Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko kuanzia tarehe mosi Februari mwaka huu.
Gavana Tutuba amesema hayo wakati...
emmanuel tutuba
fedha
gavana wa benki kuu
kuanza
kutumika
mpya
mwigulu
mwigulu nchemba
notinoti mpya
saini
tarehe
waziri
waziri wa fedha
wizara ya fedha na mipango
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka watanzania kuziwasilisha noti za zamani za shilingi ya Tanzania katika ofisi za BoT pamoja na benki zote za biashara na kupatiwa malipo yenye thamani ya kiasi kitakachowasilishwa katika zoezi linalotarajiwa kuanza Januari 6, 2025 hadi Aprili 5, 2025.
Zoezi...
Jamii nyingi hazina hii pressure, mnakutana kiukoo kwenye misiba na sherehe, Imeisha hio!!
Kwa upande mwengine sana kuna haka kautamaduni mnakutana wiki hadi mwezi kwa dhumuni la kujuliana hali, kutambulisha wanafamilia wapya, n.k. Na ole wako ukose sasa kwenda kijijini, kelele zinaanza...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa kila jambo na wakati wake na majira yake kwa sababu maalumu.huu ni wakati na muda muafaka kabisa kuchapisha noti zitakazokuwa na picha na sura ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Hii ni katika kuweka historia...
Endeleeni tu kudhani Watu wote hatukunywa Maziwa na hatukula Samaki wa Sato na Sangara ili tuwe na Akili Kubwa za Kuwatangulieni kujua kile mlichokipanga au kuna mbinu gani mmeitumia hapa kwa Zoezi hili na hasa kuelekea huo mwaka wa Uchaguzi Mkuu (2025)
Mwaka fulani nilipomaliza chuo kikuu nikiwa bado kupata ajira rasmi niliamua kutafuta kazi nje ya kile nilichosomea chuoni. Kwani nilipokuwa o-level shule ya ufundi nilisomea ufundi wa kupaka rangi, hivyo niliamua kutafuta kazi hiyo ili niweze kusurvive ndani ya jiji la DSM huku nikiendelea...
Benki kuu ya Tanzania imethibitisha Kuwa Noti Inayosambaa Mitandaoni Ikionesha Noti Ya Fedha Ikiwa Na Sura ya Rais Samia Suluhu Hassan Kuwa Sio Sahihi. Taarifa kama Inavyo onekana Kwenye Picha.
Soma Pia: Mwigulu: Natamani noti ya 100 iwe na nembo ya Yanga
Mafanikio ya Yanga na Klabu nyingine yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hamasa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia ambapo amekuwa akitoa shilingi milioni tano kwa kila goli linalofungwa katika hatua ya makundi na shilingi milioni kumi kuanzia hatua ya robo fainali. Hivyo, kwa namna ya pekee naomba...
Wakuu habari?
Kwa watu walio makini wakishika fedha hasa noti mtagundua kuna tatizo sugu la uchakavu wa noti zetu hasa shilingi elfu moja, elfu mbili, pamoja na noti za elfu tano,hili kwa sisi watanzania wa kawaida tunaliona madukani, sokoni na kwenye daladala, unapotoa fedha kununua bidhaa au...
Salamu Wakuu,
Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini
Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa benki tellers
Katika mjadala unaondelea huko X inaonesha kuna benki ambazo zinahusishwa na tabia hii...
Salam humu.
Hizi noti zinasumbua Sana mtaani kwenye mzunguko wa pesa hasa kwenye biashara.Nahisi zimekuwa nyingi idadi tofauti na noti nyingine.
Sasa hivi ukienda kwenye ATM hawatoi kabisa noti za elfu tano.Yaani wanakwambia kabisa tunatoa mafungu ya kumi kumi tu.Na hata ukienda ndani ya benki...
Hivi kwanini kusiwe na utaratibu mazuri wa namna ya kutunza cash za noti? Unakuta noti za elfu kumi, elfu moja, elfu mbili au elfu tano zinawekwa ovyo sana kwa kukunjwa kunjwa na watu kiasi ambacho Ile durability tunayoambiwa haipo tena.
Nchi zilizoendele noti zote zipo electronically na hakuna...
Nchi ya Zanzibar wataamua wenyewe cha kufanya, ila upande wa Tanganyika, napendekeza ziondolewe sifuri mbili kwenye sarafu zake zote.
Kwa mantiki hiyo:-
1.) Tsh. 100/= itakuwa Tsh. 1/=
2.) Tsh. 200/= itakuwa Tsh. 2/=
3.) Tsh. 500/= itakuwa Tsh. 5/=
4.) Tsh. 1,000/= itakuwa Tsh. 10/=
5.) Tsh...
Usaini mkataba, upewe mengi manoti,
Tupe mgodi wa shaba, wenye ya kudumu hati,
Masharti yote saba, yapite kimkakati,
Saini hu mkataba, upewe mengi manoti.
Utalindwa kisiasa, mkataba kisaini,
Tutakupa nyingi pesa, Leo na huko mbeleni,
Huna kitu utakosa, mkataba kisaini,
Saini hu mkataba, upewe...
Sheria ya Tanzania inataka pesa za noti ziwekwe kwenye waleti siyo mfukoni kwa kuzikunja kunja lakini watanzania hii sheria sijui kama tunaijua. Ukikunja pesa na kuiweka mfukoni tu ni kosa na adhabu mi miaka kumi jela. Siku BOT ikianzq kufatilia msiseme sikuwaambia. Hii hata pascal mayala hajui
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.