Habari za leo.
Mashine seti nzima ya kutengeneza vijiti vya meno (toothpick) na vya kuchomea nyama(skewers) inapatikana.
Zimetumika kwa miezi michache.
Zipo Bagamoyo karibu na shule ya Baobab.
Ukinunua ukafunga wafanyakazi wako watapewa mafunzo kwa wiki moja. namna ya kuzitumia.
Bei ni mil...
Kwa wale wateja wangu wa dagaa nyama toka Tanga, ninawakaribisha kuweka oda...bei imepanda kidogo....kwa jumla kg 7000, kwa rejareja 9000...
Hawa ni dagaa kutoka Tanga, dagaa waliochemshwa ndipo wakakaushwa...ni watamu sana na hawana michanga hata kidogo, ni wasafi 100%. Dagaa hawa unaweza...
Habari wakuu,
Ufugaji wa kuku wa nyama umekua mkonbozi sana kwa wafugaji wengi lakini tatizo linakuja kwenye soko la uhakika la kuwauza hao kuku, mwisho wa siku wanajikuta wakiingia hasara.
Habari njema kwao, kama wewe ni mfugaji wa hawa kuku wa nyama (broiler) na unapatikana Dar es salaam...
Hongereni kwa mapambano ya uchumi.
Nimefikiria kuanzisha biashara tajwa hapo lakini sina uzoefu sana kama baadhi yenu humu.Kibnafsi location ya kupata mbuzi ipo nje kidogo ya mji na location ya kuweka goli langu bado nipo kwenye upembuzi yakinifu.
Naomba maoni nyenu Manguli wa biashara hii...
Habari za Mchana wana JF,
Ndugu yenu hapa naomba info kuhusu biashara ya Nyama (Burchery), Bei wanazonunua Machinjioni inakuwa kiasi gani? wangapi wamefanikiwa through this business.
WADAU WENGINE NAOHITAJI MUONGOZO WA BIASHARA HII
MICHANGO NA MIONGOZO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.