Bucha la nyama ya mbuzi vs bucha la nyama ya kuku wa kienyeji

Umefany utafit mkuu, unachukua wp, unamzia nani sehem gani, chngamoto, zote znafany vizur. Ingekuwa ni mimi naenda mbuzi
 
Habari wakuu
Naomba uzoefu...Niko na mawazo haya mawili bucha la nyama ya mbuzi au bucha la nyama ya kuku wa kienyeji biashara ipi italipa location ni dar
Tuanze na mtaji wako kwanza. Ni biashara mbili japo zote ni nyama lakini ni tofauti kabisa zinazohitaji mikakati miwili tofauti kabisa. Tatizo mijitu isiyojua biashara itanipinga afu uzuri wakati inanipinga ntakuwa nimeshalala na shemeji yenu
 
Kumekucha Asprin ,shkamoo.
 
Tuanze na mtaji wako kwanza. Ni biashara mbili japo zote ni nyama lakini ni tofauti kabisa zinazohitaji mikakati miwili tofauti kabisa. Tatizo mijitu isiyojua biashara itanipinga afu uzuri wakati inanipinga ntakuwa nimeshalala na shemeji yenu
Nina 3m nje ya vifaa na pango
 
AChana na iyo ya mbuzi kwani watu wengi hawanunui mbuzi buchani sababu ya bei yake kuwa kubwa na faida ni ndogo. Mbuzi anatakiwa auzwe bar au hoteli, iyo ya kuku ni sawa nunua jokofu alafu unafata machinjioni unaweka kwako watu watakuja tu, ila hakikisha hukosi muguu na vichwa wale wauzaji wa mtaani wawe wananunua kwako
 
Shukran boss
 
Back
Top Bottom