novemba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Madereva wa mabasi za abiria na malori wapatao 200 wamefutiwa leseni zao kuanzia Agosti hadi Novemba

    Wakuu, Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama barabarani nchini limewafutia leseni madereva wa mabasi za abiria na malori wapatao 200 kuanzia mwezi Agosti hadi Novemba 2024 kwa makosa mbalimbali ya usalama barabarani. Hayo yamebainishwa leo Desemba 12, 2024 na Mkuu wa Idara ya Elimu ya Usalama...
  2. J

    LGE2024 Mdau, yapi maoni yako ya Jumla kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024?

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Changamoto, Mafanikio, na Mustakabali wa Demokrasia Yetu Novemba 27, 2024, Watanzania walishiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa lengo la kuchagua viongozi wa vijiji, vitongoji, na mitaa. Uchaguzi huu, kama chombo muhimu cha kukuza ushiriki wa...
  3. Waufukweni

    Wamiliki jengo lililoporomoka Kariakoo wafikishwa Mahakamani Kisutu

    Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka 31 ya kuua bila kukusudia. Washtakiwa hao ambao wanadaiwa kuwa wamiliki wa jengo lililoanguka mtaa wa Mchikichi na Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusabanisha vifo vya watu...
  4. L

    CPA Amos Makala azungumza na Waandishi wa Habari leo asubuhi saa nne

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa Itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makalla anatarajia kuzungumza masuala mazito na waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi muda wa saa nne Asubuhi ya Leo Ijumaa ya tarehe 29. Ambapo msemaji huyo wa CCM chama kiongozi Barani...
  5. U

    Picha bora kabisa ya mwezi huu wa Novemba 2024

    Kichwa cha habari chahusika
  6. Roving Journalist

    LGE2024 Zoezi la Upigaji Kura Mwanza linaendelea licha ya mvua kunyesha, leo Novemba 27, 2024

    Mbali na baadhi ya wananchi kujitokeza lakini kumekuwa na changamoto mbalimbali kama vile Utaratibu wa majina haujafuata mpangilio wa majina ya watu (alfabeti) na kuchanganywa hali ambayo inasababisha usumbufu kwa wapigaji kura Mfano Katika kituo cha kupigia kura cha National Housing Kata ya...
  7. Roving Journalist

    LGE2024 Hali ilivyo Upigaji Kura Meatu na Itilima Mkoani Simiyu, leo Novemba 27, 2024

    Wananchi wa Wilaya za Itilima na Meatu Mkoani Simiyu wakiendelea na zoezia la kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.
  8. Roving Journalist

    LGE2024 Mambo ya kuzingatia unapoenda kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mtaa, leo Novemba 27, 2024

  9. Roving Journalist

    LGE2024 Dkt. Doto Biteko ahimiza Watanzania kupiga Kura Novemba 27, 2024 asema ni Haki ya Kikatiba

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza Watanzania kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Dkt. Biteko ametoa rai hiyo leo Novemba 25,2024 akiwa mkoani Geita ambapo amesema uchaguzi huo ni muhimu hususan kwa ukuzaji wa demokrasia...
  10. Waufukweni

    LGE2024 RC Chalamila azindua Bata la Disemba, kujipoza na majanga ya Kariakoo "Usije kwenye Bata kama hujapiga Kura Novemba 27"

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amezindua rasmi "Bata la Disemba - End of the year Carnival," akisisitiza kuwa hafla hiyo ni ya kipekee kwa wananchi wa mkoa huo, na inalenga kujipongeza baada ya changamoto mbalimbali zilizojitokeza, ikiwemo ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo...
  11. M

    DOKEZO Mishahara kwa watumishi wa Umma Novemba 2024: Kwanini Serikali haikulipa mishahara kwa baadhi ya watumishi hadi leo?

    Moderators naomba msifuze au kuunganisha huu uzi. Naamini JF ni Platform kubwa na hata Rais wa nchi na viongozi wengine wanapitia humu. Naanza kwa kudeclare interest binafsi ni Mtumishi wa umma na mshahara ni haki yangu kama ninavyotimiza wajibu wangu. Nyie matajiri na mabilionea wa JF...
  12. Swahili AI

    Mshahara Novemba 2024

    Umebakia ule mshahara wa mwezi desemba. Tokea jana watu ni kuweka heshima na kumaliza kila kitu, kila ukiagiza unaambiwa kuna foleni ama vimekwisha. Tuonane Njaanuary 2025 kipindi cha kausha damu kutengeneza fedha za kutosha kutokana na matanuzi ya desemba na mahitaji ya january.
  13. Nehemia Kilave

    LGE2024 Tamko la kutangaza siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa siku ya mapumziko la mwaka 2024

    TAMKO LA KUTANGAZA SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA SIKU YA MAPUMZIKO LA MWAKA 2024 KWA KUWA kifungu cha 3 cha Sheria ya Sikukuu za Kitaifa, Sura ya 35, kinampa Rais mamlaka ya kutangaza siku yoyote kuwa siku ya mapumziko kama nyongeza ya siku zilizoainishwa kwenye Jedwali la Sheria...
  14. Waufukweni

    LGE2024 Ruvuma: Kapinga ataka Wananchi kujitokeza kwa wingi Novemba 27 kupiga Kura

    Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga anaendelea na kazi ya kuhamasisha Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma ili waweze kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka...
  15. Waufukweni

    LGE2024 Mwenezi Mvamba ahamasisha Wananchi kujitokeza kupiga kura Novemba 27

    Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Wilaya ya Iringa Vijijini Ndg, Anold Hezron Mvamba amewataka Wananchi kujitokeza katika zoezi la kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika 27 Novemba 2024 . Mwenezi Mvamba ameyasema hayo leo Novemba 21. 2024 katika Mkutano wa...
  16. JanguKamaJangu

    Listi ya Timu za Premier League zilizo na wachezaji wengi majeruhi kufikia Novemba 19, 2024

    How each Premier League club has been affected by injuries so far as Man City and Arsenal bemoan availability problems... with FIVE sides worse off than the title rivals. Pep Guardiola and Mikel Arteta have frequently bemoaned injury problems this season, but title rivals Manchester City and...
  17. JanguKamaJangu

    Balozi Ujerumani kushuhudia michezo Jumuishi kwenye Viwanja vya Filbert Bay, Novemba 25, 2024

    BALOZI wa Ujerumani Nchini Tanzania, Thomas Terstegen anatarajia kushuhudia michezo jumuishi itakayoshirikisha vijana zaidi ya 45, michezo itakayofanyika Novemba 25, 2024 kwenye Viwanja vya Filbert Bay, Kibaha Mkoani Pwani. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Mkurugenzi wa Special Olympics...
  18. Waufukweni

    Jezi mpya za Yanga za Klabu Bingwa kuzinduliwa Novemba 20

    Klabu ya Yanga Sc kupitia kwa Meneja wake wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe, imethibitisha kuwa jezi mpya za klabu hiyo kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zitazinduliwa Tarehe 20, Novemba 2024 na zitauzwa kwa Tsh 50,000/= tu. "Tarehe 26 mwezi huu tuna mchezo wa ligi ya Mabingwa, wengi...
  19. Mtoa Taarifa

    🩸 Novemba 14, 2024 Siku ya Kisukari Duniani

    Kisukari ni ugonjwa sugu unaoathiri mtu 1 kati ya 10 duniani kote. Husababisha kiwango cha sukari mwilini kuwa juu sana kwa sababu mwili hauzalishi insulini ya kutosha au hauwezi kuitumia insulini vizuri kama unavyopaswa. Dalili za kisukari ni pamoja na: 🚰 Kuhisi kiu kupita kiasi 🚽 Kuenda...
  20. Cute Wife

    Polisi watoa tamko tukio la jaribio la utekaji Kiluvya, wasema uchunguzi umeanza toka aliporipoti Novemba 11, 2024

    Wakuu, Baada ya video kutoka ndio tunajuzwa tukio lilitokea juzi! Bila video kuja kitaa wananchi tujakua lililotokea uchunguzi ungefanyika kweli au ndio lingeisha kimyakimya, pengine na kaka wa watu kwenda kuchukuliwa tena mara hii wakiwa wamwjipanga? Halafu mbona wanaremba maneno hivyo "watu...
Back
Top Bottom