novemba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    Wenzetu mlioajiriwa na Jamhuri mmepata mshahara?

    Jamani hivyo vihela vyenu vya November vimetoka? Am serious!!
  2. J

    Rais Samia akizungumza na Wananchi wa Bonga, Wilaya ya Babati, Mkoani Manyara leo Novemba 22, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Bonga, Wilaya ya Babati, Mkoani Manyara leo Novemba 22, 2022. Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini, Mhe. Pauline Gekul amehudhuria katika Mapokezi hayo na kutoa...
  3. BARD AI

    Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara inaendelea tena leo Novemba 17, 2022

    14:00 Ihefu FC vs Polisi Tanzania 16:00 Mbeya City vs Kagera Sugar 19:00 Yanga SC vs Singida Big Stars ✍ BIG MATCH: Wakulima wa Alizeti, Singida Big Stars watakuwa wageni wa Mabingwa watetezi Yanga SC katika dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa 1:00 jioni. ✍ Baada ya vipigo vitatu mfululizo...
  4. GENTAMYCINE

    Je, tuna uhakika Mahafali mbalimbali ya Vyuo Vikuu Miezi hii Novemba na Disemba yanatoa Thinkers na Intellectuals hasa?

    Katika hili nina uhakika na Chuo Kikuu Kimoja tu changu cha SAUT Mwanza kuwa ndiyo kimetoa, kinatoa na kitaendelea kutoa Thinkers na Intellectuals hasa nchini Tanzania na vingine vinajaribu na Kubahatisha tu. Hongereni mno na sana Wazazi na Walezi wote mliopeleka Watoto zenu ( wenu ) Kusoma...
  5. J

    12 Novemba, 2022 Suluhu concert 2022

    SULUHU CONCERT 2022 Tamasha kubwa maalumu lililoandaliwa na Msanii Lady Jaydee suluhuconcert kufanyika Tarehe 12 November 2022 Hyatt Regency Dar es salaam. #NaSimamaNaMama
  6. M

    Uchaguzi wa Novemba Marekani: Biden aahidi kuruhusu utoaji wa mimba kwenye kampeni yake

    Inaonekana Biden anajua wamarekani wanapenda uovu wa utoaji mimba hata akashawishika kuwa atavutia wapiga kura kwa kuwaahidi kuruhusu tena utoaji mimba, kitu ambacho mahakama ya juu ya marekani ilishakizuia na kurudisha maamuzi yawe yanafanywa na serikali ya majimbo. Majimbo mengi hasa...
  7. BARD AI

    Ni marufuku kuingia Qatar bila kibali maalumu kuanzia Novemba 1, 2022

    Uamuzi huo umechukuliwa ili kudhibiti idadi ya wageni pamoja na wale wanaotarajiwa kuwasili kwaajili ya kushuhudia Kombe la Dunia linaloanza Novemba 20. Mkuu wa Idara ya Vibali vya Ukaazi, Saad Al-Suwaidi amesema hadi sasa wamepokea maombi karibu milioni 1.7 ya wageni wanaohitaji vibali...
  8. Roving Journalist

    Makamba: Mradi wa umeme wa Rusumo hydropower project kukamilika mwezi Novemba 2022

    'MRADI WA UMEME WA RUSUMO HYDROPOWER PROJECT KUKAMILIKA MWEZI NOVEMBA 2022' - MAKAMBA Siku ya sita ya Ziara ya Waziri wa Nishati January Makamba kwenye Mikoa 14 na Wilaya 38 imemfikisha kwenye mpaka wa Tanzania na Rwanda unapojengwa mradi mkubwa wa uzalishaji Umeme wa Maji wa Rusumo (Rusumo...
  9. M

    KWELI Bodaboda atumwa barua yenye ujumbe wa kulipua Kambi ya Lugalo kati ya Novemba 20 hadi 27, 2021

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida na iliyozua Maswali mengi na Taharuki ya Kiusalama Kawe ni kwamba Kijana Mmoja Dereva Bodaboda amejikuta matatani baada ya kutumwa kupeleka Barua yenye Ujumbe wa Tishio katika Kambi ya Jeshi ya Lugalo. Ilikuwa ni Siku ya Jumapili iliyopita ambapo Kijana huyo (...
  10. beth

    Julai 11: Siku ya Kimataifa ya Idadi ya Watu (World Population Day)

    Idadi ya watu duniani ilifikia Bilioni 7 mwaka 2011, na kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa (UN) Idadi hiyo itafikia Bilioni 8 Mwaka 2022. Tangu katikati ya karne ya 20 kumekuwa na ongezeko kubwa la idadi ya watu duniani, ikielezwa watu waliongezeka mara tatu zaidi kati ya 1950 na 2020. Hata hivyo...
  11. Idugunde

    #COVID19 Hadi Novemba 28, maabukizi ni watu 26,273 na vifo ni 731

    Waziri wa Afya, Dkt Dorothy Gwajima amesema takwimu za Tanzania zinaonyesha hadi kufikia Novemba 28, 2021 jumla ya watu waliothibitika kuwa na maambukizi ya #Uviko-19 ni watu 26,273 na vifo 731 ambavyo vimetolewa taarifa.
  12. The Sheriff

    Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Detective Afande Goodluck atoa Ushahidi, Kesi yaahirishwa hadi Novemba 24, 2021

    Leo tarehe 23/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku siku ya Jumatatu, tarehe 22 Novemba, 2021. Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 22, 2021. Mahakama yatupilia mbali hoja tatu za utetezi. Kesi...
  13. The Sheriff

    Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 22, 2021. Mahakama yatupilia mbali hoja tatu za utetezi. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 23, 2021

    Leo tarehe 22/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku siku ya Ijumaa, tarehe 18 Novemba, 2021. Kujua kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021 Ungana nami katika...
  14. J

    Zitto Kabwe: Kila Novemba kunakuwa na mgao wa Umeme ila tulikuwa hatutangaziwi kwa sababu za kibabe tu

    Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema ni hali ya kawaida mwezi November kuwa na mgao wa umeme ila tu awamu iliyopita tulikuwa hatutangaziwi lakini mgao ulikuwepo. Zitto anasema isingekuwa rahisi kutangaza kuwa kuna mgao wa umeme awamu iliyopita kwa sababu ya kuogopa ubabe...
Back
Top Bottom