Wakuu,
Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama barabarani nchini limewafutia leseni madereva wa mabasi za abiria na malori wapatao 200 kuanzia mwezi Agosti hadi Novemba 2024 kwa makosa mbalimbali ya usalama barabarani.
Hayo yamebainishwa leo Desemba 12, 2024 na Mkuu wa Idara ya Elimu ya Usalama...
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Changamoto, Mafanikio, na Mustakabali wa Demokrasia Yetu
Novemba 27, 2024, Watanzania walishiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa lengo la kuchagua viongozi wa vijiji, vitongoji, na mitaa. Uchaguzi huu, kama chombo muhimu cha kukuza ushiriki wa...
Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka 31 ya kuua bila kukusudia.
Washtakiwa hao ambao wanadaiwa kuwa wamiliki wa jengo lililoanguka mtaa wa Mchikichi na Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusabanisha vifo vya watu...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa Itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makalla anatarajia kuzungumza masuala mazito na waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi muda wa saa nne Asubuhi ya Leo Ijumaa ya tarehe 29.
Ambapo msemaji huyo wa CCM chama kiongozi Barani...
Mbali na baadhi ya wananchi kujitokeza lakini kumekuwa na changamoto mbalimbali kama vile
Utaratibu wa majina haujafuata mpangilio wa majina ya watu (alfabeti) na kuchanganywa hali ambayo inasababisha usumbufu kwa wapigaji kura
Mfano Katika kituo cha kupigia kura cha National Housing Kata ya...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza Watanzania kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Dkt. Biteko ametoa rai hiyo leo Novemba 25,2024 akiwa mkoani Geita ambapo amesema uchaguzi huo ni muhimu hususan kwa ukuzaji wa demokrasia...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amezindua rasmi "Bata la Disemba - End of the year Carnival," akisisitiza kuwa hafla hiyo ni ya kipekee kwa wananchi wa mkoa huo, na inalenga kujipongeza baada ya changamoto mbalimbali zilizojitokeza, ikiwemo ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo...
Moderators naomba msifuze au kuunganisha huu uzi.
Naamini JF ni Platform kubwa na hata Rais wa nchi na viongozi wengine wanapitia humu.
Naanza kwa kudeclare interest binafsi ni Mtumishi wa umma na mshahara ni haki yangu kama ninavyotimiza wajibu wangu. Nyie matajiri na mabilionea wa JF...
Umebakia ule mshahara wa mwezi desemba.
Tokea jana watu ni kuweka heshima na kumaliza kila kitu, kila ukiagiza unaambiwa kuna foleni ama vimekwisha.
Tuonane Njaanuary 2025 kipindi cha kausha damu kutengeneza fedha za kutosha kutokana na matanuzi ya desemba na mahitaji ya january.
TAMKO LA KUTANGAZA SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA SIKU YA MAPUMZIKO LA MWAKA 2024
KWA KUWA kifungu cha 3 cha Sheria ya Sikukuu za Kitaifa, Sura ya 35, kinampa Rais mamlaka ya kutangaza siku yoyote kuwa siku ya mapumziko kama nyongeza ya siku zilizoainishwa kwenye Jedwali la Sheria...
Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga anaendelea na kazi ya kuhamasisha Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma ili waweze kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka...
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Wilaya ya Iringa Vijijini Ndg, Anold Hezron Mvamba amewataka Wananchi kujitokeza katika zoezi la kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika 27 Novemba 2024 .
Mwenezi Mvamba ameyasema hayo leo Novemba 21. 2024 katika Mkutano wa...
How each Premier League club has been affected by injuries so far as Man City and Arsenal bemoan availability problems... with FIVE sides worse off than the title rivals.
Pep Guardiola and Mikel Arteta have frequently bemoaned injury problems this season, but title rivals Manchester City and...
BALOZI wa Ujerumani Nchini Tanzania, Thomas Terstegen anatarajia kushuhudia michezo jumuishi itakayoshirikisha vijana zaidi ya 45, michezo itakayofanyika Novemba 25, 2024 kwenye Viwanja vya Filbert Bay, Kibaha Mkoani Pwani.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Mkurugenzi wa Special Olympics...
Klabu ya Yanga Sc kupitia kwa Meneja wake wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe, imethibitisha kuwa jezi mpya za klabu hiyo kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zitazinduliwa Tarehe 20, Novemba 2024 na zitauzwa kwa Tsh 50,000/= tu.
"Tarehe 26 mwezi huu tuna mchezo wa ligi ya Mabingwa, wengi...
Kisukari ni ugonjwa sugu unaoathiri mtu 1 kati ya 10 duniani kote. Husababisha kiwango cha sukari mwilini kuwa juu sana kwa sababu mwili hauzalishi insulini ya kutosha au hauwezi kuitumia insulini vizuri kama unavyopaswa. Dalili za kisukari ni pamoja na:
🚰 Kuhisi kiu kupita kiasi
🚽 Kuenda...
Wakuu,
Baada ya video kutoka ndio tunajuzwa tukio lilitokea juzi! Bila video kuja kitaa wananchi tujakua lililotokea uchunguzi ungefanyika kweli au ndio lingeisha kimyakimya, pengine na kaka wa watu kwenda kuchukuliwa tena mara hii wakiwa wamwjipanga?
Halafu mbona wanaremba maneno hivyo "watu...