nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. God Fearing Person

    Hivi hawa wanawake ambao tuko nao huku mtaani ndo wanawatesa Hadi mnatangaza kujiua au nyie mna-date na HD high definition?

    Maisha ya mtandaoni is series of Dramatically Unakuta eti anateswa sijui na mapenzi au kitu kinachofanania na Hiko . Lakini huku mtaani tunaishi ni Nani Ambaye haoni jinsi soko la wanawake lilivyoshuka . Mimi hapa ndani ya mwaka huu Kuna Mademu watano wenye umri wa miaka 20 Hadi 23 wanataka...
  2. Mpigamimba

    Upo kwenye daladala anaingia mrembo, unatarajia atakaa vizuri kwenye siti yenu nyie wawili tu, lakini akakupa mgongo

    Nilitafakari sana kichwa cha habari hii. Nipo kwenye basi kama nivyosema hapo, nimekaa zangu siti za double nikiwa dirishani, akaingia mrembo pisi kali ya hatari. Cha ajabu ikanikalia na miracle paaa! Upandeupande. Mishavu ikiwa juu ya mguu wangu paja, nikajisogeza ili asinikalie na baadhi...
  3. Natafuta Ajira

    Sikilizeni makolo, kama kuifunga Yanga ni rahisi basi ifungeni nyie

    Kumekua na blah blah nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa makolo., kila timu inayofungwa na Yanga kisingizio chao ni kwamba wapinzani wanaongwa Ukweli ni kwamba katika ile rekodi ya unbeaten kwenye mashindano ya ndani hata makolo pia mmechangia maana mngeweza kuifunga Yanga katika mechi 6...
  4. Idugunde

    Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

    Hii ni kupigana midongo ya nguvu "Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?" 👇
  5. Mwamuzi wa Tanzania

    Nyie wanawake mnadhani sisi wanaume pesa tunaokota? Huyu mwanamke kwa siku 1 ananipigia zaidi ya mara 30 sipokei simu yake

    Hi! Niliwahi kuleta Uzi nikasema wanawake maskini hasa wa mjini hawana mapenzi ya dhati kwa wanaume wapenzi wao. Wengi ni kama wapo na wanaume ili watatue shida zao za kiuchumi. Watakuigizia kukuita baby mara dear ili ujisikie unapendwa lakini kwa kweli ukifulia au yeye akipata mwanaume...
  6. GENTAMYCINE

    Mnajifanya kusikitika Kifo cha Katibu wa Masanja, ila hamkemei 'Uhuni' wake 'Wanafiki' wakubwa nyie

    Yaani kila Mtu anajifanya Mchambuzi, Mpelelezi na Kaguswa sana na Tukio la Kujiua kwa Katibu wa Kanisa la Massanja huku Wengi wenu mlivyo Wanafiki mnalazimisha kuwa Dogo Kauwawa na wala hakujiua kama tunavyoaminishwa. Yaani tunaacha Kukemea Uhuni wa Dogo na wa Watu Wengi ( na Wengine tuko humu...
  7. Equation x

    Nyie wadada, tupatieni namba zenu za simu

    Wengi katika mahusiano, huanza kwa kupeana namba za simu, na baadaye kuanza kuwasiliana, na hatimaye kuelewana katika mahusiano wanayotaka kuyaanzisha. Wakati mwingine kupewa namba ya simu imekuwa changamoto; unaweza ukaomba, na ukaishia kuzungushwa tu, na baadaye kutokuendelea kumsumbua...
  8. C

    Na nyie mnaamini wazazi ni chanzo kikuu cha panya road?

    Ni moja ya sababu lakini sababu kubwa ya kuwepo kwa panya road ni hali ngumu ya maisha, mfumuko wa bei, kukosa ajira na kunyimwa mazingira ya kujiajiri hasa 'umachinga'. Wanaokamatwa sasa hivi siyo watoto ni vijana wakubwa na wengine ni wababa kabisa, bado tu kuna sababu ya kuwatupia lawama...
  9. technically

    Msitusumbue nyie si ndio mlichagua CCM kwa kishindo 2020?

    Malalamiko Mara tozo Mara sijui umeme kukatika mafuta kupanda tusisumbuane. Watanzania ndio tatizo zaidi siku za uchaguzi zikifika mnajifanya hamnazo hampigi kura na wengine mkipiga mnapigia ccm upuuzi. Acheni kulia lia sasa haya matozo na ujinga ujinga wote unao endelea ni zao la ilani ya ccm...
  10. Idugunde

    ACT-Wazalendo kuwaponda CHADEMA kuwa hawana ofisi sio vizuri. Muwe mnawashauri kwa barua wajenge ofisi

    This is not good at all 👇
  11. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    Wataalamu Dadavueni nyie mie kichwa gongana

    Viwango vya juu vya tozo ya Serikali vimepunguzwa kutoka sh. 7,000/- hadi 4,000/-(kwa wanaotuma zaidi ya sh. 3,000,000/-). Viwango vya chini vimepunguzwa kutoka sh. 100/- hadi shilingi 10/- (wanaotuma kati ya sh. 100/- hadi 2,999/-) UFAFANUZI WA KINA UTATOLEWA NA WIZARA YA FEDHA
  12. GENTAMYCINE

    CCM kama nyie ni wapenda haki, naomba mfute matokeo ya chaguzi zenu zote za mwaka huu kwasababu zimejaa rushwa 100%

    99.9999% ya wote walioshinda, wameshindwa kwa nguvu kubwa ya rushwa(kuhonga) kwa wajumbe na siyo nguvu ya kura za wajumbe makini. Rais Mstaafu Kikwete ameteuliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa kiongozi wa uangalizi wa uchaguzi mkuu nchini Kenya na huku nyumbani mimi GENTAMYCINE niliamua...
  13. sky soldier

    Hii sasa sifa, mkataba wa bilion nne na ushee kwa mwaka! Nyie Sport Pesa mnaifanya Yanga iende kuchukua vikombe vyote msimu ujao

    Hii sasa sifa, mkataba wa bilion nne na ushee kwa mwaka!! Nyie Sport Pesa mnawafanya Yanga waende kuchukua vikombe vyote msimu ujao. Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba. Halafu hapo kuna yale mafungu ya bilioni 40 kutoka Azam sijui ni shilingi ngapi kwa mwaka nimesahau Kama...
  14. luangalila

    Nyie Utopolo mbwembwe nyingiii ila mtaanzia hatua za mwanzo huko

    Utopolo hawakwishi vituko na vimbwanga ... Wanatambulisha wachezaji saa za usiku kama majizi, mara wametuletea akina Joyce ila bado wanapaswa kujua wanaanzia prelimimary stage huko kuna rivers UTD, Jowaning Galaxy, Plateau UTD watawababua mtafukuzana msimu huu
  15. N

    TFF msizuge nyie ndiyo mmemuomba msamaha Manara, CAF wangewabomoa

    Manara the greatest, the brightest, kijana mstarabu mwenye elimu yake nchi hii yaani degree mbili za south africa na china hajawahi kushindwa vita Hii ni kwa sababu ana upako wa Mungu yaani ni mpakwa mafuta, wapo waliojaribu kushindana naye waliufyata wenyewe Barbara sasa hivi ana migogoro...
  16. M

    Naona sasa mmeelewa kuwa siasa sio chuki au papara za mkumbo. Visasi na mihemuko imekuwa inawaghalimu sana nyie.

    Mambo mengi mnafanya kwa mihemuko bila kujua backstage ishu ziko vipi. Ndio maana mwamba analamba asali huku mkibaki mnapiga miayo. Sasa mlidhani mtawakomoa? Subirini mpaka mtapokuwa na akili timamu ndio mtajua siasa sio mihemuko Acheni mihemuko ya kisiasa
  17. M

    Msimamo wa Polepole: Sitavaa barakoa hata kama nyie wote mnavaa barakoa

    Polepole ni muumini mwenzangu wa kutokuvaa barakoa. Amenifurahisha kutunza msimamo wake mbele ya wenyeji wake wote waliovaa barakoa. Safi sana!!
  18. KENZY

    Hivi mnaona ninachokiona au nyie ni vipofu?

    Ifike mahali mfumbuke macho nduguzanguni!, mnacholishwa ni ulaghai tupu!. Hizi dini ni moja ya project za kilaghai kuwahi kutokea katika dunia yetu!. Hivi unawezaje kuamini ukifa Kama unadhambi ati unachomwa moto!!😂 Sasa kwa faida ya nani sasa? Kutokujua ulipotoka ndipo ulipotoka, kwasababu...
  19. GENTAMYCINE

    Mkitaka Kagame na Museveni 'wasiishambulie' Congo DR na nyie acheni 'Unafiki' na kuwasaidia 'Waasi' wa 'Kihutu' na Burundi

    Na kuna ncbi moja Afrika Mashariki huwa inajifanya ina 'Kiherehere' sana cha kupeleka Askari wake Congo DR na pia huwa 'Kisirisiri' inawasaidoa 'Waasi' wa 'Kihutu' kutoka nchini Burundi 'Kutesa' na 'Kuua' Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) naionya wasithubutu kupeleka Askari wao huko kwani 'Watakufa'...
  20. DR HAYA LAND

    Mnaoanzisha thread na kuwaita watz wenzenu wajinga mnajitambua kweli?

    Mara nyingi mtu akipata Mafanikio kidogo tu anaanza dharau na kuwaona ambao hawajafanikiwa kuwa ni wajinga Kwanza vijana wa Tz wanapambana sana sema sera Mbovu ndo zinawarudisha nyuma . Mtu anaishi Maisha yake hajakuomba chakula wala unga then unamuita Mjinga huu Ni upuuzi . Mtu unasikia...
Back
Top Bottom