NMB Bank Nepal is a commercial bank in Nepal with headquarters in Kathmandu. The bank is licensed by central bank of Nepal, the Nepal Rastra Bank and has 163 branches across the nation providing retail and commercial banking services.
Recently, it acquired Om Development Bank.
The bank's shares are publicly traded in the Nepal Stock Exchange. The Bank has a joint venture agreement with Netherlands Development Finance Company (FMO) a Dutch development bank which holds 17% of the bank's shares and is the largest shareholder of the Bank.
Niende moja kwa moja kwenye mada,
leo nimekwenda kuchukua fedha kwenye ATM zao na nikaomba risiti, kiwango kilichokatwa nikikubwa mno (sh 10,000). Hii gharama ya huduma ya kibenki ni kubwa mno, sikuamini macho yangu, ilibidi niangalie mara mbili kama ni sh 10,000 au 1,000.
Nawashauri NMB...
Katika hali ya kushangaza NMB mmeamua kufunga kimya kimya matawi kadhaa mliyofungua kwa mbwembwe huko nyuma. Hata mawakala mliowapa ujiko wa kufungua matawi kwa niaba yenu mmewaacha solemba baada ya kuingia gharama kubwa za ujenzi au mmelipana kimya kimya pia?
Siku hizi mmekuja na upepo wa kila...
Siku zote nimekuwa nikitoa hela kwa kutumia application ya NMB Mobile Bank na mara zote hizo sikuwai kuwa makini na masuala ya ada ya makato ambayo inachukuliwa na hawa NMB, mpaka pale nilipoamua niangalie huwa wanachukua shilingi ngapi ndipo niliposhangazwa zaidi.
Nilianza kutoa laki moja na...
Binafsi natumia account ya nmb chap chap, ambayo tulifunguliwa kwa msaada wa kampuni mahala tunapofanyia kazi.
Maafisa wa benki wakati wanaipigia chapuo tender hii walituambia makato ya nmb chapchap ni kwa kiwango cha sh,1150 pasi na malipo ya mwisho wa mwezi ukilinganisha na account zingne...
Relationship Manager, SME - Eastern Zone, Morogoro (Re-advertised)
Reporting Line: Senior Coverage Manager, SME
Location: Eastern Zone – to be based in Morogoro
Application Deadline: 04th June 2021
Job Purpose
Responsible for growing both Liabilities (Deposits) and Assets from Small and Medium...
Nina mpango wa kufungua akaunti ya akiba ili niwe nahifadhi pesa. Kisha baada ya mwaka ni draw zikiwa na interest nizifanyie wazo ambalo nitakuwa nimepanga.
Kwa wazoefu ipi ni nzuri zaidi, na je kuna tofauti gani kati ya hizo nilizotaja na Fixed Deposit Account?
Ahsante kwa msaada wenu.
Job Purpose: To be liaison between diaspora clients and the bank to ensure growth of this segment and entire business value chain with the aim of maximizing the Bank’s revenue through understanding of customer’s needs.
Main Responsibilities
To sell, develop business and ensure that there is...
Wanafunzi katika Shule za Sekondari imani yao kubwa katika kufaulu na kuhudhuria madarasa kwa furaha ni namna ambavyo Mwalimu anatoa ujuzi wake kwa kujiamini, mpangilio wa darasa lakini zaidi ni mazingira na vifaa vya kufundishia.
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Same, Mkoa wa Kilimanjaro, Juma...
Kupitia mtandao huu, napenda nitoe wazo/ushauri kwa Benki za kibiashara, hasa Benki za NMB na CRDB, benki ambazo zinaonekana kushindana kuvutia watumishi wa umma kupitishia mishahara yao katika benki hizo.
Kwa mfano,hizi benki mbili kwa sasa zote zimeanzisha huduma ya salary advance, huduma...
Head, Finance & Reporting
Reporting Line: Chief Financial Officer
Location: Head Office
Job Purpose
To ensure financial control, cost management, recording, and reporting of the bank’s financial position and safe custody of all funds and assets of the bank.
Main Responsibilities
Finance...
JOB VACANCIES
Click on each below to read more and apply/ Bofya kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply:
1. Business Planning Manager- (1 Post)
2. Legal Manager, General Contracts- (1 Post)
Deadline: 24th & 18th February 2021 respectively.
Nimebahatika kusoma ripoti ya mabenki ya CRDB na NMB kuwa mwaka huu wamepata faida ya zaidi ya 200bn/- kila mmoja.
Itakuwa ni vema sana kama sehemu ya faida hiyo ielekezwe kwenye gawio la wana hisa. Ninaishauri CRDB itoe gawio linaloendana na faida na iige NMB inayotoa gawio inayoridhisha.
Eti wadau, hivi hizi habari wanazosema NMB Bank Mkononi zipo active kweli?
Kana kwamba kila muamala utakaoufanya kwa account yako ya NMB utapokea ujumbe kwa simu. Maana naona sisikii meseji yoyote ya kamshahara kangu mwezi huu ikiingia kwa simu yangu hadi leo hii 24 January!
Relationship Manager, Chinese Desk
Job Title: Relationship Manager, Chinese Desk
Reporting Line: Senior Manager, Corporate Banking
Location: Head Office | Unit: Corporate Banking
Job Purpose
To develop and maintain relationships with a portfolio of Chinese clients within Corporate Banking while...
Ni kwenye trading session ya jana 28.12.2020 Dar es salaam stock exchange, sijajua kama NMB wame buy back au kuna local investor amenunua, au zimebadilisha ownership kwa foreign investor mwenzao (ntazidi kufuatilia)
Ikiwa kama NMB wame buy back au local investor amenunua, ina maana inakuwa moja...
Yaaani watu tumejaa foleni wafanyakazi wanapiga stori huku wamemweka mtu mmoja dirishani.
Hata kama mmetoka sikukuu mjue muda wa kazi huu. Naandika uzi huu nikiwa kwa foleni inakera sana.
Chief Finance Officer
Job Title: Chief Finance Officer
Reporting Line: Chief Executive Officer
Location: NMB Head Office
Job Purpose
The job holder is responsible for all the Bank’s fiscal operating results utilizing generally accepted accounting principles.
The job holder will also be...
1. Kijitanua: kwa East Africa Equity nafikiri ni bank inayoongoza kwa kujitanua. ipo nchi zote za EAC na imeingia kwa nguvu kubwa DRC na inanyemelea kuingia Ethiopia. Hizi zetu zipozipo tu. Nilisikia CRDB wana tawi Burundi, bado lipo.
2. Ufasta wa huduma: Equity ukiwa na namba au kitambulisho...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Dr. Edwin Mhede ndiye pia Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya NMB.
TRA ndiye mkusanya kodi na mapato wa nchi hii wakati NMB ni mmoja wa walipakodi. Bodi ya Wakurugenzi ndiyo itoayo maamuzi makubwa ya kikampuni ikiwemo kuteua, kukopa...
Wandugu poleni na majukumu, mwaka huu mwezi wa 2 nilienda kuwapelekea deni la loarn board walinunue na kwa kuwa nilikua na mkopo nao hao NMB wakanipigia mahesabu ya jumla kuwa pamoja na kununua hilo deni na kutoa deni lao watanipa jumla ya Tsh 5,660,000 nikasema poa tu kwakuwa nilikua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.