Jichukulie Hii Gari kwa Bei ya January
Gari ni 6 cylinder
Year of made: 2006
Mahali iliko: Dar
Mileage: 120,000km haizidi hapo
Bei: 21 Mil Negotiable (inazungumzika)
Inahitaji Marekebisho kidogo
MAREKEBISHO YENYEWE
Bushes Baadhi.
Steering Rack ibadilishwe.
Shoch up za nyuma...
A. KUPIGA & KUGOMBEZA WATOTO KWASABABU YA UWEZO SHULENI NI UJINGA
Unakuta mtoto kila siku anaenda shuleni, anahudhuria kila kipindi, anafanya home work, n.k. ya nini kumchapa au kumgombeza huyu pale anaposhika namba za kawaida au chini darasani. nimesema namba kwasababu ndicho kigezo ambacho...
Jeshi la Polisi nchini limejipa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyotokea kwenye daraja la selander, ambapo mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, aliwafyatulia risasi askari watatu na mlinzi mmoja wa kampuni ya SGA na kuwaua wote na askari wengine kadhaa kujeruhiwa na hatimaye yeye mwenyewe...
Siku moja nilituma text kwa njia ya kawaida nilikuwa namtumia mshkaji wangu wa kike. Msg ilikuwa mbaya yaani kiufupi haikuwa na heshima.
Bahati mbaya sana ile text ilienda kwa Wife na si unajua kwenye text kawaida hakuna "Delete for everyone" [emoji3]
Basi bhana baada ya kuona tu kuwa nimesha...
Nimefuatilia yanayoendelea katika taifa letu kwa sasa naona kila siku zanavyosonga mbele matumaini yanazidi kupotea. Kimsingi kuna ombwe la uongozi katika taifa letu kwa sasa linaloonyesha kuwa viongozi wetu hawa wameshindwa ku-perfom na sasa wamebaki kuhangaika na Chadema.
Ukiona kiongozi...
Kwa matukio ya hivi karibuni na dhahiri kuna wanaotaka kum upstage mama Samia.
Wito wangu ni mmoja tu, mama usicheke na nyani, utakula mabua.
Na wahenga walisema kikulacho ki nguoni mwako.
UPDATE
Tulisema na yameshaanza kutokea
-Gwajima anamtunishia msuli Mwenyekiti wake wa CCM
-Pole pole na...
Usipende sana mama kufanya jambo ili kuwafurahisha hawa jamaa utaambulia failure.
Tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu ndani yao hakuna nia njema. Baba yao ni baba wa uongo kama inavyojulikana.
Lengo ni kuangusha state kwa gharama yoyote.
Alitokea nabii mmoja katika roho ya Elia, huyo alikuwa...
Asaalam Mama.
Mama kuna watu tulisema tangu mwanzo sio wakuwabeba lakini ume wabeba ukasema mkubwa hakosei.
Tena ukampa mkoba akushikie na akupangie matumizi, mtu carwad asiyeeleweka msimamo wake, Wala taaluma yake.
Mama Leo umeona alivyomtukana mtangulizi wako na kukukebehi hadharani kabisa...
Game imeisha Simba inaelekea nusu fainali kwa mbinu ile ile waliyoitumia kuwatoa Mufulira Wonders ya Zambia kwenye mtanange unaofanana kwa 100% na huu.
Hatimaye Simba wamempata nyani kama yule wa wakati ule aliyefanikisha ushindi ule.
Safari hii shukrani za pekee zimwendee babu tale wa...
Haya makubaliano ya kuoleana baina ya jamii mbili bila kutozana mahari tuyamulike! Jamii moja mabinti zake wengi walishaolewa tayari! Ndiyo inakuwa ya kwanza kupendekeza mambo ya kuoleana bila kulipishana mahari! Jamii nyingine bado ina mabinti wengi ambao hawajaolewa.
Japo kila jamii inapewa...
Hey, ni mimi na si mwingine ambaye nishasema mara nyingi sana humu kuwa, ingekuwa ni juu yangu mimi basi nisingeshiriki chaguzi zozote zile zifanyikazo Tanzania chini ya usimamizi na uendeshwaji wa tume ya taifa ya uchaguzi yenye muundo iliyonayo sasa hivi ambapo kimsingi huwa inaundwa na...
Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu...
Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana.
Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani?
Je, ni Ufipa?
Na kwanini mwakani watakosa chakula?
Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe.
Maendeleo hayana...
Tangu huu mwaka uanze nadhani hakuna siku niliyocheka kama leo aisee.
Sijui ni kweli au uongo, lakini hawa jamaa wana mashudu kichwani.
Hivi kweli unampaje nyani bunduki ya AK-47 ambayo iko loaded ??
Happy Holidays Good People....
Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.
Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.
So wale watani zangu wa Ufipa...
Baba Askofu Rev. Dr. Benson Bagonza (PhD) Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, katika makala yako umezungumzia namna ambavyo mtu anamfanyia mtu mwingine jambo na kisha kutangaza adharani kuwa amemfanyia kitu fulani. Bila shaka uliilenga serikali ya awamu ya tano kwa kutangaza maendeleo iliyowaletea...
Hali ya taharuki imetokea katika mji wa Meerut baada ya kundi la nyani kumvamia mfanyakazi wa maabara aliyekuwa amebeba sampuli za damu za wagonjwa wa COVID-19.
Nyani hao walikimbia baada ya kuiba sampuli tatu na kuzitafuna wakiwa juu ya mti. Tukio hili lilirekodiwa na camera ikimuonyesha...
Kweli Mrema ni wa kumuonya Mbatia kuvuruga upinzani au ni janja yake kwa vile amemchukulia wanachama. Nadhani yeye ndiye anaongoza kwa usaliti wa Upinzani nchini!
Kumbe mkuki kwa nguruwe! Kweli nyani ni nyani!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.