Anaitajika Muuza bucha mwenye uzoefu wa kuuza bucha ya nyama na samaki kwenye jiji LA Dar as salaama, ikiwemo uzoefu wa kufata mzigo kwenye machinjio kama vingunguti na kwingineko.
Bucha iko maeneo ya Bunju B, mshara ni 300,000/= kwa mwezi.
Uzoefu ni muhimu kwani tuna wateja wanaoitaji aina...