampeni zake za kuwaomba wananchi wamchague kwa kura nyingi mno ili aweze kuleta Uhuru kamili .
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika
========
UPDATES
Njombe Mjini
=========
UPDATES 2
Lissu aingia Mbarali
Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za wizi baada ya kuvunja Mahakama ya Wilaya ya Njombe na kuiba vitu mbalimbali vya ofisi hiyo ikiwemo Laptop tatu (3) na Sukari kiasi cha Kg 25, waliokamatwa yupo aliyeiba na mwingine aliyeenda kuuziwa Laptop hizo.
Taarifa...
Emmanuel Masonga(CHADEMA) amuwekea Deodatus Mwanyika(CCM) pingamizi kwa kuwa alikiri na kuhukumiwa kwa Ukwepaji Kodi na akalipa Fidia ya 1.5 Biliona pamoja na Fine ya 1.5 Million.
Deodatus Mwanyika mgombea wa ubunge Jimbo la Njombe Mjini
Kama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu Uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi.
Huyu Mwanyika ndo Rais aliyetutangazia kuwa amawasiliano na wanasiasa wa upinzani ili wamuhujumu hadi kutoa ile kauli yake...
Rais Magufuli leo anawaapisha wateule wake aliowateuwa hivi karibuni wakiwemo makatibu wakuu na mkuu wa mkoa wa Njombe Ikulu Chamwino jijini Dodoma.
Viongozi Wateule watakaoapishwa Chamwino Dodoma
1. Mhandisi Marwa Mwita Bubirya Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe
2. Dkt. Aloyce Nzuki, kuwa Katibu...
Rais Magufuli leo July 19,2020 amefanya mabadiliko ya uteuzi alioufanya July 17,2020 ambapo amemteua aliyekuwa Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Marwa Mwita kuwa RC Njombe, Mwita ameteuliwa badala ya Jumanne Fhika ambaye atabaki Ofisi ya Rais kuendelea na majukumu yake.
Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.
Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
Huyu ni mzaliwa kijiji cha Ihalula au Kisilo huko Njombe. Kada ndakindaki wa CCM. Ni wakili wa kujitegemea, mhadhiri sheria chuo kikuu Iringa.
Mwanateolojia na mwanafalsafa pia. Miaka ya nyuma aliwahi kuwa padre(Dr. Slaa namba 2).
Vajameni mwaka huu tutaona mengi ambayo hayawahi kutokea.
Habari wanaJF nipo safarini ndani ya basi fulani ya Njombe,
Mmmmhh huo mwendo, unanipa mashaka kama bado kuna utaratibu wa ving'amuzi maana huwa vinalia kila dereva akifika spidi 80 kwa saa.
Kwenye hili basi hakuna hata kubeep, mara kutaka kumpita basi mwenzake mara break za ghafla. Nisaidieni...
Habarini wanajamvi. Baada ya salamu nije kwenye mada.
Wote tunajua kuwa tunaenda kwenye uchaguzi mkuu. Msimu huu rushwa hutembea kifua mbele kana kwamba rushwa ni halali 🤔
Mkoani Njombe jimbo la Njombe Mjini kuna mtia nia mmoja ameruhusu viongozi wa chama (CCM) kufanyia kikao kwenye madarasa...
Vijana wawili wa familia moja wameuawa kikatili kwa kupigwa na vitu vizito kichwani usiku wa kuamkia april 27 katika kijiji cha Kipengele kilichopo wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe
Akizungumzia tukio hilo kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Njombe Hamis Issah amesema vijana waliouwawa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.