Lazaro Samuel Nyalandu (born 18 August 1970) is a Tanzanian politician, former member of the Chama Cha Mapinduzi and former Minister of Natural Resources and Tourism. He represented the Singida North constituency in the National Assembly since 2000. He is currently a member of CHADEMA, an opposition party in Tanzania.
ASANTENI sana Mbeya kwa mapenzi makubwa kwa chama chetu na kwa kunidhamini. Ilikuwa furaha sana kufanya mazungumzo na Mkt wa
@ChademaTz
Wilaya ya Mbeya, John Mwambigija a.k.a Mzee wa Ipako.
Katika mwendelezo wa kupinga mawazo na mfumo wa utawala wa Mwl. Nyerere. Tundu Lissu amepasua jipu ambalo wengi huwa wanaogopa kulipasua pale aliposema kuwa Mwl. Nyerere alikuwa ni "msanii wa kisiasa" kwa sababu aliyokuwa anayasema siyo yale aliyokuwa anayatenda kuhusiana na suala la Muungano...
Kiukweli nafasi ya Tundu Lisu kupitishwa na Chadema kuwa mgombea urais ni ndogo sana.
Washindani wa Lisu mh Mbowe na Nyalandu waliwahi kwenda katika hekalu la mfalme Suleiman mjini Yerusalemu ambako waliweka nia zao mbele ya Mwenyezi Mungu.
Nyalandu alisema wakati wanaweka nia zao kwa...
Lazaro Nyalandu yuko live Clouds tv akiweka wazi mipango yake endapo atachaguliwa kuwa Rais wa JMT.
Maendeleo hayana vyama!
=======
Nyalandu: Mbowe ni mtu ambae amestahimili, amepambana na amekuwa muaminifu kwa chama hiki. Amekuwa ni kiongozi ambae ni mfano wa kuigwa na historia itamkumbuka...
Ndg wanajukwaa Habari,
Tumekuwa tukipigia kelele na kutaka mabadiliko ya kweli ndani ya nchi yetu, hasa ya kiuongozi.
Binafsi ni mdau mkubwa wa kutaka mabadiliko, na sijawahi kabisa kukubaliana na njia nyingi za kiuongozi za JPM.
Umekuwa utawala wa kimabavu, kuumiza watu, ajira na ugumu wa...
Mnajua jinsi awamu ya 5 "ilivyofanikiwa" kwa kutumia propaganda pekee. Leo hii Magufuli angekataliwa kugombea CCM sio ajabu angejiunga CHADEMA na kutimiza ndoto yake. Siasa ndivyo zilivyo, tuwe tayari kwa lolote hata kama ni "kubadilisha gia angani" kama inatusaidia sawa. Magufuli ametumia kila...
Kwanza kabisa sifikiri kama Tanzania kwa mwaka huu kwenye nafasi ya urais upinzani utashidwa. Pamoja na ukweli kwamba Magufuli kafanya zaidi ya Kikwete kwenye kipindi chake cha kwanza lakini Magufuli amekandamiza sana demokrasia kwa kipindi cha miaka karibu mitano sasa.
Lakini upinzani unaweza...
Mtia nia wa nafasi ya urais kupitia CHADEMA, Lazaro Nyalandu amesema saa ya mabadiliko imefika kwa taifa na chama chake cha CHADEMA.
Nyalandu amesema endapo atapata ridhaa ya chama chake kugombea urais ataleta mabadiliko makubwa ndani ya CHADEMA na mabaraza yake.
Chanzo: Clouds 360
Nimemsikiliza Nyalandu akiwajibu waandishi swali la yeye kuhusika na usafirishaji wa TWIGA wetu kwenda Uarabuni kipindi cha JK.
Akajibu swali kwa swali - akasema " Hivi unadhani ningekuwa kweli nilihusika kwa AWAMU hii ningekuwa barabarani?" Hivi makamanda wenzangu huku sio kukiri kuwa JPM ni...
Nimesikiliza mahojiano baina ya Mtia nia wa kugombea uraisi wa Chadema ndugu Nyalandu na kituo cha redio cha wasafi.
Nyalandu ameulizwa swali kuhusu Twiga waliokuwa wakitoroshwa nje ya nchi kwa kupandishwa ndege.
Katika majibu yake Nyalandu anaonyesha kujibu huku akimrefer raisi Magufuli kama...
NYALANDU: Chadema tukiingia Ikulu tutaanzisha benki ya vijana
Mtia nia wa kugombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lazaro Nyalandu amesema endapo chama hicho kitampa ridhaa, atahakikisha anarudisha utashi na udhubutu wa vijana...
Nikitazama mwenendo wa kampeni za ndani kwenye Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA ] ambako kuna Wagombea wengi, unaona wazi kuwa Mgombea Lazaro Nyalandu amejipanga zaidi kiakili na uwezo kugombea Urais mwaka huu 2020.
Kwa namna anavyoandaa mikutano yake ya ushawishi, aina ya kampeni...
Mgombea urais mtarajiwa wa Chadema mh Lazaro Nyalandu kesho saa 11.00 jioni atazindua kampeni zake za kutafuta kuteuliwa na chama chake jijini Mwanza.
Nyalandu ataendesha kampeni zake kwa njia ya kidigitali kwahiyo wanachadema wote mnaombwa ushirikiano wenu.
Safari imeanza.
Maendeleo hayana...
Wanabodi,
Leo natoa somo linaliutwa Logical Progression kwenye kufanya analysis kwa Kuangalia kitu kwa Jicho la Tatu, ni kuliangalia jambo kwa critical angle kwa kutumia predictions based on logical thinking kwa kutumia critical thinking na kufanya logical progression kwa kupima the motive...
Siasa ni sayansi.
Ni dhahiri mgombea wa Chadema atakuwa Lazaro Nyalandu na mchungaji Msigwa yeye ni msindikizaji tu.
Ikumbukwe Mh Mbowe na Nyalandu walisafiri hadi Ubelgiji aliko Lisu na kufanya mazungumzo ya kina.
Hivyo Mwenyekiti na makamu wake pamoja na waziri kivuli wa Utalii wakati...
VIDEO Courtesy: CHADEMA
Lazaro Nyalandu 2020
Mabibi na Mabwana,
Ndugu Wanahabari,
Leo natangaza rasmi azma yangu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA. Mapema asubuhi ya leo, nimemwandikia burua Katibu Mkuu wa Chama...
Mwanachama mwandamizi wa Chadema , Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu atazungumza na wanahabari Leo saa 12 kamili jioni.
Taarifa za uhakika ni kwamba mwanasiasa huyo kijana mwenye umaarufu mkubwa anatarajiwa kutangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia...
JOTO la mgombea urais ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limeendelea kupamba moto baada ya kuwepo tetesi kuwa kada wa chama hicho Lazaro Nyalandu anafikiria kujitosa kwenye kinyang’iro hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam (endelea).
Nyalandu ambaye ni Mwenyekiti wa...
Wakati wowote kuanzia sasa aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya CCM na baadae kujiuzulu na kuhamia Chadema Mh. Lazaro Nyalandu atachukua fomu za kugombea urais.
Taarifa za chini ya kapeti zinasema Nyalandu ana baraka zote za uongozi wa juu wa chama chake na atakachosubiri ni kukubaliwa tu chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.