njombe

  1. Lady Whistledown

    Wivu wa Mapenzi, Migogoro ya Ardhi, vyanzo vikuu vya mauaji Njombe

    Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Butusyo Mwambelo amesema Mkoa huo unamatatizo yanayosabishwa na Migogoro ya Kimapenzi na Ardhi Kaimu kamanda ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa huduma za msaada wa kisheria mkoani hapa inayotolewa na kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC. "Njombe hii kuna...
  2. JanguKamaJangu

    DOKEZO Mwanza: Mtoto wa mwaka mmoja aoza mkono kisa uzembe wa hospitalini, uchunguzi waanza

    Mwanza. Mtoto Nassoro Rashid Nassoro (1) anapigania maisha yake katika wodi za Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kutokana na madhara ya kiafya ambayo wazazi wake wanadai ni uzembe wa madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Tanzanite Jijini Mwanza. Matatizo ya mtoto Nassoro...
  3. Linguistic

    Njombe: Ahukumiwa miaka mitano jela kwa kosa la ushirikina

    Mahakama ya Wilaya ya Ludewa imemhukumu kifungo cha miaka 5 jela John Chale(60) mkazi wa kata ya Ilela wilayani Ludewa mkoani Njombe kwa kosa la kumfanyia vitendo vya kishirikina mtoto wa mdogo wake Videana Chale(18) na kupelekea kupata ukichaa. Akisomewa hukumu hiyo na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa...
  4. Kennedy

    Njombe Karani wa Sensa afutwa kazi baada ya kuibiwa Kishkwambi

    Mratibu wa zoezi la sensa mkoani Njombe Amewafuta kazi makarani wawili, baada ya mmoja kuibiwa Kishkwambi, akiwa na mwenzake kwenye ulevi ulipitiliza Pamoja na kuwafuta kazi hao, Mratibu amesema zoezi litakwenda vema japo hao wawili wameondolewa Mambo ya ngoswe yameanza mapema kujitokeza...
  5. The Sheriff

    Njombe: Ashikiliwa na polisi kwa kumuua mtoto wa miaka saba akidhani ni ng'ombe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia Mwanamke mmoja aitwaye Estaroda Kaduma (28) amkazi wa Kichiwa kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa Kaka yake anayefahamika kwa jina la Brown James Kaduma (7) ambaye anasoma darasa la kwanza katika Shule ya msingi Kichiwa. Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe...
  6. Suley2019

    Njombe: Aliyebaka mtoto wake kisa utajiri ahukumiwa jela miaka 30

    Mahakama ya Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe imemuhukumu miaka 30 jela Mwanaume aitwae Joseph Mwajombe (33) Mkazi wa kijiji cha Lulanzi, kwa kosa la kumbaka binti yake mwenye umri wa miaka 15. Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo James Mhoni amesema Mtuhumiwa alitenda kosa hilo Agosti 7...
  7. Roving Journalist

    Rais Samia: Wanafunzi wa Uhandisi na Udaktari kusoma bure

    NJOMBE Kijiji cha Mtwango Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha Sensa huja kila baada ya miaka kumi. Twendeni tukapate idadi yetu kamili ili Mh. Rais aweze kuwaleta mafungu yanayo endana na idadi yenu. Tuendelee kuongeza mapato, tumefanya vizuri lakini bado tunaweza kufanya vizuri zaidi ili...
  8. Roving Journalist

    Njombe: Rais Samia Awahutubia Wananchi Katika Mkutano wa Hadhara, Asema Serikali Imezuia Kupandisha Hadhi na Kukata Maeneo ya Utawala

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Njombe katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Sabasaba Njombe Mjini, leo tarehe 10 Agosti, 2022. DKT. PINDI CHANA – WAZIRI, MALIASILI NA UTALII Kwa niaba ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwakweli...
  9. Nakadori

    Kitulo Njombe: Usaili ajira za mda za sensa wagubikwa na vitendo vya rushwa na upendeleo

    ALERT 🚨 🚨 🚨 Huko katika kata ya kitulo mkoani njombe aliyekuwa mwenyekiti wa usahili Agizo chapel tweve ambaye ni mwl.mkuu kampitisha mke wake Vailet sanga nawakinga wenzao naanajisifia hawez waacha wazawa.. amempitisha mtu aliyeomba usimamizi wamaudhui kuwa karani Okraim ngailo majina...
  10. Jidu La Mabambasi

    Mtaka kwenda kuwa RC Njombe ni kumpunguza spidi?

    Mwanasiasa mteuliwa kwa kawaida hana kauli kwa sehemu ya kutumikia. RC Mtaka nimekuwa namfuatilia toka akiwa Sumiyu. Ni kijana anatumia utu na akili katika maamuzi yake. Miaka ya Mwendazake wakati ma RC wengine wakishindana kuwaweka ndani viongozi wenzao wa ngazi za chini, yeye alikiri kukataa...
  11. Roving Journalist

    NJOMBE: Watu wanne wajeruhiwa baada ya simu kulipuka ndani ya Bajaji, Julai 24, 2022

    Watu wane wamenusurika kifo baada ya kutokea mlipuko mkubwa uliyosababishwa na simu ndani ya bajaji yenye nambari za usajili MC 567C JK-TVC katika barabara ya Njombe -Songea . Akizungumzia tukio hilo kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema mkasa wa betri kulipuka umeleta...
  12. JanguKamaJangu

    Tabia ya wazazi kutelekeza watoto kwa babu, bibi yashika kasi Mkoani Njombe

    Tabia ya Watoto kutelekezwa kwa babu na bibi bila kujaliwa na wazazi wao imeonekana kushamiri Mkoani Njombe. Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Willfred Willa anasema watoto wengi wanaopata madhara ni wale ambao wanalelewa na bibi na babu zao huku wazazi wengi wakiwa na migogoro, majukumu...
  13. Lady Whistledown

    TMA: Viwango vya Joto Njombe, Iringa na Mbeya kufikia 4°C

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imesema kwamba hali ya baridi itaendelea kuwepo ambapo katika mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya baridi inatarajiwa kufikia viwango vya chini vya nyuzi joto 4°C. Akizungumza hii leo jijini Dar es Salaam, Mtaalam wa uchambuzi wa hali...
  14. JanguKamaJangu

    Chanzo moto ulioteketeza maduka Njombe ni jiko la mkaa, walitumia kupunguza baridi

    Baada ya moto kuteketeza maduka Matano na ghala za kuhifadhia bidhaa za maduka yaliyopo katikati ya Mji wa Njombe imebainika kuwa chanzo ni moto uliokuwa katika jiko la mkaa ambao ulitumika kwa ajili ya kupunguza baridi. Inspekta Lotma Dauda ambaye ni Afisa Oparesheni la Zimamoto na Uokoaji...
  15. JanguKamaJangu

    Mamlaka ya Hali ya Hewa yafafanua baridi la Njombe: Kinachotokea ni Sakitu siyo theluji

    Kutokana na baridi na kuonekana vitu kama barafu kwa siku za karibuni maeneo ya Njombe hali ambayo imesababisha watu wengi wawe na maswali tofauti kimefafanuliwa. Mamlaka Hali ya Hewa Nchini (TMA) imefafanua kuwa kinachotokea maeneo ya Njombe kwa siku kadhaa ni kutokea kwa Sakitu, ambapo hiyo...
  16. Analogia Malenga

    Njombe: Wananchi washauriwa kutumia baridi kama Utalii wa ndani

    Kiongozi mmoja sijamkata jina na cheo huko Njombe ameongea (nimemuona kwenye taarifa ya habari ITV) akiwashauri wananchi kutumia baridi kama kivutio cha utalii wa ndani. Baridi linaloendelea limetajwa kuathiri afya za watu na mazao. Nimonia kwa watu na ukungu kwa mazao ni kati ya magonjwa...
  17. Lady Whistledown

    Watatu wahukumiwa kunyongwa kwa Mauaji Njombe

    Mahakama Kuu Kanda ya Iringa iliyokaa kikao chake katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Njombe imewahukumu washtakiwa watatu Elias Jackson Mwenda (31), Hussein Khamis (31) na Orestus Mbawala (51) kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya James Kaengesa mkazi wa Makambako...
  18. GENTAMYCINE

    Huu utaratibu wa 'Makahaba' wa Mkoani Njombe nimeupenda na nashauri 'Uenziwe' nchi nzima

    Yaani wanakaa ( wanatega ) maeneo ya Lodge / Guest kisha wanakuangalia kama Mwanaume umeingia na Mkeo au Mchumba au wanaenda kwa Mhudumu wa zamu kama umeingia peke yako kisha kwa Unyenyekevu Uliotukuka ule wa Kihehe, Kibena na Kiwanji wanakuja Kukugongea Chumbani Kwako na ukifungua tu Mlango...
  19. jokotinda_Jr

    Wenyeji wa Njombe mjini lodge gani nzuri ya kufikia

    Kwa wenyeji wa njombe ni Lodge gani nzuri naweza fikia pia na leta shukrani zangu kwa yule ndugu wa JF aliye nipa namba za watu wa ABC VIP class hakika ni usafiri mzuri 🙏🙏
  20. jokotinda_Jr

    Msaada wa usafiri mzuri toka Dar kwenda Njombe

    Natarajia kwenda njombe wana ndugu Basi gani zuri naweza tumia natanguliza shukurani naishi dar es salaam
Back
Top Bottom