Duniani tunapita, hatudumu, tusikose kuwa na kiasi.
Ukiridhika sana hata penye shida utaona pako sawa.
Ukiiona shida ukaikalia kimya, ukasubiri mwingine aje aitatue wakati wewe uliyeiona wa kwanza ujachukua hatua yoyote wewe ni tatizo
Sifa Moja wapo kwako itakuwa ni kulaumu na kutupia lawama...