Inasikitisha sana jinsi wachina sasa hivi wanavyotunyanyasa eti watu weusi tunasambaza maambukizi ya Corona.
Licha ya yote Inahuzunisha zaidi hadi kumuita nyani na kumdhiahaki kwa rangi yake mkuu wa WHO raia wa Ethiopia Tedro Adhanon Gebreyesus licha ya kuitetea serikali ya China kwenye...
Wadau, kuna mdau anahitaji gari tajwa hapo juu..
Iwe haijasafiri Sana
Haijapata ajali na kurudiwa rangi
Iwe na cc 2.4
Iwe na hali nzuri
Iwe namba D
Bajeti yake ni tshs 16 m
Karibuni..
Afisa mmoja wa utalii nchini Afriika Kusini ambaye alifanikiwa kupata picha isio ya kawaida ya nyani akimbeba mwana wa simba katika mbuga ya kitaifa ya wanyamapori ya Kruger, amesema kwamba hajawaona tena wanyama hao tangu alipowapiga picha hiyo wiki iliopita.
Katika taarifa kwa BBC, mkurugenzi...
Hawa watu hawapendi sisi tule bata wanaamini sisi ni nyani wa kula mizizi tu wanaamini raha so Dunia wameumbiwa wao
Trump alivyotuita Choo hatukutaka kusikia ukweli wa vile moyo wake usemavyo tukamlazikisha atamke unafiki wa mdomo wetu
Vijana wajinga mbumbumbu nimewashangaa kujadili kauli za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.