nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    Wanaopinga " New World Order" ni vichaa

    Wanapinga kitu wasicho kijua. Nimefanya utafiti WA Kina kuhusu New World Order . Nimesoma vitabu ishirini kuhusu " New World Order" . Ninasema hivi dunia hii Ina ihitaji New World Order Kuliko unavyo weza kufikiria. Mngejua New World Order mngetamani ianze hata kesho. Mnadanganywa sijui...
  2. Manfried

    Karma ni hatari wakuu, hakikisha unakuwa makini hasa nyie wauaji

    Nafikiri mmejionea wenyewe karma ilichomfanyia mtu wenu ambae baadhi yenu mlifika hatua ya kumfananisha na Mungu.
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Uduvi ndio kitu gani huko nyie watu wa Dar es Salaam?

    Watu wa Daslamu mna mambo mengi sana. Huu uduvi anaoubeza MKuu wa Mkoa ni kitu gani? Kuna mwanaJF humu anauza uduvi?
  4. Kyambamasimbi

    Wanyakyusa: Mbadilike na nyie muwe mnaenda kwenu wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Kwenu mbona kuzuri kama Moshi tu au mlifukuzwa?

    Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah. Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!
  5. julaibibi

    Wauza kahawa wa Dar na maeneo mengine

    Kwa muda wa miaka zaidi ya 1000 kinywaji cha kahawa kimendelea kushika chat kwa kunywewa duniani Wauza kahawa wa vijiweni sasa wameanza kukimbia gharama ya unga wa buni. Kwa sasa kuna mambegu fulani yanaitwa maharo au maharage nayo yana uchungu ila harufu yake mbaya. Wanachokifanya hawa wauza...
  6. Mstoiki

    Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

    Habari zenu wakuu, True story!! Sikuwahi kufikiria kuwa siku moja ningeweza kujikuta katikati ya mchezo hatari uliopangwa kwa ustadi wa hali ya juu. Ilianza kama jambo la kawaida tu — ofa ya kuvutia na ahadi za mafanikio ya haraka. Lakini kadri nilivyozidi kujihusisha, nilitambua kuwa...
  7. Makonde plateu

    Yeye Mwanza mimi Tanga, wenzangu mnawezaje haya mahusiano ya long distance relationship?

    Nahitaji ushauri kuhusu jinsi ya kuishi na mpenzi aliye mbali (distance love). Kiukweli, naona kama tunadanganyana tu. Kila mara ni "nakupenda, nakupenda," lakini mimi ninahisi hali ni tofauti, kwamba huko aliko, labda anahusiana na mtu mwingine. Mwanamke huyu si wa kumuamini kabisa, ila mimi...
  8. PROFOUND NOTION

    Wakristu wenzangu, nyie mnaombaje hadi kujibiwa maombi yenu. Tusaidiane kwa mapenzi ya kristu

    Nimefunga, nimeshirikisha, nimeomba alfajiri lakini bado tabu ninayopitia inaendelea kunitafuna. Tusaidiane wakuu.
  9. Mwamuzi wa Tanzania

    Wakati naleta Uzi kuwaomba viongozi wa juu CHADEMA kususia uchaguzi na siasa nilisema kuwa viongozi wa chini hawana ulinzi kama nyie

    Viongozi wa juu CHADEMA wana ulinzi wa aina 3. 1. Ulinzi kwasababu jumuia za kimataifa wanawafahamu. Si rahisi kumuua kiongozi wa mkuu wa chama cha upinzani kwakuwa wauaji nao wanahitaji misaada kutoka kwa watu ambao wameruhusu upinzani. Kiongozi wa upinzani ngazi za chini hata akiuwawa jumuia...
  10. NITAKUKAMATA TU

    Halotel mjitafakari mmebakia nyie

    Habari ndugu wanajamvi. nitoe pole pole za dhati kwa watanzania WOTE ,kutokana na msiba na janga La kuanguka kwa jengo La kariakoo. Baada ya pole hiyo, nipende kutoa malalamiko YANGU kwenda kwa mtandao WA laini za simu, kampuni ya HALOTEL. Kampuni hii imeshindwa kulinda wateja wake kwa...
  11. FK21

    Wanawake, hakikisheni kuwa sababu zenu za kumkataa mtu ni za msingi na za maana

    Just imagine umekaana na mshikaji miaka mi 4 Mmetambulishana Kwa familia Ujanja wote mshikaji anakufundisha akijua kabisa wewe sio mzuri ila kaamua kukuheshimu tu hakufanyiii usenge Ghafla unapagawa na msela mwenye Subaru unaongoka Kwa aliye vumilia ubaya wako Kwa dharau na kebehi Unazani...
  12. Makonde plateu

    Hivi nyie watu ambao kutwa kubishania dini mnapata faida gani? Only fool and poor men can do that

    Nimeamini kumbe wajinga ni wengi sana aisee na wala hauwezi kuona watu wanaojielewa wapo thread za kubishania dini na huu ndiyo mtaji mkubwa wa wanasiasa uchwara kwa sababu watu wanaojielewa wapo bize na constructive topic na sio hizi mada za kujimbwafai kwamba dini fulani ni mbaya na dini...
  13. Perry

    Hivi nyie wenzangu mnawezaje kuishi na wanaume wazubaifu?

    Kuna raha fulani wanawake hupenda kuona mwanaume akiwa na mishe mishe nyingi. Yaani, kaingilia mlango huu, katokea huku, kisha kafika nyumbani, kakaa lisaa limoja, na kuendelea na misele yake. Mwanaume anarudi na mazaga mkononi, mnapiga stori, mnataniana, mnafurahi na kucheka. Kwa kifupi...
  14. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Azam Company na Azam Media yaani Yanga SC kupitia Ali Kamwe wanaichafua 'Brand' yenu nyie mmenyamaza tu

    Ukiwa na Akili timamu na umemsikiliza vyema kabisa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe utakubaliana nami kuwa kwa 100% anaichafua Brand ya Azam Company na Azam Media (hasa Tv yao) ila cha Kushangaza Watu wa Azam wala hawalioni na wanaona sawa tu. Hivi Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kusema kuwa Azam Tv...
  15. Brojust

    Hivi nyie wanawake, hakunaga option nyingine zaidi ya madera

    Habari la jioni dada zangu wapendwa. Mada hii inawahusu wanawake ambao asubuhi mchana jioni madera tu. Unakuta mtu siku nzima anashinda na dera halafu ndani amevaa ribukta la man united au Yanga. Halafu hayo yote sijawahi ona masaki wala ostabay utakuta ni huku kwetu Buguruni, Mbagala na...
  16. F

    Nyie bongofm sikieni

    Siku hizi mnatangaza taarifa ya habari saa 12 asb,sio mbaya,ila msiwape kutangaza taarifa hizo watu wasiosomea kazi ya utangazaji,kwani wanaharibu hizo taarifa ya habari,wanameza mate hovyo,wanatangaza hovyohovyo kwakuwa hawajui kitu.Chisano jr hawezi kutangaza taarifa ya habari
  17. KENZY

    Nyie walimwengu dunia yenu ya mapenzi imeshanishinda!

    Hamna dogo nyinyi,staha wala adabu mtu unajitahidi kwa uwezo wako wote mpaka jasho linakumiminika,vikengere utamu mpk vinachemka lkn mtu bado anakuambia unafanya mapenzi kama bata!!..😠 Bata! sure bata! WTF
  18. Pdidy

    Baada ya Jaja Mwizi kuuliwa, Chadi Maela naye afariki kwa kipigo cha Wananchi huko Mikocheni

    ASSLAHAM ALHEIKUM USIKU WA LEO TUMEMPOTEZA MWIZI MASHUHURI WA KAWE CHADI MAELA NA DREVA MMOJA WA PIKPIK KIJANA BAADA YA KUMKOSA KOSA HUKU KAWE WALIAMUA KUFUNGA NIA KWENDA MIKOCHENI JANA WAKAFANIKIWA KUFIKA WATATU DUKA MOJA LA JUMLA WAMEFANIKIWA KUFUNGUA Duka WAKANZA KUTOA MIZIGO MWENYE...
  19. Pdidy

    Hi siku Kaseja alituchomesha derby sitokaa nisahau

    Kama ulisahau kuna mtu alifanya miujiza siku ya derby Simba na Yanga na hakushangaa hata kilichotokea Mnaongelea marefa leo hii enzihizo watu walimalizana na wachezaji mapema. Mpira ulipigwaa mh akacchukua mpira akarudisha nyuma anataka kupiga chenga dah wakamalizana nae Jukwaaa linachekaa tu...
  20. Nanamucho

    Nyie Kuna wazee wanaswaga,Vijana mkasome

    Nikiwa town kwenye mishe zangu,Kuna mahali mchana huwa napenda kwenda kula,wakati natoka Kuna mahali nilipita kwenda kuchukua mkoba wangu Eeeeh sinikasikia naitwa,kugeuka namuona mbaba mtu mzima ila vaa yake kama wale dereva tours,nyieeeee 😹 Kuna watu wanajua kutongoza,yaani nimejiuliza...
Back
Top Bottom