Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Bonga, Wilaya ya Babati, Mkoani Manyara leo Novemba 22, 2022.
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini, Mhe. Pauline Gekul amehudhuria katika Mapokezi hayo na kutoa...