Wakulima wengi wa nyanya wanapata hasara kutokana na kuzalisha nyanya ambazo zimezidi mahitaji ya soko au Sababu nyingine ni uhaba wa masoko ,Kiasi kikubwa cha nyanya zinaoza shambani au sokoni ni kwa sababu wakulima wengi hawana/hawajui jinsi ya kuhifadhi nyanya zao
Kwa utafiti wangu...
Miaka kadhaa nyuma nikiwa mkoani iringa kuna mwamba mmoja alikuwa akinichapia shemeji yenu.
Jamaa hakuwa na shughuli nyingine zaidi ya kilimo,
Alilima nyanya na pilipili hoho, mwaka huo 2019 tenga la nyanya kwa DSM lolifika 90,000.
Jamaa nyanya ilimpa jeuri, nilijiridhisha bila shaka kuwa...
Nimekutana na hii stori mtaani kuwa ukiweka Maji ya Nyanya kwenye Kipimo cha Mimba kinatoa majibu yanayoonesha Ujauzito upo.
Kuna ukweli hapa na kwanini iwe Positive, Kwanini isisome negative au abnormal test results?
Wadau mwezi huu mwishoni Mungu akipenda navuna nyanya shambani kwangu Nimejaaliwa kulima heka 3 na zimebeba vizuri. Shamba lipo morogoro eneo la Dakawa. Ninachojivunai zaidi nimejifunzia humu humu Jamii forum kilimo hiki. Heko kwa wote ambao mmekuwa mskijitolea kutoa mafunzo mbali mbali...
Kwa mara ya kwanza Soko la Ilala lililopo Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam limevunja rekodi kwa magari kushusha matenga 4,000 ya nyanya kwa mara moja hali inayoonesha biashara ni nzuri.
Kwa kawaida magari yanayoingia kwenye soko hilo hushusha matenga 1,000 hadi 2,000 kwa siku.
Akizungumza...
Mabadiliko katika Nyanja Mbalimbali.
linalochochea mabadiliko kwenye nyanja za Elimu, Uchumi, Kilimo, Utawala, Afya, Sayansi na Teknolojia.
Linalochochea mabadiliko katika nyanja za Elimu, Uchumi, Kilimo, Utawala, Afya, Sayansi na Teknolojia ni ongezeko la maarifa, uvumbuzi, na mabadiliko ya...
Wana JF habari za uzima, natamani nifanye kilimo cha nyanya ifikapo masika, ila bado kuna mambo nashindwa kuyaelewa vizuri.
1-Nyanya inaitaji joto la wastani, lakini mimi nipo Pwani maeneo ya Mkuranga muda huu joto linasoma 27° . Sijui kama mmea utastawi vizuri au kama kuna mtu analima maeneo...
Asikwambie mtu, biashara ni ngumu sana, isitoshe pesa hakuna. Vyuma vimekaza ilihali mama yangu anamiliki "garage" iliyosheheni makopo kibao ya grisi
Nina shahada tatu nilizozisotea kwa muda mrefu sana. Mbali na kujibana bana kwenye matumizi ya boom langu ambalo nilihitaji kumega nusu ya pesa...
Salaam
Nimekaa nimefungua Diary yangu nimepitia pitia mara nikakutana na budget niliyoiandaa kwa mshahara wangu wa kwanza baada ya kuanza kazi. Nikagundua kumbe nilikuwa na utaratibu wa kuandika matumizi ya Kila mwezi na kiasi ninachokiacha kama akiba lakini nilikuja kuachana na utaratibu...
Karibu katika somo hili la leo linalohusu biashara maarufu ya kununua wanawake "mahari".
Mchanganuo au namna inavyo fanya kazi;
Bidhaa
Mwanamke [ Nyanya ]
Wauzaji
Wazazi upande wa mwanamke
Wanunuzi
Wazazi upande wa mwanamme.
Dalali
Mshenga
Mazungumzo ya biashara:
Mzazi upande wa mwanamke...
Karibuni nyanya, fresh from shamba
Crate 45,000/-
Ndoo ndogo 10,000/-
Ndoo kubwa 17,000/-
Tupo Dsm, Mbezi ya kimara
Karibuni saaana.
Msimu huu wa sikukuu. Kwa bei Che.
0752850081
0783985530
0719100591
"Niko shambani nalima.Tunamshukuru Mama (Mhe. Rais) na serikali ya CCM kuipa msukumo sekta ya kilimo. Mbolea ya ruzuku na mazingira rafiki ya kilimo vimetupa nguvu zaidi ya kupambana. Kazi inaendelea."__ Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mara Ally Hapi
Wataalamu wa kilimo mnishauri,Nimelima nyanya Miche 5000 .Ina mwezi mmoja Toka nimeipanda mbegu nimetumia. Tomato mwanga.
Kuna changamoto imejitokeza majani kubadilika rangi .ngoja niambatanishe picha ,hali hii ilijitokeza baada ya kupilizia sumu aina ya power Cron, snow tiger ujazo wa...
Wakati dunia ikiwa bado na makovu ya ugonjwa wa Covid_19 ulioishambulia na kuua watu milioni 6.4, na ule wa MonkeyPox ulioua karibu watu 100 Afrika mwaka huu, kumeibuka homa ya mafua ya nyanya.
Kumeripotiwa kuweko kwa visa vipya nchini India na kuanza kuibua hofu ya kuenea katika maeneo mengine...
Habar Wana Jf,
Kama heading hapo juu inavyojieleza, naombeni msaada wa kujua wapi naweza uza nyanya kwa Bei nzuri. Nataraji kuvuna katikati ya mwezi wa tisa, ukubwa wa shamba ni hekari moja, mbegu niliyoipanda ni ASILA F1. Eneo nilipolimia ni Bagamoyo.
Karibuni sana
Kwema wakuu
Je, ninaweza kuvuna nyanya kabla hazijaiva? Ili nipeleke sokoni zisiharibike, na zinachukua muda gani hadi kuiva zikiwa nje, ningependa kujua jinsi ya kuhifadhi.
Kilimo cha nyanya nchi Tanzania kimekuwa kigumu kutokamna na mambo mengi: uhaba wa mbolea ukiwa kinara. Katika msimu uliopita mfuko wa mbolea kg50 uligharimu takribani USD 20, kwa sasa mfuko mmoja unagjarimu zaidi ya laki moja.
Je, mkulima atapata faida?. Wakati Bwana Lossim Lazzaro...
Nataka kulima nyanya baada ya masika maeneo ya zinga bagamoyo wataalam naombeni muongozo wapi nitapata soko la nyanya kabla sijaanza, nataka nianze na Heka moja, Huwa nalima kama bustani tu nyumbani za Kula familia sasa nimeona naweza kulima sehem kubwa kibiashara
Vyuo Vikuu pendwa havipo hata kwenye top 3000 global universities rankings!
Hivyo chukueni tahadhari.
**USHAURI: Bora hata umpeleke mtoto vyuo vya South Africa kuliko Ukraine.
NB: Hakuna mtu makini nchini aliyesoma vyuo tajwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.