nyanya

On 1 May 2014, a car bomb exploded in New Nyanya, a town in Nasarawa State, Nigeria. The explosion killed at least 19 people and injured at least 60.

View More On Wikipedia.org
  1. Lunatics fringe 5

    Phone4Sale iPhone Bei ya nyanya

    iPhone 6s 64Gb Battery 100% Fingerprint ✓ Camera ✓ Charger ✓ Cover✓ BEI : fixed 150k tuu LOCATION: KIMARA MWISHO 0757402662
  2. CoderM

    Kilimo cha nyanya msimu wa 2021/2022

    Narudia tena kilimo cha nyanya msimu mwingine wa masika baada ya kumalizana na kiangazi. Msimu uliopita nilipanda miche 1000 tu kama sehemu ya kujifunza kwa vitendo. Matokeo yalikua sio mazuri sana kutokana na makosa ya kitaalamu lakini nimejifunza mengi sana kwenye kilimo cha nyanya. Msimu...
  3. Shadow7

    Nyanya ni tiba Bora ya kuzalisha mbegu za kiume zenye ubora

    Chakula chenye nyanya nyingi kinaweza kumsaidia mwanaume kutoa mbegu za kiume zenye ubora, utafiti umebainisha. Afya ya wanaume ambao hunywa vijiko viwili vya nyanya ambayo imesagwa kwa siku wamebainika kuwa na shahawa ambazo ni bora zaidi. Tatizo la uzazi kwa wanaume limeathiri karibu nusu ya...
  4. YEHODAYA

    Tanzania tuna magenge ya kuuza Nyanya Somaliland wana magenge ya kuuza pesa za kigeni nyingi bila ulinzi wowote

    Ulishakutana na magenge ya kuuza pesa za kigeni mitaani ona somaliland
  5. Sam Gidori

    #COVID19 Wanasayansi wanatengeneza Chanjo ya Corona inayoweza kuliwa kwenye Nyanya

    Wanasayansi nchini Uzbekistan wanatengeneza chanjo dhidi ya virusi vya corona inayoweza kuliwa ndani ya nyanya, Wizara ya Ubunifu ya nchi hiyo imeeleza. Wanasayansi kutoka Chuo cha Sayansi wamefanikiwa kuweka sehemu ya kirusi hicho ndani ya seli ya nyanya ambapo seli hiyo imegeuka kuwa chanjo...
  6. L

    Nahitaji kulima mbogamboga

    Hellow, guys Kwa walio mkoa wa Kilimanjaro na wenyeji ni aina gani ya mbogamboga zinahitajika kwa wingi endapo ukiwekeza kwenye mbogamboga.
  7. Analogia Malenga

    Waziri Mkuu Majaliwa azuia magari ya Serikali kununulia nyanya

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Elimu na Wakurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha wanayatunza magari waliyokabidhiwa na serikali na kwamba atakayekutwa amepaki gari kisa kukosa 'service' atakuwa hana kazi na kwamba magari hayo yasitumike kununulia nyanya wala kwenda nayo bar...
  8. J

    Nyanya ni chanzo kikuu cha Antioxidant Lycopene

    Lishe ya antioxidant lycopene inayopatikana kwenye nyanya ina virutubisho ambavyo vina faida nyingi kiafya, ikiwa ni pamoja kupunguza hatari ya ugonjwa wa moyo, saratani na pumu. Pia ni chanzo kikubwa cha vitamini C, potasiamu, folate, na vitamini K.
  9. demigod

    Kwanini wanaume tunabinya binya nyanya lakini tuna nunua bilinganya

    Mambo vipi wadau. Nimeulizwa hili swali DM na pisi zaidi ya 4 wiki hii. Ngoja nilijibu kwa kwa ujumla. Wanaume ambao tunaruka ruka pasi na kutulia na pisi mmoja huwa tuna lengo la kuhakikisha tunapitia kila aina ya muonekano, ikiwemo wanene, wembamba, warefu, wafupi, weusi na weupe. Lengo ni...
  10. D

    Ukiwa mtu maarufu halafu masikini usipende kusimanga watu, Ipo siku litakukuta jambo Watu watakupita kama nyanya mbovu

    Masikini akipata, matako huria mbwata! Mhenga aliyesema hivi hakuwa na maana ni kweli makalio yatabwata! Alimaanisha ukipata kitu basi usiwakwaze wengine! Kuna watu wamejipambanua kwa majina makubwa sana mtandaoni, wanatambulika kama public figure machonj pa watu! Lakini pamoja na yote, kwa...
  11. YEHODAYA

    Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya. A business administrate?

    Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya a business administrate? Genge la kuuza nyanya mtaji elfu 20 Hizo skili zake za business administration anataka akazionyeshee wapi?
  12. gimmy's

    TRA yampiga faini ya 3,500,000 dereva kisa kapakia tenga 27 za nyanya

    Siku chache zilizopita niliandika kueleza ugandamizwaji unaofanywa na TRA uliomuhusu dereva mmoja wa semi ambae alipigwa faini ya 3,000,000/= kisa kapakia tenga 20 za parachichi na alipoulizwa risiti ya transport hakuwa nayo kwani mzigo ule haukuhusu ofisi,ilikuwa ile kawaida ya madereva...
  13. Mashima Elias

    Mnyauko Fusari kwenye zao la nyanya

    Mnyauko Fusari kwenye zao la nyanya. Mnyauko Fusari (Fusarium Wilt) ni ugonjwa kwenye zao la nyanya, ugonjwa huu pia unaweza kushambulia mazao mengine kama viazi, pilipili, mbilingani, kunde, ndizi n.k, Dalili zake zinaweza kuwa sawia ama tofauti kidogo kwenye kila zao, jambo moja la kuelewa ni...
  14. The Master pizo

    Uhawahi tishiwa na nyanya wewe?

  15. J

    Msaada kwenye biashara ya nyanya

    Habari wana Jf, Nilikuwa nahitaji kufanya biashara ya nyanya ninunue kwa wakulima mashambani alafu nije kuuza kwenye masoko Dar. Nilikuwa naomba. 1. Ushauri au muongozo kwa mwenye uzoefu na biashara hii inakuwaje na inafanywajwe. 2. Connection za wakulima wa zao hili. 3. Connection za masoko...
  16. King Loto

    Mapendekezo maoni kuhusu kilimo cha nyanya

    Wakuu kwema nimejaribu kufanya kilimo cha nyanya kwa hii season mkoa wa Kilimanjaro nyanda za juu kimsingi huku wengi sio wakulima wa nyanya kama ilivyo kwa ukanda wa kusini wa Kilimanjaro. Nimejaribu kupanda quater acre ya F1 aina ya VICTORY f1 na Jarrah F1, nusu nusu acre ntapanda mbegu ya...
  17. britanicca

    Nimekutuma nyanya kwanini ulete kitunguu?

    Mimi sikukutuma hilo, Alisikika akisema
  18. Planett

    Korosho Vs Nyanya

    Nyanya ringa tuu ona mwenzio aliringa sana leo ana bandage kichwani.
Back
Top Bottom