njombe

  1. Baraka21

    Kimeumana Vanilla Njombe: Ni utapeli mtupu

    Ujumbe wa DC Njombe kissagwakisakasongwa kuhusu VanillaNjombe 📍Serikali bado inafanyia kazi maswali mengi yaliyopo katika jamii kutokana na matangazo kwamba Vanilla inalipa na bei ya manunuzi ya Vanilla kwa kilo zinazotajwa kuwa ni kubwa sana. Naomba wananchi tuwe watulivu wakati Serikali...
  2. Analogia Malenga

    Prof. Mkenda: Mikoa inayozalisha chakula kwa wingi inaongoza kwa udumavu kwa watoto

    Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda amesema takwimu zinaonesha udumavu kwa watoto unaongoza katika mikoa ambayo inazalisha chakula kwa wingi Mikoa hiyo ni Njombe 53.6%, Rukwa 47.9%, Iringa 47.1, Songwe 43.3%, Kigoma 42.3% na Ruvuma 41% Amesema hali hiyo hairidhishi. Serikali imeendelea na...
  3. T

    Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

    Ofisi ya taifa ya takwimu imetoa pato la kila mkoa nchini Tanzania, mkoa wa Dar es salaam wazidi kuongoza ukifuatiwa na Mwanza. Mikoa ya Katavi na Njombe imeshika mkia kwa kua na pato dogo sana ukilinganisha na mikoa mingine. Kwenye kumi bora kanda ya ziwa imeingiza mikoa 3, Mwanza, Shinyanga...
  4. Kurunzi

    Wagonjwa wadaiwa kusafirishwa kwa Machela za Miti Njombe

    Katika kijiji cha Kitewele Wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe hali sio hali, kwani hakuna huduma ya za afya karibu, Wananchi wanalazimika kutembea zaidi ya km 30 kufuata huduma katika kituo cha afya. Pamoja na kukosekana huduma ya kitutua cha afya barabara katika kijiji hicho hazipitiki iwe kwa...
  5. Entim

    Msaada: Nataka kuanza biashara ya miti ya mbao na Mrunda Njombe na Buchosa (Mwanza)

    Wakuu, miaka 6 hadi 5 familia yangu enzi za uhai wa mzazi wetu tulikuwa na biashara Mkoani Mtwara, mtaji ulikuwa annual turnover around 0.78 billion. Baadaye tuligawagana mirathi na kila mmoja anawaza biashara zake. Binafsi ninapenda kuwekeza kwenye kilimo cha miti ya mbao maeneo haya; 1...
  6. Faith Luvanga

    SoC01 Kisa cha Kweli: Mtoto Aliyebakwa na Baba yake kwa Mwaka Mzima

    Jioni baada ya kutoka shule, Faraja* aliingia ndani na kuona jinsi vyombo vilivyokuwa vimevurugwa na kuvunjwa. Maumivu ya kumbukumbu za ugomvi wa wazazi wake usiku kucha wa jana yalimfanya ashindwe kuvumilia na kuangua kilio. Kwa bahati mbaya, mama yake hakuwepo nyumbani kumfariji, kwani alikuwa...
  7. W

    Land for sale 5000ecres / mashamba yanauzwa Njombe ekari 5000

    Mashamba Yanauzwa Mkoani Njombe zaidi ya ekari 5000 kwa wale wanaopenda kulima Parachichi basi mashamba haya yanafaa sana Barabara ipo mpaka shambani maji yapo mpaka shambani wahi sasa msimu umeanza. Mawasiliano 0766480491.
  8. Analogia Malenga

    Njombe: Wananchi wataka wanaotupa watoto kuchukuliwa hatua

    Wakazi wa Kijiji cha Matiganjola wilayani Njombe wameiomba Serikali ya wilaya kufanya oparesheni ya kuwasaka wazazi wanaotelekeza watoto wao na kuwachukulia hatua kutokana na kukidhiri kwa vitendo hivyo. Wamesema hayo leo Agosti 8, 2021 katika mkutano wa hadhara wa mbunge wa Lupembe, Edwin...
  9. Shujaa Mwendazake

    TANZIA Hassan Ngella, Diwani wa CCM kata ya Luduga wilaya ya Wanging'ombe Mkoani Njombe afariki Dunia

    Diwani wa CCM kata ya Luduga wilaya ya Wanging'ombe Mkoani Njombe, Hassan Ngella amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Mbeya baada ya kuugua ghafla. Katibu wa siasa na uenezi CCM wa wilaya, Ruben Nyagawa amethibitisha. ----- Diwani wa Kata ya Luduga...
  10. Suley2019

    Njombe: Mtoto adaiwa kumuua mama yake mzazi kisa mali

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Emma Mfikwa umri (43) ameuawa kikatili kwa vitu vyenye ncha kali na mtoto wake wa kumzaa kutokana na kile kinachodaiwa ni migogoro ya kifamilia iliyotokana na kugombania mali. Hayo yamesemwa leo Jumanne, Julai 27, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
  11. Analogia Malenga

    Njombe: Wapenzi wafariki wakiwa wamelala chumbani na jiko la mkaa

    Watu wawili wamefariki dunia mkoani Njombe baada ya kuingia na jiko la mkaa katika chumba cha kulala kwa ajili ya kupunguza baridi. Hayo yalibainishwa leo Jumatano Julai 21, 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamisi Issah wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika makao...
  12. Analogia Malenga

    Njombe: Wanafunzi watoro walipishwa Tsh. 5,000 kwa kila siku wasiyofika shuleni

    Wakazi wa kata ya Mavanga iliyopo wiliya ya Ludewa mkoani Njombe wamewalalamikia walimu wakuu pamoja na Afisa elimu wa kata hiyo kwa kuwalazimisha kulipia fedha kwa mtoto atakayeshindwa kufika shuleni pamoja na kuwalipa walimu wa kujitolea. Wakitoa malalamiko hayo mbele ya mbunge wa jimbo la...
  13. Analogia Malenga

    Njombe: Wahitimu wa vyuo walazimika kuolewa ili kuepuka ugumu wa maisha

    WANAWAKE waliohitimu vyuo vikuu nchini wamesema wanalazimika kuingia kwenye ndoa ili kujikwamua na ugumu wa maisha wanapofika mtaani baada ya kukosekana kwa ajira licha ya kuwa na elimu ya juu. Hayo yamebainishwa na baadhi ya wadau mjini Njombe wakati wakitoa maoni yao juu ya mwenendo wa elimu...
  14. M

    Naomba ushauri nahitaji kufungua duka mkoa wa Njombe

    Habari wapendwa, Samahani naombeni kufahamu kama nitaweza kufungua duka la mifugo mkoani Njombe wilaya yeyote ile ila napenda zaidi iwe katika mkoa wa Njombe: 1. Je, Kuna wafugaji wa kutosha mkoani hapo? 2. Idadi kibwa ya vyakula wanatengeneza wenyewe au wanatumia vya kiwandani? 3. Kuna...
  15. M

    Mashamba yanayofaa kwa kilimo cha matunda aina ya parachichi au miti ya mbao yanauzwa

    Lipo Kijiji cha mfriga Kata ya mfriga Tarafa ya lupembe Mkoa wa njombe Ukubwa ni eka 30 Bei ya kila eka ni tsh 100000 Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929 au 0784340024 Sent using Jamii Forums mobile app
  16. technically

    Rose Mayemba, Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe akamatwa na kuhojiwa na Jeshi la Polisi. Aachiwa kwa dhamana

    Yaani tunataka kweli kurudi kule kule? ---- Update: 1 JamiiForums imezungumza na RPC Mkoa wa Njombe na amethibitisha kuwa Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe Rose Mayemba amekamatwa kwa Mahojiano zaidi baada ya kuweka ujumbe kwenye mtandao wa kijamii uliomhusisha Rais. RPC amesema kuwa kosa lake...
  17. Dumas the terrible

    TANZIA Njombe: Anthony Mwandulami Afariki Dunia. Alijijengea kaburi la mamilioni ya shilingi

    Dokta Anthony Mwandulami mganga maarufu kutoka Kijiji Cha Itunduma kitongoji Cha wangama Kata ya Mtwango mkoani Njombe Afariki Dunia usiku wa Jana jijini Dar es Salaam. Mganga huyo aliyejipatia umaarufu nchini baada ya kujijengea kaburi lake la mamilion ya fedha ambalo alisema atazikwa yeye na...
  18. Ushimen

    7 New Form Four And Above Government Jobs At TANROADS (NJOMBE), June 2021- (Various Posts)

    JOB VACANCIES Click below to download PDF FILE:
  19. Erythrocyte

    Umoja ni Nguvu: Ujenzi wa ofisi ya CHADEMA Mkoa wa Njombe wafikia pazuri

    Pamoja na njama zote za kuhujumu Chama hiki lakini bado wananchi wamepeleka Matumaini yao kwa Chadema, wanaendelea kukichangia ili kukamilisha kujenga ofisi zake nchi nzima. Hili Jengo unaloliona hapo ni ofisi iliyokaribia kwisha ambayo ikikamilika itakuwa ofisi ya Chadema Mkoa wa Njombe...
  20. Miss Zomboko

    Njombe: Mwanafunzi wa miaka 9 afariki wakati akicheza mchezo wa kujinyonga na wadogo zake

    Mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Ikelu iliyopo Makambako mkoani Njombe, Claud Florence (9) amefariki dunia baada ya kujinyonga akiwa anacheza na wenzake. Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe, Hamisi Issah amesema mwanafunzi huyo alikwenda shambani na wazazi wake na wadogo zake watatu...
Back
Top Bottom