Kuelekea Msimu wa Krismass,bei ya nyama ya ngombe inapanda kwa kasi sana,kutoka 6000- 7000/-,sasa ni Sh 9000/- kwa Dar,kufika kesho itakuwa sh. 10,000/=.Hiyo pia ndiyo bei ya kilo ya sato.sema tatizo sato hatuwezi pikia pilau.
wakati samaki wengine kam sangara na changu,kolekole wanakaribiana...