njombe

  1. Pantomath

    Lori lililoibwa Ruvuma lapatikana Njombe

    Lori aina ya Howo, Tiper lenye namba za usajili T 459 EBX, mali ya kampuni ya CRCG inayojishughulisha na uchimbaji wa makaa ya mawe, lenye thamani ya Tsh. Mil. 150/=, lililoibiwa mkoani Ruvuma, limepatikana katika Kata ya Ramadhan iliyopo mkoani Njombe. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Mkoa wa...
  2. Erythrocyte

    Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

    Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe. Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema...
  3. BARD AI

    Profesa Kapuya alitapeliwa na kampuni ya Kilimo cha Vanilla Njombe

    Matukio ya watu kutapeliwa kwa njia ya Upatu yamekuwa yakishamiri nchini na hii inahusishwa zaidi na ndoto za baadhi ya watu kutaka kutajirika kwa haraka huku wanaotajwa kuwa wasimamizi wa miradi hiyo wakitumia mbinu za ushawoshi
  4. I am Groot

    Njombe marufuku kula nyama ya nguruwe.

    Serikali Wilayani Ludewa Mkoani Njombe imepiga marufuku ulaji wa nyama ya Nguruwe, kuingiza mfugo wa Nguruwe pamoja na kutumia mazao yoyote ya Nguruwe ikiwemo Damu, samadi, mifupa na nywele kwa muda usiojulikana isipokuwa kwa idhini ya Daktari wa mifugo wa Wilaya hyo. Taarifa iliyotolewa na...
  5. BARD AI

    Njombe: Zaidi ya 30% ya Wakazi wa Vijijini wana Ugonjwa wa Usubi

    Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Njombe Dk. Isaya Mwasubila amesema Tafiti zimebaini Maambukizi makubwa katika maeneo 4 ambayo ni Itipula ina 30%, Igola 11.22%, Mji Mwema 5.68% na Mamongolo 4%. Kutokana na hilo, Wizara ya Afya imeanza kampeni ya kutoa Dawa ili Kuwakinga Wananchi ambao...
  6. BARD AI

    Mikoa ya Mwanza, Tanga na Njombe inaongoza kwa Wanawake wanaomiliki Nyumba zao wenyewe

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Wanawake wa Tanzania Bara wanamilikia Nyumba zao wenyewe kwa 18.1% ukilinganisha na Wanawake wa Zanzibar 12.8. Wanawake wa Vijijini wanamiliki Nyumba zao kwa 18.8 ukilinganisha na Wanawake wa Mijini wanaomiliki nyumba kwa 16.5. Orodha ya Mikoa yote...
  7. R

    Waziri Hussein Bashe aagiza Mshindo Msola akamatwe

    Wazir wa Kilimo ameagiza Mshindo Msolwa na wafanyakazi wengine wanosimamia ghala la kuhifadhi Mbolea wakamatwwe baada ya kubainika wamehifadhi mchanga unaofhaniwa unatumika aidha kama bosheni au kuchakachua Mbolea inayopelekwa Kwa wakulima. Mifuko zaidi ya 700 imekutwa ndani ya ghala Hilo...
  8. benzemah

    Asilimia 75 ya miradi ya maendeleo Njombe yakutwa na kasoro baada ukaguzi wa Takukuru

    Jumla ya miradi ya ujenzi ya maendeleo 12 kati ya 16 ( sawa na asilimia 75) katika mkoa wa Njombe imekutwa na kasoro mbalimbali katika utekelezaji wake baada ya Taasisi ya upambana na kuzuia rushwa mkoa wa Njombe kufanya ukaguzi. Akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi katika kipindi cha miezi...
  9. BARD AI

    Njombe: Majambazi wateka Magari na kupora fedha, simu

    Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevamia magari zaidi ya saba (7) ikiwemo magari ya mizigo pamoja na basi la abiria katika eneo la Nyaliva katikati ya kijiji cha Nyombo na Kidegembye barabara ya Njombe - Lupembe Halmashauri ya Wilaya ya Njombe wakidaiwa kupora fedha na simu za Abiria...
  10. J

    Wanaodhaniwa kuwa wachawi wanasa Njombe

    Wanawake wawili, wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Wamachinga wakazi wa Wilaya ya Makete, mkoani Njombe wanaofanya shughuli zao ujasiriamali mjini Makambako wamezua taharuki mjini Njombe baada ya kuganda ghafla barabarani wakishindwa kusema chochote na kutembea kwa zaidi ya saa moja huku...
  11. Econometrician

    Zitambue fursa za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe

    Mkoa wa Njombe: Mkoa wa Njombe una Halamashauri 6 ambazo ni Njombe Mjini, Vijijini, Ludewa, Makete, Wangingombe na Makambako. Wenyeji wa Mkoa wa Njombe 70% ni wabena, ambao wanapatikana Wilaya za Njombe mjini,Vijijini, Makambako, Wangingombe na wakinga-Halamashauri ya Makete na Halamashauri ya...
  12. The Sunk Cost Fallacy 2

    Njombe: 75% Wanawake gerezani wameua waume zao

    Habari ndugu! Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geophrey Pinda, leo Jumanne, bungeni jijini Dodoma amesema si wanaume pekee wanaoua wenza wao kwani hata baadhi ya wanawake hufanya hivyo hususani mkoani Njombe ambapo wamebaini asilimia 75 ya wanawake walioko katika gereza la mkoa huo wanatuhuma...
  13. T

    Njombe: Katekista wa Kanisa Katoliki apandishwa kizimbani kwa tuhuma za kubaka

    Njombe, katekista wa kanisa katoliki apandishwa kizimbani kwa kumbaka binti wa miaka 17 nyuma ya jengo la kanisa. ======= Simon Njavike (43) ambaye ni Katekista wa Kanisa la Roman Catholic Parokia ya Mlangali Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya hiyo...
  14. M

    Njombe: Akutwa akiwa uchi kanisani

    Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 anayetajwa kuwa ni Mkazi wa Mkoa wa Morogoro amekutwa akiwa mtupu kwenye Madhabahu ndani ya Kanisa la Anglikana lililopo Mtaa wa Matema Halmashauri ya Mji wa Makambako Mkoani Njombe huku sababu zikiwa bado hazijajulikana. Katibu wa Kanisa...
  15. NASIRIYA

    Rais Samia amaliza kero ya maji Njombe

    Wakala wa maji safi na usafi wa mazingira Vijijini (Ruwasa) Wilaya ya Njombe Mkoa wa Njombe umeanza kutekeleza Mradi wa maji utakaonufaisha wakaazi 4,144 wa kijiji cha Vyombo Wilayani humo. Meneja wa Ruwasa wilaya ya Njombe ELIKALIA MALISEMA alisema lengo la kujenga Mradi huo ni kuwapunguzia...
  16. Asheryelly

    INAUZWA Viriba vinauzwa

    Kwa mahitaji ya polythene tube(Viriba) vya size kuanzia Inch 2.5 hadi Inch 15 vya Gauge(G) zote zinazohitajika kwa uotesheaji wa miti ya matunda, mbao, maua N.k kwa Tsh 4000/= tu kwa KILO 1 Karibu sana. Piga, 0787009807.
  17. S

    Kunani ITV kutumika kutangaza utapeli? Ilianza na Vanila Village Njombe, ikaja Kaylinda na sasa inatangaza Vanila village Zanzibar.

    Wale matapeli wa Vanila village Njombe sasa wamehamia Zanzibar. Na ITV iliyokuwa ikiwatangaza wakiwa Njombe (Vanila village Njombe) ndiyo Sasa inawatangaza wakiwa Zanzibar (Vanila village Zanzibar). Hawa ITV ndiyo waliohusika kuwatangaza Kaylinda waliochezesha upatu kwenye mitandao na kisha...
  18. B

    Rais Samia amwaga mabilioni ya fedha za ruzuku ya maendeleo jimboni Ludewa- Njombe

    RAIS SAMIA AMWAGA MABILIONI YA FEDHA ZA RUZUKU YA MAENDELEO JIMBONI LUDEWA- NJOMBE. "Asante sana Mhe. Rais Samia Samia Suluhu Hassan kwa Fedha nyingi za Ruzuku ya Miradi ya Maendeleo kwenye Jimbo letu la Ludewa. Haijawahi kutokea fedha kuletwa mapema hivyo kabla ya msimu wa mvua kuanza, hii...
  19. Notorious thug

    Kipofu amuua mama mzazi Njombe.

    Hakika inasikitisha sana matukio ya Mauaji yanaongezeka kwa kasi haswa Mkoani Njombe
  20. Suzy Elias

    Taarifa muhimu kutoka kwa RPC wa Njombe

Back
Top Bottom