noti

NotI is a restriction enzyme isolated from the bacterium Nocardia otitidis.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanzania yazindua Noti Mpya toleo la 2010 zenye Saini ya Waziri Mwigulu Nchemba na Gavana Emmanuel Tutuba

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko kuanzia tarehe mosi Februari mwaka huu. Gavana Tutuba amesema hayo wakati...
  2. Hizi ndizo noti zitakazoondolewa kwenye mzunguko kuanzia Januari 06 hadi Aprili 05 mwaka huu

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka watanzania kuziwasilisha noti za zamani za shilingi ya Tanzania katika ofisi za BoT pamoja na benki zote za biashara na kupatiwa malipo yenye thamani ya kiasi kitakachowasilishwa katika zoezi linalotarajiwa kuanza Januari 6, 2025 hadi Aprili 5, 2025. Zoezi...
  3. BOT watoa orodha ya matoleo ya noti zitakazotolewa kwenye mzungunguko

    Angalia kwenye picha niliyoambatanisha. Source: Facebook page ya BOT
  4. G

    Ni aibu kurudi kijijini kila mwaka hujapiga hatua, Ni lazima utarudi mjini na hasira ya kuzisaka noti, kwenye ukoo unadharaulika kama huna pesa

    Jamii nyingi hazina hii pressure, mnakutana kiukoo kwenye misiba na sherehe, Imeisha hio!! Kwa upande mwengine sana kuna haka kautamaduni mnakutana wiki hadi mwezi kwa dhumuni la kujuliana hali, kutambulisha wanafamilia wapya, n.k. Na ole wako ukose sasa kwenda kijijini, kelele zinaanza...
  5. Hamsini ya Noti (Benki kuu ya Tanzania)

    Hamsini ya noti Wakongwe hii ilitumika mwaka gani? Na vitu gani ulikuwa unaweza kununua?
  6. L

    Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kila jambo na wakati wake na majira yake kwa sababu maalumu.huu ni wakati na muda muafaka kabisa kuchapisha noti zitakazokuwa na picha na sura ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hii ni katika kuweka historia...
  7. Kwanini Benki Kuu iliyo chini ya Serikali ya CCM imeamua kubadili Noti za Tanzania mwakani ambako pia kuna Uchaguzi Mkuu?

    Endeleeni tu kudhani Watu wote hatukunywa Maziwa na hatukula Samaki wa Sato na Sangara ili tuwe na Akili Kubwa za Kuwatangulieni kujua kile mlichokipanga au kuna mbinu gani mmeitumia hapa kwa Zoezi hili na hasa kuelekea huo mwaka wa Uchaguzi Mkuu (2025)
  8. Huwenda hii ikawa ndio sababu ya kubadilishwa kwa noti za Tanzania

    Mwaka fulani nilipomaliza chuo kikuu nikiwa bado kupata ajira rasmi niliamua kutafuta kazi nje ya kile nilichosomea chuoni. Kwani nilipokuwa o-level shule ya ufundi nilisomea ufundi wa kupaka rangi, hivyo niliamua kutafuta kazi hiyo ili niweze kusurvive ndani ya jiji la DSM huku nikiendelea...
  9. Benki kuu ya Tanzania yakanusha Noti yenye Sura ya Rais Samia

    Benki kuu ya Tanzania imethibitisha Kuwa Noti Inayosambaa Mitandaoni Ikionesha Noti Ya Fedha Ikiwa Na Sura ya Rais Samia Suluhu Hassan Kuwa Sio Sahihi. Taarifa kama Inavyo onekana Kwenye Picha. Soma Pia: Mwigulu: Natamani noti ya 100 iwe na nembo ya Yanga
  10. CHAPISHO LA NOTI YA SHILINGI 10000 IMEWEKWA PICHA YA SAMIA KAMA MWANAMKE WA KWANZA RAISI

    Picha hizo hapo
  11. ALAMA MUHIMU ZA KUTAMBUA NOTI HALALI

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi iendelee It's me Foffana Mama Samiaaaaa Mi5 tenaaaaaa
  12. Mwigulu: Natamani noti ya 100 iwe na nembo ya Yanga

    Mafanikio ya Yanga na Klabu nyingine yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hamasa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia ambapo amekuwa akitoa shilingi milioni tano kwa kila goli linalofungwa katika hatua ya makundi na shilingi milioni kumi kuanzia hatua ya robo fainali. Hivyo, kwa namna ya pekee naomba...
  13. I

    Uchakavu wa noti za fedha yetu Watanzania

    Wakuu habari? Kwa watu walio makini wakishika fedha hasa noti mtagundua kuna tatizo sugu la uchakavu wa noti zetu hasa shilingi elfu moja, elfu mbili, pamoja na noti za elfu tano,hili kwa sisi watanzania wa kawaida tunaliona madukani, sokoni na kwenye daladala, unapotoa fedha kununua bidhaa au...
  14. Mbona kama tatizo la wateja katika benki kupata noti pungufu wanapotoa hela linaota mizizi?

    Salamu Wakuu, Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa benki tellers Katika mjadala unaondelea huko X inaonesha kuna benki ambazo zinahusishwa na tabia hii...
  15. H

    Kwa hii idadi ya noti za tsh 10,000 ziazotoka kila dakika kwenye ATM kuna ulinganifu kweli na noti nyingine mtaani?

    Salam humu. Hizi noti zinasumbua Sana mtaani kwenye mzunguko wa pesa hasa kwenye biashara.Nahisi zimekuwa nyingi idadi tofauti na noti nyingine. Sasa hivi ukienda kwenye ATM hawatoi kabisa noti za elfu tano.Yaani wanakwambia kabisa tunatoa mafungu ya kumi kumi tu.Na hata ukienda ndani ya benki...
  16. D

    Serikali inatumia gharama kubwa sana kutunza pesa zake zilipo kwa watu hasa noti

    Hivi kwanini kusiwe na utaratibu mazuri wa namna ya kutunza cash za noti? Unakuta noti za elfu kumi, elfu moja, elfu mbili au elfu tano zinawekwa ovyo sana kwa kukunjwa kunjwa na watu kiasi ambacho Ile durability tunayoambiwa haipo tena. Nchi zilizoendele noti zote zipo electronically na hakuna...
  17. Napendekeza kuondolewa sifuri mbili kwenye sarafu na noti zote za Tanganyika

    Nchi ya Zanzibar wataamua wenyewe cha kufanya, ila upande wa Tanganyika, napendekeza ziondolewe sifuri mbili kwenye sarafu zake zote. Kwa mantiki hiyo:- 1.) Tsh. 100/= itakuwa Tsh. 1/= 2.) Tsh. 200/= itakuwa Tsh. 2/= 3.) Tsh. 500/= itakuwa Tsh. 5/= 4.) Tsh. 1,000/= itakuwa Tsh. 10/= 5.) Tsh...
  18. Saini upate noti

    Usaini mkataba, upewe mengi manoti, Tupe mgodi wa shaba, wenye ya kudumu hati, Masharti yote saba, yapite kimkakati, Saini hu mkataba, upewe mengi manoti. Utalindwa kisiasa, mkataba kisaini, Tutakupa nyingi pesa, Leo na huko mbeleni, Huna kitu utakosa, mkataba kisaini, Saini hu mkataba, upewe...
  19. D

    Sheria inasema " Pesa za noti zote zihifidhiwe kwenye waleti wakati wa kuzibeba au kusafili"

    Sheria ya Tanzania inataka pesa za noti ziwekwe kwenye waleti siyo mfukoni kwa kuzikunja kunja lakini watanzania hii sheria sijui kama tunaijua. Ukikunja pesa na kuiweka mfukoni tu ni kosa na adhabu mi miaka kumi jela. Siku BOT ikianzq kufatilia msiseme sikuwaambia. Hii hata pascal mayala hajui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…