Kwenye akaunti yake ya X Msigwa ameandika,
Ndugu zangu Waandishi wa Habari mnaonipigia simu nyingi na kunitumia ujumbe mkiniuliza kuhusu jambo hili, ni hivi;
Nilikuwa nikitekeleza wajibu wangu na niliyoyazungumza/ niliyoyakumbusha ni kwa mujibu wa Sheria ya Usalama wa Taifa, Sheria ya Utumishi...
ARUSHA: SERIKALI imepiga marufuku matumizi ya mitandao binafsi zikiwemo baruapepe, WhatsApp, Instagram, You Tube, Facebook kutuma nyaraka na taarifa za serikali.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete ametangaza amri hiyo wakati akifunga kikaokazi cha...
Wakili wa kujitegemea jijini Mwanza, Willbard Kilenzi ameishauri serikali kuwasaka na kuwachukulia hatua kali za kisheria baadhi ya watendaji wa umma wanaovujisha nyaraka za serikali kwa watu walio nje ya mfumo wa utumishi serikali, jambo linalosababisha nyaraka hizo kupotoshwa na kuleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.