nmb

NMB Bank Nepal is a commercial bank in Nepal with headquarters in Kathmandu. The bank is licensed by central bank of Nepal, the Nepal Rastra Bank and has 163 branches across the nation providing retail and commercial banking services.
Recently, it acquired Om Development Bank.
The bank's shares are publicly traded in the Nepal Stock Exchange. The Bank has a joint venture agreement with Netherlands Development Finance Company (FMO) a Dutch development bank which holds 17% of the bank's shares and is the largest shareholder of the Bank.

View More On Wikipedia.org
  1. Jamii Opportunities

    Head of Technology Infrastructure at NMB Bank Plc

    Head; Technology Infrastructure Job Purpose Driving strategy and execution of operations of the bank’s technology infrastructure and ensuring operational availability, performance, scalability, recoverability, security and continuous improvement of these infrastructure. Main Responsibilities...
  2. beth

    Watatu waburuzwa Mahakamani kwa utakatishaji wa Bilioni 2 za NMB

    Watu watatu wamefi kishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka matatu, likiwemo la wizi na utakatishaji wa zaidi ya Sh bilioni mbili mali ya Benki ya NMB. Washitakiwa hao ni Joseph Nicas (63) Mlinzi na Mkazi wa Kimara, Paston Pangaja (37) Mkazi wa...
  3. Jamii Opportunities

    Senior Manager, Compliance at NMB Bank Plc

    Senior Manager, Compliance Job Purpose Serving as the Data Protection Officer of the bank (DPO), is expected to support the design, development and implementation of strategies, standards and procedures to support the Data Governance program while facilitating adherence to NMB Enterprise Data...
  4. Jamii Opportunities

    Data Risk Analyst at NMB Bank Plc

    Data Risk Analyst Job Purpose The Analyst is responsible for executing investigations to identify relationships that pose money laundering, terrorist financing, fraud, and sanctions risks. The Analyst/Investigator compiles evidence and documentation in compliance with AML procedures and...
  5. Mhandisi wa Umeme

    Nimeshindwa ku-upload CV yangu kwenye website ya NMB

    Habari wandugu. kwa yeyote anayeweza kunisaidia namna ya ku-upload CV kwenye website ya Bank ya NMB. Mimi kila ninapo upload inanikatalia. Please help!
  6. B

    NMB acheni mambo ya kizamani, mnapoteza wateja wengi zama hizi za ushindani

    Kama kuna benki yenye kiwango cha chini kwenye ubunifu basi NMB ni moja wapo! Wakati benki zingine zikiwa zimeshaachana na lile sharti la kung'ang'ania mfanyakazi anayetaka mkopo lazima mshahara wake upitie benki yao, NMB wao ndo kwanza wanazidi kusisitiza hilo sharti kama kigezo namba moja...
  7. Roving Journalist

    Dar: Polisi wakamata watu 32 kwa wizi wa Bil 2.082, ndani ya benki ya NMB

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI JESHI LA POLISI TANZANIA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA WATU 32 KWA TUHUMA ZA MABILIONI YA BENKI YA NMB JIJINI DSM. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linawashikilia watu 32 kwa tuhuma za wizi wa fedha kiasi cha...
  8. M

    NMB yampongeza Saniniu kwa lugha ya kimasai

    Hakika ule msemo wa pesa sabuni ya roho umejidhihirisha baada ya Bilionea Laizer kupongezwa kimasai na Benki ya NMB wakionyesha heshima kubwa kwake. Pata pesa benki zikufate popote ulipo tena kwa kutumia lugha yako.
  9. K

    Tawi la NMB lililopo Makao Makuu ya TRA Mwanza wana huduma mbovu sana

    Leo nilitakiwa nipate huduma katika Tawi hilo kwa kulipia mapato ya TRA lakini nilipofika pale sikuamini macho yangu. Tawi lile lina madirisha matano ya kutolea huduma lakini ni dirisha moja tu ndilo lililokuwa na mtumishi wao anayetoa huduma. Wateja tulikuwa zaidi ya 200 na wengi wa wateja...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Mjue tapeli aliyewatapeli graduates wengi kwa kuwahadaa nafasi za kazi NMB

    Jamaa Facebook anajiita Venance Mbike akitaka kukutapeli anakuanzia mbali kidogo kwenye kipengele cha kukuomba urafiki. Kisha anajifanya mlisoma wote aidha chuo kikuu au sekondari lakini yeye alikutangulia kidogo but anakufahamu sana. Kama unapenda siasa atakupeleka huko, kama u mpenzi wa mpira...
  11. Wacha1

    NMB Watatoa Dividend ya 48 Billion mwaka huu, kwa Serikali na shareholders

    NMB declares 48bn/- dividend to govt, shareholders THE government and other NMB Plc shareholders will pocket 48bn/- dividend payment this year which is equivalent to 45 per cent increase compared to 33bn/- paid in the previous year. Last year, the bank handed over 10.48bn/- dividend to the...
  12. Jamii Opportunities

    Relationship Manager at NMB Plc

    Relationship Manager (Chinese Portfolio) Job Purpose To evaluate Chinese portfolio credit risks associated with lending at the client interface, with the primary objective to contain credit risk within acceptable parameters. Main Responsibilities Provision of direct credit evaluation services...
  13. CK Allan

    NMB mnakwama wapi? Mnangoja nini?

    Tayari CRDB wamepunguza riba yao ya mikopo Mpaka 14% ila naona NMB mpo kimya tu as if nothing happened. Acheni Roho mbaya kama baba yenu...
  14. Mudawote

    NMB, rushwa ya Mikopo itakomeshwa lini?

    NMB ni benki inayoongoza kwa rushwa ya mikopo, yaani afisa mikopo wanataka uwape rushwa ili wa process mkopo wako. Yaani ni benki ya ovyo kabisa.
  15. Kimwerymdodo5

    Eid Mubarrak to all members of JamiiForums

    Eid imeangukia Mokonda Day😁😁. Enewei, muwe na sikukuu njema wakuu.
  16. NMB Tanzania

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo...
Back
Top Bottom