nyaraka za serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Gershon Msigwa ajitetea, niliposema 'ukivujisha nyaraka za serikali utaokotwa' nilikuwa natekeleza wajibu wangu

    Kwenye akaunti yake ya X Msigwa ameandika, Ndugu zangu Waandishi wa Habari mnaonipigia simu nyingi na kunitumia ujumbe mkiniuliza kuhusu jambo hili, ni hivi; Nilikuwa nikitekeleza wajibu wangu na niliyoyazungumza/ niliyoyakumbusha ni kwa mujibu wa Sheria ya Usalama wa Taifa, Sheria ya Utumishi...
  2. JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Ni marufuku kwa watumishi wote wa umma kutumia mitandao isiyo rasmi kutuma na kupokea nyaraka za serikali

    ARUSHA: SERIKALI imepiga marufuku matumizi ya mitandao binafsi zikiwemo baruapepe, WhatsApp, Instagram, You Tube, Facebook kutuma nyaraka na taarifa za serikali. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete ametangaza amri hiyo wakati akifunga kikaokazi cha...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Willbard Kilenzi: Watendaji wanaovujisha Nyaraka za Serikali waadhibiwe

    Wakili wa kujitegemea jijini Mwanza, Willbard Kilenzi ameishauri serikali kuwasaka na kuwachukulia hatua kali za kisheria baadhi ya watendaji wa umma wanaovujisha nyaraka za serikali kwa watu walio nje ya mfumo wa utumishi serikali, jambo linalosababisha nyaraka hizo kupotoshwa na kuleta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…