Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, ameagiza watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato ya ndani kupangiwa kazi nyingine.
Homera ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani mara baada ya Uongozi wa Halmashauri kutangaza...
Kufeli kwa serikali ya CCM sasa kumegonga pentagoni. Jiji la Dar es laam sasa limegeuka jiji la uhaba wa maji na umeme.
Kwenye ishu ya maji, kuna mgao wa siku tatutatu na maji yanatoka masaa machache kisha yanakatika.
Hali hiyo imefanya watu waanze kuhangaika na ndoo na madumu kutafuta maji...
Habari wakuu,
Kwa sasa ningependa kuongeza laini nyingine yenye ofa nzuri nzuri za vifurushi, je ni laini gani ingefaaa maana naona nishazichoka voda na TTCL.
Nawasilisha.
Wakuu habari ya November Nina dogo yuko Dodoma ndani ndani Kijiji kimoja kinaitwa Ibedya amemaliza darasa la Saba amepata wasatani wa 'D'/amefeli naomba nifahamu inawzekana akaja Dar akarudia darasa kwenye shule ya Serikali? Kama inawzekana process zake ziko vipi?
Natanguluza shukrani!
Kweli ni magumashi ya kulipiza kisasa baada ya kushughulika vema na ufisadi hai.
Tumeona washitakiwa wengine wenye kosa zaidi ya moja kufunguliwa kesi moja na kisha kutumikia hukumu moja kwa makosa yote. Ila kwa sabaya wanamshitaki kesi tofauti ku maximise kifungo na kumdhalilisha.
Hebu...
Namsikiliza Gerson Msigwa katika kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa.
My take.
Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi...
Nashangaa mpaka leo bado CCM na viongozi wa Serikali hawajajua tofauti ya wapinzani wa kaskazini na wa sehemu nyingine kama Kigoma au Mbeya
Huku Arusha, Kilimanjaro na Tanga tatizo kubwa sio barabara au madarasa ya shule. Ni sehemu ambayo ilikuwa na barabara nyingi za lami na shule nyingi...
Mfungwa wa kifungo cha miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha, Lengai Ole Sabaya na wenzake 6, kesho 18/10/2021, watarejea tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza kesi nyingine ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kuendesha genge la uhalifu, utakatishaji fedha na uhujumu uchumi.
Wakuu heshima sana,
Wakati wowote kuanzia Jumatatu Mfungwa wa kifungo cha Miaka 30 Bwana Lengai Ole Sabaya anatarajiwa kupandishwa kizimbani kujibu mashtaka ya wizi wa kuaminika na wenzake watatu ambao wote ni wafungwa wa kifungo cha muda mrefu (30 years)
Lengai Ole Sabaya alitengenezewa gari...
Duniani hakuishi vituko
Japani watu wanalipwa madola kibao kwa kufanya mtu alie machozi kuondoa stress wanaamini mtu akilia stress zinaondoka.Wasanii Muwezao kuliza watu mpo? Asipolia hulipwi
Jionee video mwenyewe
Nataka kupata msaada ni namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja anayofanyia kazi hadi idara nyingine?
Mfano mtumishi wa Idara ya mahakama kuhamia idara ya ardhi. Au ardhi kuhamia mahakama.
Msaada kwenye tuta.
Wakubwa,
Hivi vibao vya shule na taasisi nyingine za serikali vilivyoko kwenye hifadhi ya barabara(road reserve) huwa vipo kisheria ama vipi
Nimeuliza hivyo maana kuna mdogo wangu kagonga kibao cha shule ambacho kiko ndani ya hifadhi ya barabara na naona kuna mwalimu mkuu anajitia kimbelembele
Uwezo wa watanzania ni kulalamika kwa vitendo, kwa kutumia ushahidi wa video zilizopita. Yaani ilimradi walalamike, waweke hisia zao wazi ndio huwa furaha yao kuu. Tangu JPM alale usingizi wake wa milele, kuna wanaoishi kwa hasira na majonzi yasiyosemeka. Kila ambacho Mama atakifanya kitaonekana...
Kwa waliokuwa majirani zake enzi hizo hawatashangaa sana maana hata yule mke wa mwingine kipindi hicho jamaa akiwa choka mbaya sana alikuwa anamvurumishia makonde na matusi mazitomazito juu yake.
Hata baada ya simba kumpa maisha na connections na standard ya maisha ku improve bado dada alikaza...
Gari imekaza.
Gari inatembea mwendo mdundo
Haina shida wala kelele
Njoo na Mil 2 nikuachie
sms 0625750755 gari za bei kitonga zipo.
imebaki hii tu
INAFUATA FORD XLT manual gear kwa milioni 7
Kwa sasa Soko la K/koo lililo jengwa zaidi ya Miaka 40 iliyo pita limeelemewa na kuzidiwa kutokana na ongezeko la idadi kubwa ya watu.
Kila Mgeni anaye kuja Jijini anawaza kwenda kufanya biashara maeneo ya K. koo ndio maaana leo hii wamachinga wametapakaa hadi wameziba barabara na mifereji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.