Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"
Leo asubuhi wakati nakuja huku nimeongea naye kwa simu na...
Nataka nifanye kilimo cha parachichi, nimeambiwa zinalimwa Njombe na mkoani Mbeya has a wilaya ya Rungwe, swali langu ni wapi rahisi kupata shamba kati ya sehemu hizo, changamoto za maeneo hayo ni zipi na wapi soko ni zuri kati ya maeneo hayo.
Huyu kijana aliponzwa na ndoto yake ya kugombea Udiwani , kosa lake hilo la kutumia haki yake ya kikatiba la kugombea udiwani limemsababishia kutengenezewa kesi ya Mauaji , ambapo baada ya kukamatwa kama maagizo yalivyoelekeza mgombea udiwani wa ccm kwa kasi ya radi akashinda bila ya kupingwa ...
Wananchi wa Kata sita zinazopitiwa na Mradi wa Umeme wa Madope Hydro uliojengwa kwenye Kata ya Lugarawa Wilayani Ludewa Mkoa wa Njombe wameulalamikia mradi huo kwa kushindwa kuwasaidia tangu uanzishwe mwaka 2016.
Baadhi yao akiwemo Bw, Bosco Mgina na Sabinus Haule wakazi wa Kijiji na Kta ya...
Mabibi na mabwana ilikuwa Dar sasa wanawake na wanaume wa huko Njombe nao wameona isiwe taabu:
Kwa mabarakoa hayo bila shaka hizo siyo jitihada ya kujikinga dhidi ya TB mikutanoni.
Pana watu kwenye mamlaka ambao kwa hakika wasipo angalia watambue kuwa si muda mrefu umebakia watapwelewa...
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya; nimeona bora nianze kujikita kwenye swala la kilimo kabla ubongo wangu hujagundua suala la ajira sio kitu cha kukitegemea.
Hivyo napata shida kidogo kupata au kujua wapi naweza pata mashamba ya kununua kwa bei ya chini kutokana...
Habari wajumbe natumaini nii wazima wa afya.
Nikienda kwenye mada moja kwa moja nilikuwa napenda kuuliza kuhusu mkoa wa Njombe maana mimi sijawahi kufika wala kupawaa ila kwa siku ya leo nimepokea simu na swali nikaitikia sema nikashindwa toa jibu.
MASWALI YENYEWE NI:
1. Kweli Njombe ina ardhi...
Jeshi la polisi mkoani Njombe linawashikilia watu watano wanaodaiwa kuhusika na mtandao wa wizi wa magari nchini ambao wamekutwa na magari Saba yanayosadikiwa kuibwa katika mikoa ya Dar es salaam, Mbeya na Singida.
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Njombe, – Hamis Issah amesema wezi hao wamekuwa...
Mkuu wa polisi Njombe Hamis Issah amewaza kukamata watuhumiwa wizi wa magari pamoja na magari sita ya wizi. Kukamatwa kwa majambazi hayo ilitokana kwa kufuatilia gari moja ambalo liliibiwa Njombe na kupeleka kupatikana kwa hayo magari mengine 6.
Pongezi kwa jeshi la polisi.
Timu ya Watalaamu wa Serikali imefika na kufanya ukaguzi wa kwanza katika maporomoko ya mto Ruhudji katika kijiji cha Itipula mkoani Njombe ambao unatarajiwa kujengwa mradi mkubwa wa umeme utakaozalisha megawats 358 za umeme.
Mradi huo ambao utajengwa katika kipindi cha miezi 36 unaotarajiwa...
Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri ameonya na kuwatahadharisha wasimamizi wa wanafunzi watakaothubutu kuchepusha na kuingiza sokoni taulo za kike zilizokabidhiwa kwa shule 28 za sekondari Mjini Njombe kwa ajili ya matumizi ya wasichana waliopevuka.
Msafiri ametoa onyo hilo leo Januari 7...
Daha maskini ya Mungu, ndugu zangu wana dansi unajua hata bongo fleva na bongo movie hawapendani tena huwa wanalogana kabisa lakini wakiwa na shida fulani au wakiona hatari inawakabili huwa wanakuwa kitu kimoja na nyinyi fanyeni hivyo maana kinawachotokea sasa ni aibu jameni.
Week hii Twanga...
Kwa ambao hamjui chawa nawasihi mtembelee vijiji vya Iringa mjionee!
Kutokana na jiografia ya ubaridi, wadudu hawa wamekita kambi mkoa huu! Inahitajika tahadhari kubwa sana kukwepa chawa uwapo mkoa huu.
Hoteli na lodge nyingi wanatumia mablanket mazito ambayo siyo rahisi kufuliwa Mara kwa Mara...
Kijana, Isaack Kawogo(24) aliyempora Askari magereza silaha aina ya SMG Usigani mkoani Iringa ameuawa kwa kupigwa risasi na Polisi baada ya kumjeruhi kaka yake, Andres Kawogo(61) akimtuhumu kuuza mashamba na kushindwa kumtoa gerezani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamis Issah amesema tukio...
DISCLAIMER: Nianze kwa kusema hii story sio ya kwangu, ni ya member Mbwichichi ambae amesimulia hii story ndani ya story
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.jamiiforums.com/threads/tukio-la-kusisimua-nililolishuhudia-kwa-macho-yangu-katika-msitu-wa-nairoto.1808580/
Hivyo nimeona nisaidie kuweka hapa iwe...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Njombe. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Njombe una jumla ya majimbo ya uchaguzi 6 ambayo ni:
Lupembe:
SWALLE EDWIN ENOSY - Amepita bila...
Prof. Kitila Mkumbo ambaye unaweza kumuita kuwa ni engeneer wa Chama kimojawapo cha upinzani hapa nchini (tukirejea sakata la waraka wa mabadiliko ndani ya Chadema) ameeleza kwa kujiamini kuwa bado vyama vya upinzani nchini havijajipanga KISERA NA KIUONGOZI hivyo Rais Magufuli anaenda kushinda...
NJOMBE- WANGING'OMBE
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa kitaifa na kimataifa na utakaohimili misukosuko ya utandawazi, unaokuwa kwa kasi bila kuharibu mazingira na ambao utakuwa na manufaa kwa wananchi wote.
Kukua kwa uchumi kunahitaji uongozi...
Habari ya majukumu wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Maparachichi ni matunda bustanini na mashambani. Maparachichi yana matumizi mengi yenye faida kubwa kwa wakulima na wadau wengine.
Maparachichi ni chakula chenye viini lishe bora kama vitamini {A, B2, C, D, E, K} na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.