nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prakatatumba abaabaabaa

    Watu wenye nafasi fulani ofisini acheni dharau na kujisikia

    Sikupata mshangao sana yule askari wa Uganda "aliemmiminia" njugu wale officers pale ofisini wala hakumpiga risasi mtu mwingine kwa sababu target yake ni hao officer wenye dharau na kujibu watu hovyo hovyo. Nyie mliopata nafasi/kubahatika kukaa ofisini wahudumieni watu kwa upendo na staha...
  2. Ashampoo burning

    Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

    Naandika uzi huu huku nikiwakumbuka wengi waliokufa na gonjwa la hatari la UKIMWI kule kwetu Iringa Mafinga kwenye misitu mbao mji wa biashara mji wenye viwanda vidogo vidogo vingi vya mbao mji wa majani ya Chaibora. Mimi nilizaliwa mwaka 1990 DSM, baadae mwaka 1995 tukahamia mafinga mjini...
  3. B

    CCM mbeLe kwa mbele: Wakati wa wafanyakazi, wanasiasa na wakulima nyie wafanyabiashara mnasema hayawahusu

    Pamoja na kwamba tuna mifumo mibaya ya uendeshaji wa Nchi bado tatizo kubwa la Tanzania ni Watanzani wenyewe. Yaani Mtanzania mwenye level ya elimu angalau Form Four au Diploma ama tuseme hata Degree bado hawezi ku link maisha yake na siasa, uchumi, Sheria, biashara, kilimo. Yeye anaona mambo...
  4. Chizi Maarifa

    Nimepokea shukrani zenu kwa dhati. Nami nawapongeza kwa kuonesha ushirikiano nyie wanawake wa 4

    Nashuwakuru nyie wadada wanne ambao mmewasiliana nami na kunisihi niwapatie Zawadi ya Mimba kama ambavyo nliahidi. Na pia nyie wawili ambao tayari mchakato umefanyika kwa kurudia rudia mara tatu ili mridhike kuwa imeingia kama mlivyotaka. Kwa sasa Tuanze tu kusubiria matokeo. Kama msipokuwa...
  5. GENTAMYCINE

    Wenye akili hili tumelijua Kitambo tu, ila tunataka kusikia nyie kama MCT mmelitatua vipi

    "Changamoto tunayoiona kwenye Redio ni wamiliki wa Redio kuwaajiri watu Wenye followers wengi. Na mazingira ndiyo yametuhamisha. Kwahiyo huyu mtu mwenye 'followers' Mmiliki wa Redio anaona akichukua atamletea watu wengi" "Ambao hao watu watamletea pesa na yeye kulipa mishahara. Athari ya hili...
  6. B

    Wanawake punguzeni makasiriko. Mjitathimini kama nyie hamna kasoro

    Leo nataka kuongea na wanawake wote popote mlipo. Kwa nini siku zote ktk mahusiano au ndoa lawama ni kwa wanaume tu? Wanawake wote wanaolalamika juu ya wanaume eti ni mbwa, hawaridhiki hata uwafanyie kitu gani bado atakusaliti. Niwaambie tu kuwa siyo kweli nyie mnaolalamika ni kuwa too much...
  7. DR HAYA LAND

    Nyie mnaoenda kwa Waganga na kwa manabii , ili mtoboe niwaambie hamna kitu Mtapata .

    Tangu nijunge JF the home of Great thinkers wenye fikra pana . Niseme tu tunahitaji mikakati kuondoa dhana kuwa umasikini Ni laana .ili watu wasiende kutafta upako kwa manabii fake na kuroga . Mimi nataka niseme kuwa umasikini tumerithi Kama watu wengine wanavyorithi utajiri Wazazi Fahamu...
  8. To yeye

    Mtakuja vunja miguu nyie

    Umevaa mchuchumio (high heels) afu unatembea umbali mrefu...eti Kimanga mpaka Kinyerezi siyo mbali ujue😳 napita shortcut😎...sawa siyo mbali mwenyeji wetu...sasa ndo utembee umevaa mchuchumio? Jaman! Yaan wadada tumekuwa na vigimbi vya miguu wachezaji mpira wakasome! Tuvae raba bas au simple...
  9. Rwetembula Hassan Jumah

    Wakristo, tena nyie Roman mbona padri akipanda madhabahuni anakuwa hajavaa viatu?

    Naomba jibu, waumini wa Roman Catholic. Padri wenu havai viatu nyie mnaingia na viatu kanisani. Mnajifanyaga mko na akili sana.
  10. Makonde plateu

    Wasomi mnatukera, kuoa muoe nyie pesa tuchange sisi!

    Kuna mambo yanakera na kuchukiza, hebu fikiri yaani mtu unaungwa kwenye group la Whatsapp bila taarifa, ukifuatilia purpose la group unaambiwa group la bwana nani eti kwa lengo la kuchangisha michango kwa ajili ya harusi x. Yaani inakera na kuchukiza, nyie wasomi wa kibongo hii nchi sasa si ya...
  11. Makonde plateu

    Nyie wasomi hebu jaribuni kuwaza nje ya box,tumechoka vizinga vyenu

    Yaani just imagine mie darasa la saba B nasumbuliwa na hii mijitu inayojiita wasomi kila kila leo wakinipiga mizinga ya pesa mara Shangazi amemeza kiti,mara mke wangu anataka Dela aisee chefuu inakera sana! Sasa nasema hivi nyie wasomi acheni kunisumbua dadeki nyie si mnahisi kusoma ni...
  12. Carlos The Jackal

    Hivi ni mimi ninayekula chakula kwa Speed au nyie Wenzangu mnawezaje kutumia nusu saa kwenye kula tu?

    Mimi banaa, nmekulia kwenye huu ustaharabu wa Kila mtu na Sahani yake. Lakini napo ilikua inanibidi kumwambia mwanandugu tuchanganye Msosi tule fasta fasta , sio kwamba lengo lilikua nikumpiga KO kama ambavyo wengi wasomaji mwaweza kudhania, la Hasha, lengo ilikuaga ni Ili tuwahi kumaliza...
  13. Allen Kilewella

    Mliiponda Simba kuingia robo fainali Shirikisho, ila nyie mmeshangilia nusura mtoke roho

    Mlilkuwa mnasema kwamba kuingia robo fainali ya Klabu Bingwa ama Shirikisho si mafanikio kwa timu ya Mpira Afrika bali kuchukua kombe ndiyo mafanikio. Mlikuwa mnasema hakuna kitu Simba imepata kwa kuingia Robo fainali ya Klabu Bingwa na Shirikisho! Nyie sasa mmeingia robo fainali kwa mara ya...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

    Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya CAFCC. Saa moja jioni mbivu na mbichi kujulikana. Tupo hapa kuisubiri saa 1 jioni ili tumalizane. Mimi na wenzangu tupo hapa...
  15. Kamanda Asiyechoka

    Zitto kabwe na genge lako kama mnatuonea wivu na nyie ombeni asali mulambe. Mbona mnamsakama Mbowe?

  16. Teslarati

    Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

    Nisiseme mengi, nimekaa pale na Jack Daniels yangu nawasubiri mguse 30s muanze kutulilia tuwaoe. Nna madem fln wanne 30s and above hv wote wako mikoa tofauti, siwezi waita michepuko sababu huwa napozea nikiwa maeneo hayo na kuwalipa japo kwa status zao huwezi jua kama wanauza. Wataalam tunaweza...
  17. Hemedy Jr Junior

    Waajiri kazi za viwandani jitahidini kuwaongezea kiwango hawa vibarua, sio haki kuwalipa 3000-4000

    👤 Sawa wanasema ukiona baa uielewi hamia baa nyingine, ila hili sio sahihi kabisa mtu anafanya kazi toka saa moja mpaka sa 12 afu unampa elfu 4000 - sio pouwa. 👤 KIJANA UNAYEPAMBANA NA VIWANDANI KAMA UKO NA IDEA YA BIASHARA YA NGUO NITAKUPA MSINGI WA BIASHARA ACHANA NA VIWANDA. 👤 UWE NA...
  18. Nyuki Mdogo

    Wanawake, wanaume warefu wembamba mnawapendea nini hasa?

    Naona wanasifiwa sana hadi kuombewa kwenda Peponi😬😬 Wanawake nyie.🙌🙌🙌🙌
  19. Mimi Ni Mtu Wa Mungu

    Nyie 'wala wake za watu'

    Mnawezaje aisee mimi huo ujasiri sina. Nisivyopenda kugongewa na mimi sipendi kumfanyia mwenzangu huo unyama. Kwanza hamna hata huruma? Sometime wanaume tunaangushana
  20. Equation x

    Nyie warembo, kwa nini huwa mnajiweka kwa bei ghali wakati uhalisia unajijua?

    Unamtongoza mrembo, anakuwa ana nata kweli; ukimtoa 'out' anaanza kuagiza vitu vya bei ghali; unaweza ukahisi labda ndivyo alivyo katika maisha yake ya kila siku; kumbe akiwa nyuma ya pazia, ugumu wa maisha yake anaujua mwenyewe. Mbaya zaidi, vitu anavyoagiza ndivyo anataka afanye majaribio kwa...
Back
Top Bottom