Mnyauko Fusari kwenye zao la nyanya.
Mnyauko Fusari (Fusarium Wilt) ni ugonjwa kwenye zao la nyanya, ugonjwa huu pia unaweza kushambulia mazao mengine kama viazi, pilipili, mbilingani, kunde, ndizi n.k, Dalili zake zinaweza kuwa sawia ama tofauti kidogo kwenye kila zao, jambo moja la kuelewa ni...