- Wakuu leo katika pita pita zangu nimepita sehem mmoja hivi kariako mtaa wa sikukuu ! hapo Nilikutana na wanaa basi tukapiga piga stori mbili tatu na nisemee wazii nimepataa vituu adimu sana.
- Kwanza nimegundua kuwa ule msemo wa Adui mkubwa wa umasikini ni Elimu ni kweli kabisaa na hii ni...
Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari akiwa na Gavana wa Benki Kuu, Godwin Emefiele wamezindua noti hizo lengo likiwa ni kuzuia uingizaji wa bidhaa za magendo na kupunguza nguvu ya ufadhili katgika vikundi vya waasi vinavyotumika kuteka watu.
Noti hizo mpya za Naira 200, 500 na 1,000 zinatarajiwa...
Jalada la kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili washtakiwa 13, wakiwemo waliyokuwa watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), lipo mezani kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kwa ajili ya kupitiwa na kutolewa maamuzi.
Kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka matano, likiwemo la kuharibu noti 4.6...
Je, nini yatakuwa manufaa / hasara za kuweka QR code kwenye noti za BOT?
=========================
https://www.jamiiforums.com/threads/je-nchi-kuchapisha-pesa-zake-nje-ya-nchi-ni-sahihi.1877297/
===========================
==========================
Upelelezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabiliwa washtakiwa 13, wakiwemo waliyokuwa watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), bado haujakamilika. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashitaka matano, likiwemo kuharibu noti 4.6 milioni kwa kuzichanachana na hivyo kuisababishia benki hiyo hasara...
Kama mnavyojua aliekuwa Waziri wa Fedha kipindi hicho ni Dkt. Mpango na kwa sasa ni Makamu wa Rais hivyo noti za fedha zilikuwa na saini yake akiwa kama Waziri, kwa sasa Waziri Ni mwingine je! Kwanini saini ya Waziri husika isiwekwe kwenye noti?
Mpaka sasa akija mgeni asiyejua au mtoto anaenza...
As/aleikum wapendwa,
Jamani Kuna ndugu yangu mfanyabiashara,ana noti chakavu za Kama shilling laki sita,
Utaratibu upoje akitaka kwenda kuzibadili pale bank kuu?
Asante
Kila taifa huwa Lina historia na tunu zake, tuna Rais wa kwanza mwanamama.
Tumpe kumbukumbu moja mujarabu ya hata sarafu yenye picha yake! Ni sisi tu afrika mashariki na kati
Awali ya yote nipende kumshukuru yeyote atakaye nusa au kuuweka machoni uzi huu.
Nime kuwapo katika mikoa tajwa apo juu kwa vipindi tofauti tofauti. Katika vipindi hivyo vyote nimekuwa shuhuda wa tatizo hilo, noti zinazotumika katika mikoa tajwa zina hali mbaya. Kwa tizama yangu sabubu kuu ya...
Kwanini serikali isiunde mpesa yake ambayo watu watakuwa wanatumiana pesa na kufanya biashara bila makato yoyote. Yaani kama hivi wanavyofanya kwa noti.
Si litakuwa jambo la kimapinduzi sana ikifanya hivyo halafu baada ya muda noti zikaondolewa kwenye mzunguko.
Tunahitaji kubadilisha muonekano wa fedha zetu sasa, hizi zimesha chakaa na zimeshatuchosha.
Kwa miaka zaidi ya kumi tumekuwa na muonekano huo huo hii ni aibu ya taifa.zania Zinahitajika kubadilishwa
Hivi karibuni Waziri wetu wa sheria pamoja na Gavana wa benki kuu wamejitokeza na kutukumbusha kuwa ni kuvunja sheria kuchezea au kuziharibu Noti zetu pamoja na sarafu. Ni vizuri kwao kutuelimisha juu ya kuwepo sheria hizo ili wananchi wasije kutwa na hatia mara watakapo tiwa mbaroni kwa...
Wakuu habari za muda na wakati huu,
Kwa sasa kumekua na wimbi la watu wanaotafuta noti za shilingi 500 zile za zaman mpk wanadiriki kutoa dau nono kwa yeyote aliyenazo, unakuta mtu anatoa mpk 30,000 kwa ajili ya noti moja ya 500.
Je, kuna kitu gan cha special kias kwamba mpaka mtu anatoa kias...
Wadau napendekeza Mheshimiwa wetu mpendwa Rais Samia Suluhu Hassan, Tuchape noti zenye sura yake kwasabab;-
Ndiyo Rais wa kwanza Mwanamke.
Utendaji wake ni wa kutukuka.
Ana kazi kubwa ya kulikomboa taifa kutoka katika giza nene la chuki, unyanganyi, kupotezana kupigana risasi na ubabe...
Let me admit. JPM ana mapungufu ya kutosha. Hata hivyo, bado ni chaguo sahihi kwa vita ya ufisadi. I believe, pesa nyingi zimefichwa "majumbani chini ya magodoro". Ninamuomba achapishe noti mpya haraka iwezekanavyo. Kwenye matumizi ya dola amejitahidi sana.
I advise him to do the same wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.