Leo nimepokea huu ujumbe kutoka benki kuu.
"Ewe Mwananchi Benki kuu ya Tanzania inakukumbusha kutunza vyema Noti na Sarafu zetu ili taifa lisipate gharama kuchapisha fedha kila mara kufidia uharibifu"
IPi ni nafuu zaidi? waongeze ubora ili kuchelewa kuchakaa kwa noti zetu au quality iendelee...
Nimesoma bibilia ya agano la kale mwanzo:2:15 mungu anamlaani nyoka kwa matendo yake na alijua kuwa ni mwerevu kuliko wanyama wote hivyo naweza kuchukulia maana hyo kwenye kutambua alama ya nyoka kuwa ni mdudu mwenye sumu kali na ukitaka kumuua tafuta kichwa.
Je swali langu nyuka amepewa sifa...
Ripoti ya Dondoo za Takwimu za Robo mwaka inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeonyesha ongezeko kubwa la thamani na mzunguko wa noti ya Sh10,000.
Ufuatao ni mwenendo wa thamani ya mzunguko wa noti za Sh10,000 mtaani.
Desemba 2018 ➡ Sh3.6 trilioni
Desemba 2019 ➡ Sh4 trilioni
Desemba...
Habari wakuu,
Nimeona taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki imetambulisha noti yake itakayotumika katika nchi wanachama, iliyopewa jina la SHEAFRA (SHF). Wengi wameinukuu akaunti kutoka mtandao wa X (zamani Twitter) inayojulikana Government of East Africa
Moja ya...
Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania ili kutunza kumbukumbu na alama muhimu ya Maendeleo ya Nchi yetu.
BoT fanyeni haraka wazo hili.
===
Mhe. Waziri Mkuu mwaka 2006 Bunge hili lilipitisha sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya kuipa mamlaka benki hii...
Jeshi la Polisi Mkoani Pwani limekamata noti za fedha zenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 13 za bandia pamoja na Mtambo wa kutengeneza pesa hizo Maeneo ya Goba jijini Dar es salaam ambapo baadhi ya noti hizo zilishaanza kutumika mitaani ikiwemo Msata, Chalinze Mkoani Pwani
Tukio hilo...
Kimsngi sina sababu kubwa sana ila kwa mtazamo wangu naona ni noti fulani isiyo vutia
Rangi mbaya na ni pana(kubwa) sana
Wenye mamlaka litizameni hili.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika kipindi cha kuanzia Novemba 01, 2023 hadi Novemba 11, 2023 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 34 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo mauaji, utoroshaji madini, wahamiaji haramu, wavunjaji na watengenezaji na wasambazaji wa noti bandia.
Jeshi la Polisi Mkoa wa...
WAZIRI ADAIWA KUMWAGA NOTI KUNUNUA KAWE BEACH, NHC YASEMA HAIJAUZWA NI MALI YAKE NA KAMPUNI YA DUBAI
WAZIRI mmoja mwandamizi, anadaiwa kuibua hali ya sintofahamu kwa wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wa eneo la Kawe Beach, kwa kuwalipa mamilioni ya fedha ili waondoke kupisha...
Meneja Huduma za Kibenki wa Benki Kuu Kanda ya Kusini, Melchiades Rutayebesibwa amesema fedha zilizochakaa zimekuwa zikirudishwa ili kubadilishwa ambapo zipo zilimwagikiwa rangi, zilizoandikwa na zingine huja zikiwa zimekatwa katika pembe nne.
Akizungumza katika mahojiano maalumu yaliyotokana...
Nikikumbuka nacheka sana.
Nilipomaliza chuo nilipata internship mahala fulani, baada ya mwaka nikapata fulltime job kwenye NGO moja kubwa sana hapa TZ, hapo nilikua kijana wa starehe sana. Nilikua nna tabia moja mbovu sana mwisho wa mwezi, mshahara ukiingia nusu yake nalewea na kuspenda na...
Napenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la kuongeza hadhi ya fedha nchini na kuleta faida za kiuchumi na kifedha kwa taifa letu.
1. Pendekezo...
Kwa zaidi ya siku 10 nimekuwa nikitafuta dola 12,000 kwa ajili ya kuweza kuagiza vitu fulani China.
Nimezunguka kwenye mabenki yote makubwa, jibu lao hatuna USD. Nimeenda bureau de change, nako nimezunguka sana.
Jana jioni nikafika kwenye duka moja la kubadilishia fedha, nilipoingia ndani...
Mwishoni mwa miaka ya 1980, Benki Kuu ya Tanzania ilitoa noti ya Shilingi Mia Mbili. Noti hii maarufu upande wake mmoja ulikuwa na picha ya wavuvi wawili wakiwa wamebeba samaki mkubwa wakiwa wanaelekea nchi kavu.
Najua wengi wetu hatufahamu kwanini iliwekwa picha ya wavuvi wale? Basi jua...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia JOSEPH NGOYA mwenye umri wa miaka 34, Mkazi wa Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma za kupatikana na Noti bandia za shilingi elfu kumi.
Ni kwamba mnamo tarehe 23.02.2023 huko maeneo ya Kituo cha Mafuta (Sheli) ya Kazibure iliyopo barabara Kuu (Tunduma...
Habari za leo wana JF?
Ni kama miezi mitatu hivi nimeanza kuona hizi noti za elfu moja zikitamba sana mtaani, yaani zimekuwa nyingi unaeza kudhani kuna mahali ziliwekwa sasa zimeachiwa.
Wataalam wa masuala ya uchumi tunaomba ufafanuzi hapa.
Enzi zile za utawala wa awamu ya 5 mambo yalinoga sana. Kila uchwao tungeweza kupigwa biti zito na jipya, kwa kifupi nchi ilikuwa ya moto kila siku, matamko ya kila namna.
Siku moja katika majukumu yake ya kawaida, hayati Magufuli akautangazia umma kupitia kwenye hotuba yake kuwa asingeshindwa...
Hello hello,
Mlima(Mt.)Kilimanjaro the pride of Tanzania.
Ebu ifike pahala kama taifa tuwe serious kwenye fikra na dhamira mbali mbali katika uendeshaji na mipango ya nchi, tutafakari tu, hivi upekee wa Tanzania katika utambulisho wa nembo za rasilimali kuu za taifa kwenye pesa zetu hasa noti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.