Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia"
Kwanini?
Radio maria acheni udini aisee mnazingua aisee Tanzania kuna dini kubwa mbili aisee sasa kwanini kila siku nyie mnaizungumzia dini moja tu ya ukristo? Ili hali nyie ni radio tu kila mtu anapaswa kuisikiliza sio kubase kwenye dini moja tu aisee mnakera sana aisee
Mtanirekebisha kama ni radio ya...
Vijanaa wengi waliozaliwa mwaka 1990 bado wanajiona ni watoto.
Nawakumbusha kwasasa mna miaka 35 kasoro, umri ndio huo maji ya jioni.
Toka maghetoni, toka kwenu nenda katafute maisha, wakati ni sasa.
1. Unapokutana na msichana, usifikirie ngono kwanza; usiombe ngono. Hata kama una una mihemko kiasi gani, jifanye kuwa wewe ni mtawa kwa muda. acha kuonja kila msichana anayekuja kwa sababu kila ngono lazima ina nasaba ya hatma yako ya baadae.
2. Usiende kutafuta bikira, ikiwa wewe mwenyewe...
Habarini wanajamvi.
Imeshakuwa ni wimbo wa taifa kuwatuhumu single mothers kwa uzembe na kuwa number one suspects katika kushiriki kuibomoa taasisi nyeti sana ya familia.
Upo ukweli katika hili wapo wengi wao sana walijiingiza katika mahusiano kwa tamaa aidha kwa kujihusisha na wanaume wenye...
The Service Provider Mdundo has scheduled repeat payments of amount 199Tsh every Day for 999 Days as payment for product Mdundo -Tsh199/Daily. Contact Vodacom Customer Care if you didnt subscribe to this service
Yaani mtu ana schedule repeated payments kwa namba yangu, na hata hamnipi option ya...
Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania
Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania
Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania
Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit ✊🏿
Hivi nyie watekaji na wauaji mna watoto ? Mkirudi nyumbani watoto zenu mnawatazama kwa macho gani ?
Watoto nao wanasema baba/mama ametoka kazini. Kazi gani ya kutesa na kuua wenzako ?
DAMU YA DEUSDEDITH SOKA (DEO)
Siku ya Jumatano ya tarehe 21 August 2024 nilikuwa maeneo ya Buza pamoja na...
We Mbowe umetoa tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi nchini, lakini hata nyie chama chenu kinao vijana waliopewa mafunzo ya kijeshi, wakati wa uchaguzi na hata sasa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijana wenu mliowapa mafunzo wamesambazwa kwenye kila wilaya kutoa mafunzo ya namna ya kufanya...
Ni kwamba nimekosea kuwapa namba yangu ya whatsapp au?
mbona watoto wa 2000 mnaanza kunitongoza bibi yenu tena?
sasa mtapita wapi na mimi
"eti, Tsup ma, how ya doin'
baby send me your photo
ma, you love my swaga?
hey babe, lil mama
hey honey money
money penny i got money for ya''
yani huku...
Kiufupi mashabiki na nyie mnapenda stress za hovyo; look Yanga ni Timu bora kwa sasa na wapo serious kwamba wanataka kuachana na traditionnal football na hawana muda na political football.
SSC bado wanaamini kwenye political football na traditional ways of doing things , kwa staili hiyo, Yanga...
Habari Hongera na weekend!
Nianze hivi kilichomkuta Kaizer sio kusema kanunuliwa sio kusema sijui ana udhamini wa GSM ni kapigwa Mpira unaitwa Kosa Kujisahau tu.
Kwa wasiojua Kaizer Alienda Pre season nje ya Sauzi na tangu atangazwe NABI alikua hajapoteza huko Pre-Season yani ilikua full dozi...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Nikimnukuu kocha wa Yanga alichosema baada ya kumalizika mchezo huko Kwa Madiba
Gamondi "You know Yanga & Simba are friends,so here in South Africa I prepare my team because of CACL,iam not here for Simba,So let I assure the Simba fans, we're brothers...
Mbona kama wangu kazidi haipiti wiki hatujagombana japo najijua mi ndo mkorofi,lakini ananikwaza jamani hanipi mda!!!! Mda wore busy tu inawezekana jamani kuongea ni usiku tu, sasa hapa nimempigia nikakuta call waiting nime mkejeri tu msalimie baby oneni alivyonijibu.
Nina kibabe changu kidogo dogo kimezaliwa kati ya 2000 - 2005, kipo chuo ndio hawa hawa suppliers wa UTI sugu na yaambatanayo
Sasa juzi saa 8 usiku kimenitumia text eti nakipa daddy vibes na makopa kopa ya kutosha and she likes it...
Hii daddy vibe wengine wanaita daddy energy ni nini...
Aisee unajua tunaweza kuwa tunabishana kuhusu kataa ndoa sijui kubali ndoa lakini hatujui maana yake vizuri. Ndo maana Nina swali je mnachomaanisha ni hamtaki kabisa kuishi na mwanamke pika pakua au hamtaki tu kufunga ndoa kisheria.
Kama ni kutoingia kisheria hata mimi nitawaunga mkono ila je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.