nmb

NMB Bank Nepal is a commercial bank in Nepal with headquarters in Kathmandu. The bank is licensed by central bank of Nepal, the Nepal Rastra Bank and has 163 branches across the nation providing retail and commercial banking services.
Recently, it acquired Om Development Bank.
The bank's shares are publicly traded in the Nepal Stock Exchange. The Bank has a joint venture agreement with Netherlands Development Finance Company (FMO) a Dutch development bank which holds 17% of the bank's shares and is the largest shareholder of the Bank.

View More On Wikipedia.org
  1. KERO Malalamiko yangu dhidi ya NMB bank

    Mimi nimekuwa mteja wa hizi bank za hapa nyumbani ila hii bank ya NMB ndiyo bank iliyoongoza kuniginbanisha na wateja Hakuna bank yenye mfumo mbovu kama nmb imagine nimefanya muamala kutoka nmb kwenda mtandao wa simu kupitia lipa mkononi muamala wa mwisho nimefanya jumamomosi saa moja hasubuhi...
  2. Vp mshahara umeingizwa tayari NMB?

    Wakuu vp huko kwenu mshahara tayari umeingizwa wale ambao tunatumia NMb? Maana kwangu bila bila aisee
  3. Senior Manager; Credit Risk at NMB Bank

    Senior Manager; Credit Risk (1 Position(s)) Job Location : Head Office, Hq Job Purpose: Responsible for Retail Banking portfolio in safeguarding compliance in lending practice and assist to limit credit risk exposure within acceptable parameters with reference to Enterprise Risk Management...
  4. W

    EQUITY Bank unafungua account na kupewa ATM Card ndani ya dakika 10 , Crdb na Nmb wameboresha huduma zao ?

    Ninahitaji kuongeza account kati ya benki hizo mbili Crdb na Nmb. Nakumbuka hapo zamani Crdb na Nmb process zilikuwa ndefu sana wiki 1 hadi 2 Mambo yamebadilika ????
  5. J

    NMB kutoka Benki ya Makabwela hadi Mlipa Kodi mkubwa namba 1 nchini, legacy ya hayati Mkapa na Mzee Mbowe

    NBC ilipogawanywa na Kuzaliwa Benki mbili NBC na NMB zilipigwa kelele nyingi Sana Lawama nyingi zikamwendea mtemi Chenge akiwa AG wakati huo Leo NMB Ndio inaongozwa kwa kulipa Kodi TRA Kongole kwao Ben Mkapa na George Mbowe, wapumzike kwa amani Ahsanteni sana 😄
  6. Nahitaji kufungua NMB chap chap account

    Habari za asubuhi wanajamii Nahitaji kufungua nmb chap chap account je kwa pale bank nikienda watadai nini kingine tofauti na namba ya nida ili kuweza kunifungulia hiyo chap chap account
  7. Rais Samia akutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Ikulu - Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Bi. Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na...
  8. Z

    NMB acheni kuwahadaa watumishi wa umma kwa meseji za mikopo hadi milioni 200!!!

    Hivi karibuni watumishi katika idara mbalimbali wamekuwa wakipokea meseji kutoka NMB Benki zikiwataka kukopa hadi milioni 200 huku Benki ikijua kuwa watumishi hao hawakopesheki kutokana na mikopo walaiyo nayo. NMB acheni kuwahadaa watumishi.
  9. M

    NMB MLIMANI CITY WAMESITISHA HUDUMA LEO BILA TAARIFA/MAELEKEZO. WATEJA WANAPATA SHIDA HAPA.

    Nipo hapa mlimani city Iko shida kwa wateja wengi tuliopata usumbufu. Wafanyakazi waache kutoa huduma kwa mazoea.
  10. NMB mshahara umeingizwa?

    Sina mengi kwenye hizi tarehe aisee je NMB mshahara umeingizwa tayari? Au ndiyo bila bila?
  11. I

    NMB rudisheni huduma ya salary advance

    NMB, wameondoa huduma ya salary advance bila taarifa yoyote kwa wateja. Tunaomba taarifa itolewe au huduma irudishwe.
  12. Ushauri kwa NMB kuhusu miamala na mikopo

    Nilichoona na kuamua kuzinduka ni kwamba ukiwa na hoja yoyote kwenda popote basi taarifa inafika vizuri, haraka na kwa uzito kupitia Jamiiforums kuliko njia zingine za kiprotokali zinazowekwa na wahusika Leo naomba NMB wachuje ushauri huu 1. Mtu akifanya miamala kwa nmb mkononi huwa mnatoa...
  13. A

    KERO Benki ya NMB Mihayo Tabora boresheni huduma zenu

    Benki ya NMB Tabora wamekuwa na huduma mbovu. Huduma inayotakiwa kutolewa na watu watano ila inatolewa na mtu mmoja. Wateja wanapoteza muda mrefu bila kupata huduma. Mfano mtu nataka kujua salio anaweza kutumia lisaa limoja mpaka mawili anasubiri wahudumu, Lakini wahudumu hakuna yupo mmoja tu...
  14. Huduma benki ya NMB

    Benki hii unaingia unakuta mafoleni ya ajabu ajabu. Wahudumu wapo wapo tu, wanapita pita tu mara huku mara kule. Huduma mbovu na zinachelewa. Ipo hivi miaka nenda rudi. Kuna kipindi niliwahi kumwandikia barua kali meneja wa tawi moja, nikamwambia ufunge akaunti yangu sitaki tena. Nimeingia...
  15. Mmoja anielezee hiki kikokotoo cha mkopo NMB

    mkopo wa binafsi wa mwaka mmoja wa sh milion 5 Hapo chini wameandika kiasi milion 4 na laki nane?? ndo nn
  16. K

    KERO NMB huduma zenu Tawi la Bariadi Simiyu ni kero, zinaudhi. zinatwibia wateja.

    NMB Bank nyie ni taasisi kubwa hapa nchini, kila siku mnajigamba kuwa ni Benki kubwa kuliko zote hapa nchini. Ni kweli nyie ni wakubwa, nasi wateja wenu tunakubali hilo, ila Kwa upande wetu wateja wa Wilaya hii ya Bariadi hamtutendei haki. Boresheni huduma zenu za ATM Mashine, Tawi kubwa kama...
  17. D

    Kuna nini huduma za internet banking NMB huduma hatupati OTP imegoma kuonyesha tunaomba msaada

    Nimepata hitilafu ya kutopata OTP kwenye mfumo wa internet banking yapata wiki sasa. nimetoa taarifa na kupewa ticket lakini mpaka sasa kimya. ninaomba bw kalegeye ulifanyie kazi suala hili. 33410022547 simu 0754290084.
  18. Kubadili NMB chap chap kuwa Personal Account

    Nataka kubadili au ku upgrade akaunti ya NMB chap chap kuwa Akaunti ya kawaida kwani nina project inayohitaji kuwekewa zaidi tsh milioni 20 na Cha chap haiwezi kupokea tsh. zaidi ya milioni 5. Je itachukua muda gani kubadili,na kadi pia itabadilishwa,kama itabadilishwa itachukua muda gani...
  19. S

    KERO Namba ya huduma kwa waeja ya benki ya NMB: 0800002002 ni kero kubwa, haipokelewi

    Kwa kweli hii namba ni kero sana., unapiga dakika za kutosha(kumi na zaid), unakata kisha unapiga tena simu haipokelewi. Badala yake, unaambiwa uendelee kusubir mpaka unaamua kuacha /kukata. Simu nilianza kupiga tangu juzi ila mpaka leo sijafajikiwa, na sababu ya kuwapigia ni matatizo...
  20. Dar es Salaam: Kamishna Mkuu wa TRA akutana na mtendaji mkuu wa benki ya NMB

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda leo tarehe 21.11.2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna ambapo wamezungumzia mambo mbalimbali ya kikodi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…