note

  1. USHAURI: Nataka kununua simu 'Xiaomi Redmn Note 10 Pro'

    Wanaoijua hii simu nahitaji msaada wenu, Je, ni simu nzuri? nimeifuatilia mtandaoni inaonekana nzuri ila nahitaji wazoefu ambao wamewahi kuitumia kabla sijajilipua kuinunua.
  2. Misaada: jinsi ya ku update software ya simu (redmi note ten)

    Nimejaribu kwa muda mrefu lakini imebaki kwenye 0% Mwanzo inataka nitumie WiFi
  3. Phone4Sale Redmi Note 9s inauzwa bei nzuri

    ..
  4. Dear Controller and Auditor General (CAG), take note on this

    Naomba nitupie hii kwa CAG kama ilivyo wadau Hello CAG It is my hope that you are doing fine, and I am also terrific. It is a great honour for us and our nation to have you in that office. CAG I am very much patriotic with our nation and national resources, in fact, I underline the concept of...
  5. Note 20 ultra screen black out

    Nimenunua hii simu mwaka jana mwezi wa tisa Mwaka huu mwezi wa pili simu imezima tu screen ghafla, haijadondoka,haijakwaruzika hata screen Imetumwa samsung Dar wanasema ni FAULT which means sina mchango kwenye kuharibika kwa hiyo screen Kikombe kiko kwa wakala wao niliponunua Arusha (mhindi...
  6. INAUZWA Water Pump,Printer,samsung Note 9, Bati Alaf na washing Machine

    Water pump Leo =300k Printer canon na Hp=200k Canon: inahitaji toner Hp: printhead imekufa Samsung note 9=400k Washing machine( von hotpoint 10kg) = 50k Washing machine: upande wa ku spin haufany kazi Bati alaf la kigae gage 28 zipo 15pcs= 800k Mazungumzo yapo..
  7. Phone4Sale Redmi Note 10

    Grab this Offer Now! Xiaomi Redmi Note 10 (Global Version) Rom: 128 GB ( store more videos, photos,etc) Ram : 4 GB Condition: Used for 3 Months Battery: 5000Mah- 12 hrs + Delivery: From Dar es Salaam to any region in TZ OFFER: 400,000 TZs (Negotiable) DM is Open for interested Buyers.
  8. Kuingia na note book Kizimbani haikuwa ishu. Jaji Alikuwa ameishaifunika akaendelea na mambo mengine. Kibatala atabwaga tena

    Pamoja na kuwa inshu ya shaidi kuingia na note book Kizimbani ijumaa wiki iliyopita Jaji alihaidi kuwa mahakama itaifanyia maamuzi Jumatatu hii. Yani ataanzia na objection ya kina kibatala. Jumatatu mahakama haikukumbuka ata si kuianzia tu maana ndipo walipoishia. Pia nikiamini pingamizi Hilo...
  9. Upon reading these notes, you will conclude that Kibatala is a novice lawyer

    Accusing a witness of “lying.” The older lawyers also taught me that I must never directly accuse a witness or a party of “lying” while I was questioning them. Yet every week I hear lawyers doing this. This is usually done by the lawyer asking the accusative rhetorical question: “Sir, you do...
  10. M

    Phone4Sale Samsung Galaxy Note 10+ inauzwa

    Habari Wanajamvi, Nauza simu yangu mwenyewe ni Samsung Galaxy Note 10+. Ina mwezi mmoja tangu niinunue, ina risiti niliyonunulia na boksi lake Bei ni laki 8.5, inapungua kidogo sana Kwa aliye serious anifuate DM Location, nipo Dar es salaam
  11. Msaada juu ya data network ya hii Galaxy note 9.

    Kwa kweli simu nilizoamini ni nzuri ni pamoja na Samsung lakini kwangu imekuwa tofauti, mwanzoni simu ilikuwa vizuri lakini sasa hivi natamani kurudi kwenye tecno na infinix, maana nikiwa safarini nawaona wenzangu wakivinjari kwenye mitandao ya kijamii mwanzo mwisho wa safari lakini hili la...
  12. Kesi ya Mbowe na wenzake inaanika hadi 'mambo ya siri za nchi'. DPP hujachelewa kuifuta

    Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mkubwa mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu. Nafuatilia kwa kwenda mwenyewe Mahakamani. Hata sasa nipo Viunga vya Law School of Tanzania ilipo Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwa ajili ya...
  13. P

    SoC01 The Suicide Note that no-one read

    THE SUICIDE NOTE THAT NO ONE READ “I am trying to be strong and fight these demons but no matter how hard I try, their voices are stronger and my pace is nothing compared to theirs. Why do I feel so empty so lost, I am tired of holding onto broken pieces of a mirror that used to mirage my life...
  14. Ubaora na bei ya Samsung galaxy Note 20

    Wakuu salama? Naomba kujuzwa sifa na bei ya Simu tajwa. SAMSUNG GALAXY NOTE 20. Nitashukuru sana.
  15. J

    Samsung note 4 firmwale

    Members msaada, nahitaj kuapdate mannual samsung note 4 ifike android 6, kwenye web ya samsung ukitaka kidownload wanataka uchague nchi ila tanzania haipo, nichague nchi ipo hapo au yoyote tu maana kwa africa naons south africa (vodafone)
  16. Mwenye Samsung note 10 kwa laki Saba

    Wakuu Niko dar es Salaam, Naitaji Samsung note 10 Bajet ni sh laki saba cash Simu iwe kwenye hali mzuri no michubuko kabisa, Mwenye nayo ani dm
  17. Naitaji Samsung note 10

    Naitaji Samsung Note 10 yenye hali mzuri no michubuko, ambayo imetunzwa vizuri. Bajet yangu ni laki sita na nusu. Niko Dar es Salaam. Mwenye nayo tafadhali npm tufanye biashara.
  18. OMBI: Mwenye code au Note za wimbo wa "Parapanda Italia"

    Inasemekana nyimbo nyingi zinazoimbwa hasa kwenye nyumba za ibada zinakuwa na mpangilio maalum ambao mtu yeyote akiufuata anaweza kuimba. Sasa kuna huu wimbo una maneno kama ifuatavyo. "Parapanda italia parapanda, Parapanda italia parapanda" Mwenye kujua au mtaalamu wa nyimbo anisaidie...
  19. Kati ya Xiaomi Redmi Note 8(snapdragon) na Redmi Note 9 (Mediatek) ipi bora?

    Wadau habari zenu.? Nilikuwa natumia Samsung A30, ambayo nilinunua mwaka juzi ,nilipanga mwaka huu ninadilishe.. bahati mbaya jana nikiwa na mashkaji tunapiga mambo niliidondosha, haifanyi kazi kwenye screen, ofcourse huwa situmii screen protector hivyo tangu muda imepasuka kioo, ila jana kioo...
  20. M

    Msaada redmi note 8 pro china version

    Habar wadau, Nimeipenda simu ya xiaomi redmi note 8 pro ila ni china version Bei yake 450,000 Kabla ya kufanya manunuzi napenda kufahamu China version ya xiaomi itashika band za Tanzania? Pia bei hio ni reasonable kwa simu hio Ushauri wadau.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…