Takwimu za Kitaifa zinaonesha kuwa ifikapo mwaka 2032 kutakuwa na upungufu wa tani 234,000 za nyama nyeupe ikiwemo nyama ya kuku endapo hakutakuwa na uwekezaji wa kimkakati kwa kuwa kuna ongezeko kubwa la mahitaji ya nyama hiyo. Hii inaonesha uwekezaji wa kimkakati katika tasnia hii unahitajika...