Lazaro Samuel Nyalandu (born 18 August 1970) is a Tanzanian politician, former member of the Chama Cha Mapinduzi and former Minister of Natural Resources and Tourism. He represented the Singida North constituency in the National Assembly since 2000. He is currently a member of CHADEMA, an opposition party in Tanzania.
Mh Lazaro Nyalandu leo tena ameendelea kuomba ridhaa ya wananchi wa Singida Kaskazini ili wampe kura zao ili awe mwakilishi wao bungeni .
Leo alikuwa Kijiji cha Matumbo , kata ya Makuro , eneo hili ni kama ccm haina mgombea ubunge baada ya ya mgombea wake aitwaye Ramadhan Ighondu kuogopwa na...
Lazaro Nyalandu ni kama ameiua CCM Mkoa mzima wa Singida maana hata wakati Lissu akiwa nje ya nchi kwa matibabu, Mh Nyalandu aliendelea kuifyeka CCM bila huruma.
Mpinzani wake wa CCM anaitwa Ramadhan Ighondu, mtu anayetajwa bila kukanusha kuhusika na kumteka na kumtesa kinyama kiongozi wa chama...
Hili ni moja ya jimbo gumu sana upande wa CCM baada ya kinachosemekana kuwa ni makosa ya kamati kuu ya CCM kuwawekea mtu ambaye hafahamiki kabisa kushindanisha na Lazaro Nyalandu ambaye amekua kipenzi cha jamii ya watu wa eneo hilo.
Wenyeji wa ukanda huo wanasema Lazaro hatapata tu kura za...
Kwa upande wangu siddhani kama kuna mtu ana fahamu vyema mengi ambayo Nyalandu aliyowahi kupitia akiwa mbunge chini ya CCM moja ya tukio baya ni lile la yeye kukoswa koswa ndani huko nyumbani Singida na kukutwa mama yake ndani. Hili la sasa kwa kugombea jimbo na mtu ambaye anamjua vema tabia...
Kati ya chaguzi ngumu za Ubunge CCM ni huu wa jimbo la Singida Kaskazini ambapo ndugu Lazaro Nyalandu kada wa zamani wa CCM na Waziri wa Maliasili na Utalii wa awamu ya 4 kupitia CHADEMA dhidi ya ndugu Ramadhani Ighondu kupitia CCM.
Hali ni ngumu sana kutokana na Lazaro Nyalandu kukubalika...
Kwa kinyongo cha Serikali hii hadi kuvitishia na ama kuvizuia Vyombo vya Habari kutangaza habari za za Tundu Lissu inabidi CHADEMA wabadili upepo wao wakati wa kampeni.
Helkopta itumike kidogo - lakini basi la Nyalandu na gari ndogo zinazoweza kupenya vijijini kwenda nyumba kwa nyumba ndiyo...
Ni MCCM haswa mie. Hata hivyo ninaomba kwa heshima na taadhima Nyalandu fanya kama ulivyofanya mara ya kwanza - zoezi la Lissu liwe bora zaidi. Lile basi libadili liandikwe jina la Tundu Lissu - tembea naye Lissu kutafuta wadhamini. Msiache kuja Shinyanga - hata mkiishia mjini mimi na wenzangu...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania.
Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
Ni ukweli usipingika kuwa kwa sasa macho na masikio yako kamati kuu ya chadema ya juu ya nani kupeperusha Bendera ya kugombea nafasi ya juu ktk uongozi wa nchi yetu, kitendo cha chadema kuwa na wagombea wawili machachali Hon.
Lazaro Nyalandu na Hon.Lissu imekuwa ndio gumzo hapa mjini hadi...
HUwa naamini, kipimo cha mtu kutoka CCM kuja Upinzani na kuaminiwa kuwa ameachana na CCM lazima afanye mambo mawili.
1: Akae upinzani angalau kwa awamu mbili bila kuonyesha uswahiba wowote na CCM.
2: Angalau atuambie madudu ya CCM ambayo sisi huwa tunahisi tu ila yeye kwa sababu ni insider...
Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.
Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya...
Mpaka muda huu, nashindwa kuwaelewa Nyalandu na wenzake kwani nyakati zinambeba Lissu kwa asilimia 100.
Kwa hali ilivyo, ingekuwa ni katika nchi za wenzetu,mfano US, mtu kama Nyalandu naamini angetangaza kujitoa na kumuunga mkono Lissu bila kusubiri kupigwa kura na wajumbe.
Anyway, wacha...
Kauli hii ya Nyalandu inatoa picha gani? Kuna nini anachokihofia kuelekea kura za maoni kumpata mgombea urais CHADEMA?
Kwa kauli hii atakubaliana na matokeo kweli ikiwa hatochaguliwa?
Mtia nia ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA mh Lazaro Nyalandu amesema wakati wa utawala wa Rais Mkapa yeye alikuwa msaidizi wa Mama Anna Mkapa hivyo amesafiri sana huko Duniani na mzee Mkapa.
Nyalandu amesema hayo wakati akiweka saini kitabu cha maombolezo msiba wa mzee Mkapa.
Chanzo: ITV habari...
Hawa hapa
Mwingine huyu hapa anaitwa Jumbe ni mwakilishi wa Tundu Lissu
Kazi iliyobaki ni kwa Vikao vya chama kukamilisha mchakato .
Mungu ibariki Chadema
Ni ombi tu kwa wenyeviti wa vyama shirika katika uchaguzi mkuu ambavyo ni Chadema, ACT Wazalendo na Chauma.
Mara ya mwisho kushuhudia mdahalo wa wagombea urais ilikuwa ni 2015 kati ya January Makamba, Mwigullu Nchemba, Dr Hamis Kigwangalla na mzee Hashimu Rungwe ambao wote walifeli vibaya sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.