nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Ajali zimekuwa nyingi, abiria paza sauti

    Je wajua vyanzo vya AJALI barabarani? Abiria kuwa kimya bila kukemea au kutoa taarifa polisi dhidi ya makosa yafuatayo: 1: Dereva kuyapita magari ya mbele bila TAHADHARI. 2: Dereva kuendesha gari akiwa amelewa pombe au dawa za kulevya. 3: Dereva kuendesha chombo kwa mwendokasi. 4: Dereva...
  2. Mr Why

    Ukitafuta mali usijinyime kuzitumia, ukifa utaziacha watatumia wengine

    Yapo madhara makubwa sana ya tamaa ya mali na pesa nyingi ambayo watu wengi hawakumbuki mara nyingi wanajisahau sana. Madhara ya kumiliki pesa na mali nyingi sana kwanza kabisa lazima utambue kuwa unakesha usiku na mchana kutafuta pesa na mali nyingi hata wakati mwingine unaogopa kula na...
  3. Crocodiletooth

    Mbia anayejihami kwa nguvu kubwa, mara nyingi si Mbia salama

    BAADHI YA VIFUNGU VILIVYOPO KATIKA MKATABA HUU. 1. TANZANIA HAIRUHUSIWI KUJITOA KWENYE MKATABA Ibara ya 23(4) ya mkataba huo inakataza wahusika wa mkataba ambao ni serikali ya Tanzania na Kampuni mwekezaji DPW kujitoa(Denounce) katika mkataba, Kuvunja, Kuahirisha(suspend), au...
  4. S

    Kumbe walishasaini siku nyingi tu!!!

    Habari ndio hio na kuna documents kabisa nimeziona twitter kwa Mdau mmoja zikionyesha hivyo na Mama anasomeka katika moja ya hizo documents. Halafu kumbe hii kitu ilifanyika tangu mwaka jana na Mjengoni ilikuwa ni kukamilisha ratiba tu. Kazi tunayo!!
  5. Myahudi Jr II

    TRA muda umepita wa kutoa "LIFETIME" "plate number" za magari, zilipiwe kila mwaka mtaondoa plate number fake nyingi

    Tukiwa katika majonzi ya kuuzwa kwa bandari na mimi naongeza majonzi TRA wakati umefika sasa tuache kutoka "plate number" za magari "lifetime period" tutoe plate number kwa Mwaka mtu anarenew baada ya mwaka kwa kulipia kiwango fulani cha pesa Faida; Mtapunguza sana wizi wa magari kwasababu...
  6. amshapopo

    CCM na kauli 'watatufanya nini sisi ni wenye dola' siku si nyingi itawageuka!

    Wana CCM hawana uoga na kitu chochote wanacho amua kufanya, wanaamini kushika kwako dola ndo kila kitu kwao. Wapo wanaoamini wao na familia zao watatawala milele. Lakini naamini hakuna marefu yasio na ncha. Moshi mweupe umeanza kufuka, watanzania wa sasa sio wajinga kama miaka iliyopita. Mwisho...
  7. MIXOLOGIST

    Speculation zimekua ni nyingi sana, taarifa rasmi itolewe kuondoa taharuki

    Mama Tanzania Wanao tuna piga ramli nyingi sana. Tangu amekuja DP World, speculation ni nyingi sana. Hakika, hii inatokana na ombwe la taarifa rasmi au mapungufu au ukinzani katika taarifa zisizo toshelevu. Wajibu wa viongozi ni kuondoa ombwe, kuondoa mkanganyiko na kuwapa taarifa rasmi...
  8. BARD AI

    #COVID19 Rais Museveni akutwa na Maambukizi ya COVID-19

    Wizara ya Afya Uganda imesema Kiongozi huyo alianza kupata dalili za homa ya Mafua makali ingawa hali yake sio mbaya na anaendelea na kazi zake kama kawaida huku akipata matibabu. Mapema Juni 7, 2023 baada ya kutoa hotuba kwa Taifa katika viwanja vya Bunge, Museveni (78), alidokeza kuwa huenda...
  9. mdukuzi

    Nchi nyingi nilizotembelea mikate ni chakula ila huku kwetu ni kitafunwa

    Kweli kila nchi na tamaduni zake, msosi pia ni sehemu ya tamaduni. Wakati bongo tunajivunia chipsi yai, au supu chapati usichukulie poa, Mrisho Ngasa na Kapombe walishindwa kucheza Ulaya kisa chipsi yai. Turudi kwenye mada, nikiwa Cape town, nilishuhudia watu wakila soda na mikate kama mlo...
  10. Miss Zomboko

    Familia nyingi haswa za kisasa zinakabiliwa na changamoto nyingi zinazotokana na mabadiliko katika jamii na maendeleo ya kiteknolojia

    Familia nyingi haswa za kisasa zinakabiliwa na changamoto nyingi zinazotokana na mabadiliko katika jamii na maendeleo ya kiteknolojia. Leo tutaangazia baadhi ya changamoto hizo na jinsi zinavyoathiri familia zetu. 1.Tofauti za Majukumu na Wajibu.Mfumo wa familia umebadilika sana, na sasa...
  11. Meneja Wa Makampuni

    SoC03 Faida za Kubinafsisha Bandari ya Dar es Salaam ni Nyingi. Lakini Changamoto Tatu (3) Zinapaswa Kudhibitiwa Ili Tuweze Nufaika Zaidi

    UTANGULIZI Bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni moja ya bandari kubwa na muhimu zaidi barani Afrika, imekuwa chanzo cha fursa na maendeleo kwa Tanzania. Hivi karibuni, kumekuwa na mazungumzo kuhusu ubinafsishaji wa bandari hii ili kuongeza ufanisi, kupanua huduma, na kuchochea ukuaji wa uchumi...
  12. Mwanadiplomasia Mahiri

    Tamthilia ya Jua Kali ilipaswa iishe siku nyingi

    Kwa wale mnaofatilia tamthilia hii mtaungana nami kuwa director Lamata analazimisha kuongeza matukio ili ivutie lakini katika uhalisia ilipaswa iwe imeisha siku nyingi. Bill kashajua mama yake ni aunt Zai, Maria na Frank kila siku vitimbi kama ilivyo femi na luka kila siku drama za kufumaniana...
  13. Gentlemen_

    Usanii na Akili nyingi aliyotumia Prof Jay katika Wimbo wa Bongo Dar es Salaam

    Huu wimbo uliachiliwa Mwaka 2001, katika albam yake ya Machozi, Jasho na Damu. Nitachambua na kuunganisha na Matukio ya sasa ambayo enzi hizo yalikuwepo ila baadhi ya watu wanayafanya kama ni mambo mapya... na uzuri huyu PROFESA Alichimba ndani sana.. 1- Ushoga 2- Umalaya na Kuuza Miili 3-...
  14. GENTAMYCINE

    Ni matumaini yangu Ikulu mpya inayoenda Kuzinduliwa hatutasikia nayo ina Hirizi nyingi na Kondoo wengi Wamezikwa

    Kuna Mtu Mmoja aliingia zamu yake ( mwaka nauhifadhi ) na alikuta Hirizi kila mahala huku Kondoo wakiwa Wamefukiwa hadi hawaka anashindwa Kulala ndipo Watu wa Maombi wakaitwa na Kuombea kisha vyote vikatolewa na ikawa salama na aliyekuwa navyo akaondoka navyo vingine Kwake Mikocheni, Masaki na...
  15. R

    Kwa joto la kisiasa lililopo kwenye sekta binafsi; naona baraza la mawaziri likifumuliwa; sekta nyingi zimeyumba

    Tamisemi kuna matatizo mengi sana hasa ulaji wa fedha za miradi..waziri na timu yake bado ajafungua macho kuwaziba midomo wezi. Kwenye biashara napo kugumu wafanyabiashara wameanza kuona giza huko waendako, waziri yupo hana analofanya kurescue situation Kwenye nishati napo speed yakuwapa...
  16. Maguguma

    DOKEZO Barabara nyingi zinazounganisha Vijiji vya mkoa wa Ruvuma hazipitiki kipindi Cha mvua

    Kipindi cha mvua barabara nyingi zinazounganisha Vijiji vilivyopo Mkoani Ruvuma hazipitiki kirahisi na zingine hazipitiki kabisa. hali inayopelekea wanakijiji wengi kusafirisha mazao yao kwa shida toka eneo moja kwenda eneo lingine. Inayoonekana katika picha ni barabara iliyopo katika Kata ya...
  17. JituMirabaMinne

    TAHADHARI: Oil nyingi za engine za magari mtaani ni majanga

    Hiki kisa kinahusu gari moja aina ya Volkswagen Polo GTI mk5 toleo la mwaka 2012. Gari ina engine ya EA211 1.4TSI twin charge. Hii kazi niliunganishiwa na mtu wa humuhumu ndani japo huyo mtu alidai hanifahamu personally na hatujawahi kufanya kazi ila ameshakutana na post zangu nyingi humu JF...
  18. DR HAYA LAND

    Inakuaje watu mnaoaminika kuwa na akili nyingi mnaingizwa chaka na manabii fake?

    Kuna nchi moja Africa ya Mashariki watu wanajisifu kuwa na akili nyingi na wanajua Kingereza vizuri na ni wazee wa kuchapa kazi sana. Sasa imekuaje mkaingia king kirahisi na kukubali kuuliwa kirahisi na manabii fake?
  19. Street brain

    Hivi kwanini makolo wakishinda fujo ni nyingi sana mjini

    Aisee, hawa Makolo kwanini wakishinda fujo ni nyingi town but young africans hatunaga huo ushamba,, yaani tunafanya slow but sure 🤣🤣 sisi ndio vidume sasa Narudia tena SISI NDIO VIDUME
  20. M

    Zama za kufungwa goli nyingi kwa Simba na timu za waarabu tumezizika rasmi. Kumwembe ukubali ukweli huu

    "Mchambuzi" wa soka Kumwembe ambaye hana historia ya kucheza soka kwa kiwango hata cha kati alisema: "Hata kama Simba itashinda goli 3-0 hapa kwa Mkapa, bado haitoweza kusonga mbele” Naamini hiyo kauli hatokuja kuirudia tena maana zama za kupigwa nyingi tumezizika rasmi na jumla!!
Back
Top Bottom