novemba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Kenya yatangaza Novemba 13, 2023 kuwa siku ya Mapumziko ya Umma kwaajili ya Kupanda Miti

    Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani na Utawala wa Nchi imetangaza kuwa Novemba 13, 2023 itakuwa Siku ya Mapumziko kwa Nchi nzima ambapo Wananchi wote watatakiwa kushiriki katika Upandaji Miti. Taarifa ya imesema hatua hiyo ni mpango wa Serikali kurejesha na kulinda mazingira...
  2. Roving Journalist

    Bunge la 12: Prof. Kitila: Uchumi wa Tanzania unakua kwa Wastani wa 6% kwa Mwaka ndani ya Miaka 20 iliyopita

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 6, leo Novemba 6, 2023. https://www.youtube.com/live/5b96dhbHqyo?si=pgTrPHJvwGnYJKTO SPIKA TULIA: WABUNGE MARUFUKU KUZUNGUMZA NA SIMU BUNGENI, HESHIMUNI SEHEMU YA KAZI Spika wa Bunge, Tulia Ackson amekumbushia katazo lake kwa...
  3. GENTAMYCINE

    Haya Chukueni hii kuhusu 'Derby' ya Kesho ( Leo ) tarehe 5 Novemba, 2023 Mkapa Stadium

    Refa akiwa Mwanamke yule Dada wa Singida ( ambaye ni mwana Simba SC lia lia ) kwa 100% Simba SC anashinda. Refa akiwa Mwanaume ( hasa Aragija ) ambaye pia Kiuhalisia ni mwana Yanga SC lia lia kwa 100% Yanga SC inashinda. Refa akiwa ni Mwanaume ( hasa Eli Sasi ) Mechi itaisha Sare kwakuwa huyu...
  4. Roving Journalist

    Serikali imekamilisha uandaaji na uidhinishaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 Toleo la Mwaka 2023

    Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litaketi kwenye Mkutano wa 13, Kikao cha 4, leo Novemba 3, 2023 ambapo mambo kadhaa yatajadiliwa. Karibu kufuatilia kikao hiki. https://www.youtube.com/live/UZMpzMvlg2k?si=E92_VLUo4Q-0U9o0 Serikali imekamilisha uandaaji na uidhinishaji wa Sera ya...
  5. Mhaya

    Wasafi Record Label kutambulisha msanii mpya katikati ya Novemba

    Katika post iliyowekwa twitter (X) na msanii ambae pia ni mkurugenzi wa Wasafi media na wasafibet, Diamond Platnumz ameonesha kuwa katikati ya November atatambulisha msanii mpya wa mziki wa kizazi kipya. Mapaparazi wengi wakedai msanii huyo uenda ni wa nyimbo za Singeli
  6. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani, leo Novemba 2, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani leo tarehe 02 Novemba, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda. https://www.youtube.com/live/0hpKdPc8ajI?si=ljU2SQWILAiEI3gQ === Mhe. Rais Samia...
  7. Roving Journalist

    Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2022 wasomwa Bungeni, leo Novemba 1, 2023

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 2, leo Novemba 1, 2023 ambapo Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2023 unasomwa. ==== MAELEZO YA MHESHIMIWA UMMY ALLY MWALIMU (MB), WAZIRI WA AFYA AKIWASILISHA MUSWADA WA KUTUNGA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE...
  8. JanguKamaJangu

    Mamlaka ya Hali ya Hewa yasema kipindi cha Novemba 2023 hadi Januari, 2024 kinatarajiwa kuwa na mvua nyingi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa mvua za Msimu kwa maeneo yanayopata msimu mmoja wa mvua kwa mwaka ambayo ni mikoa ya Tabora, Katavi, Kigoma, Singida, Dodoma, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Lindi, Mtwara, Ruvuma na Kusini mwa Morogoro. Taarifa hiyo imesema...
  9. B

    Spika Dkt. Tulia usijisahaulishe; Novemba ilee, tunasubiri mjadala wa wazi na huru Ripoti ya CAG

    Asalam Aleykum wapenzi wana JF. Ama baada ya salamu hizo, nitumie nafasi hii kumkumbusha Spika wa Bunge la JMT mh. Dk. Tulia Acson kuhusu ahadi yake aliyoitoa mnamo mwezi Aprili kuhusiana na mjadala wa Ripoti ya CAG iliyotolewa mwaka huu 2023. Dk. Tulia Acson katika kuwanyamazisha badhi ya...
  10. Mdude_Nyagali

    Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

    Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.
  11. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro aagiza kumbi zote za starehe kusajiliwa kabla ya Novemba 30

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AAGIZA KUMBI ZOTE ZA STAREHE ZISAJILIWE KABLA YA NOVEMBA 30 Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewaagiza Maafisa Utamaduni kote nchini kuhakikisha kuwa wanasajili Kumbi zote za starehe na kuhakikisha kumbi hizo zinakidhi vigezo vyote kwa mujibu...
  12. BARD AI

    Rais wa Madagascar ajiuzulu kuelekea kwenye uchaguzi wa Novemba 2023

    Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina amejiuzulu baada tu ya kuthibitishwa rasmi kuwa mgombea katika uchaguzi wa Rais wa taifa hilo uliopangwa kufanyika Novemba 9, taarifa hii ni kwa mujibu wa mahakama ya kikatiba ya nchi hiyo. Katiba ya Madagaska inamtaka kiongozi mkuu wa nchi anayetaka kugombea...
  13. Money Penny

    Nimepata mchumba kanisani kwenye Morning and Evening Glory, Novemba 2023 naolewa

    skia hii, jana nilikuwa napewa stori na dada mmoja anakaribiwa kuolewa nikamwuliza amempataje mpenzi wake akanijibu Dada: Nimempata kwenye morning and evening glory nilikuwa naenda kila siku kanisani, kumbe huyo kaka akaniona akanipenda akawa anapima frequency ya kuja kanisani kama na beep...
  14. BARD AI

    Muhimbili kuanza Upandikizaji Mimba Novemba 2023

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inatarajia kuanza huduma za upandikizaji mimba kupitia maabara mapema mwaka huu, baada ya mchakato muhimu kukamilika. Huduma hiyo iitwayo In Vitro Fertilization (IVF), inaanzishwa Novemba mwaka huu, ikiwa ni takribani miaka mitano tangu kuanza kwa maandalizi...
  15. J

    Dkt. Tulia: Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano Novemba, 2023

    Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023 Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria. ========== Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka...
  16. benzemah

    Serikali kutaja chanzo cha ajali ya ndege Bukoba Novemba 11, 2023

    Serikali imesema bado inaendelea kuchunguza taarifa za awali za ajali ya ndege ya Precison iliyotokea mkoani Kagera Novemba 6 mwaka 2022 huku ikitangaza kwamba itatangaza chanzo cha ajali hiyo Novemba 11 mwaka huu baada ya kukamilisha na kuchakata taarifa zilizokusanywa. Akizungumza na wandishi...
  17. MSAGA SUMU

    Mama hajapata usingizi toka tarehe 28 Novemba

    Mama tokea tarehe 28.11 haujapata hata lepe la usingizi mpaka leo. Moja ya 'wisemen' wa rais alimtonya mama akamwambia, "hivi mama unajua kuwa hilo daraja la Kibiti ungeamua kujenga madarasa basi ungepata madarasa 350 kwa kutumia force account, ambazo ni sawa na shule 18 za kuanzia" Mama kidogo...
  18. JanguKamaJangu

    Twaha Kiduku ampiga Victor Hugo wa Argentina kwa alama Novemba 25, 2022

    Bondia huyo Mtanzania amefanikiwa kupata ushindi wa Mkanda wa Dunia WBF dhidi ya Victor Hugo kwa pointi 99-91, 99-91, 99-91 katika pambano la uzito wa kati ‘Super middleweight lililofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Pambano hilo la Raundi 10 lilikuwa la ushindani mkali, Kiduku...
  19. JanguKamaJangu

    Mandonga ashinda kwa TKO Morogoro, leo Novemba 25, 2022

    Bondia Karim Mandonga ameshinda pambano dhidi ya Said Mbelwa kwa TKO katika raundi ya 6 kwenye pambano lisilo la ubingwa Uzito wa Kati, leo Novemba 25, 2022. Akizungumza baada ya pambano hilo lililofanyika Mkoani Morogoro, Mandonga amesema “Sikubahatisha, nimempiga ulingoni na kama hakubali...
  20. N

    Alichokijenga Bashiru sasa kinambomoa

    Alichokijenga Dk Bashiru sasa kinambomoa Alhamisi, Novemba 24, 2022 Wana JF nimepakua hii habari ili kwa wale wasioingia kwenye magazeti muisome By Luqman Maloto Novemba 22, 1963 Rais wa 35 wa Marekani, John Kennedy “JFK”, alipigwa risasi na kuuawa. Mshituko ulikuwa mkubwa kuanzia eneo la...
Back
Top Bottom