nyuki

Nyuki (Russian: Нюки) is a rural locality (a selo) in Kabansky District, Republic of Buryatia, Russia. The population was 249 as of 2010. There are 4 streets.

View More On Wikipedia.org
  1. Zekoddo

    Nyuki wamevamia jikoni kwangu

    Wakuu, hapa getho kwangu Kuna nyuki wamevamia toka majuzi,, wananifanya nisiishi kwa raha,, mama watoto wangu anashindwa kukaanga vizuri hapa kwa sababu ya hawa nyuki. Naomba mnipe dawa au namna ya kuwaondoa hawa nyuki. Kama Kuna dawa za kupulizia ili wasepe hapa jikoni kwangu nipeni maujuzi wadau
  2. benzemah

    Aliyepigana Vita vya Kagera, Afariki Dunia kwa kung'atwa na nyuki

    Dodoma. Shujaa wa vita vya Kagera, Abinael Chikataa (71) amefariki dunia kwa kung'atwa na nyuki akiwa katika sherehe ya kuogesha wajukuu wake waliokuwa wamefanyiwa tohara. Tukio hilo lilitokea Julai 15, mwaka huu katika Mtaa wa Kikuyu Kusini, jijini hapa na nyuki hao walikuwa kwenye mti, lakini...
  3. B

    Rukwa: Nyuki waua mmoja Sumbawanga

    Mwanamke mmoja aitwaye Janath Swedi (72) Mkazi wa Mtaa wa Mtakumbuka, Kata ya Momoka Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa, ameuawa kwa kushambuliwa na kundi kubwa la nyuki nyumbani kwake. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Mwenyekiti wa Mtaa huo, Mohamed Makubi amesema tukio hilo lilitokea...
  4. Mr Lukwaro

    Hebu fahamu mazao yanayotokana na Mdudu Nyuki

    °Nta °Asali °Maziwa ya nyuki yaani "Royal jelly" °Gundi ya nyuki °Chavusha ya nyuki "Bee pollens" °Hewa ya nyuki Sumu ya nyuki yaani bee Venom Najua wengi wanafahamu kuhusu Asali tu 🙏🏾
  5. Roving Journalist

    Wafanyabiashara Soko la Tegeta Nyuki walalamikia ubovu wa miundombinu na mazingira machafu

    Baadhi ya Wafanyabiashara wa Soko la Tegeta Nyuki, Dar es Salaam wamelalamikia ubovu wa miundombinu ya soko hilo hilo kwa kusema asilimia kubwa inachangia huduma kuwa mbovu hasa wakati wa mvua. Nurdin Abdul, Mfanyabiashara wa sokoni hapo amesema “Changamoto katika soko letu ni matope, mazingira...
  6. BARD AI

    Mhasibu wa Chuo cha Nyuki Tabora ashtakiwa kwa makosa 9 ikiwemo Uhujumu Uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambambana na Rushwa (TAKUKURU) imemfungulia kesi Leonard Wilson Chishomi katika Mahakama ya Wilaya ya Tabora mkoani humo kwa makosa ya kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri kinyume na Sheria. Makosa mengine ni Ubadhirifu na Ufujaji wa Mali ya Umma kinyume na...
  7. T

    Soko la Tegeta nyuki, kukizuka kipindupindi serikali ipewe lawama zote na iwajibike!

    Nashindwa kuandika nianzie wapi na niishie wapi! Soko la Tegeta nyuki, ni soko linalovutia funza, inzi wa ajabu na kila aina ya wadudu Halafu serikali inataka tujivunie eti tunaviongozi bora? Kwa lipi? Mbunge wa eneo hilo naye yupo yupo tu na hana msaada wowote! Inakuwaje soko Liwe vile? Ni...
  8. ChatGPT

    Zum zum zum 🐝

    Hii nyuki🐝 ni nyuki🐝 njia nyuki🐝 pekee nyuki🐝 ya nyuki🐝 kumfanya nyuki🐝 mjinga nyuki 🐝 kushughulika nyuki🐝 Sasa rudia kusoma bila nyuki 🐝
  9. B

    Asali mbichi ya nyuki wadogo

    Wakuu kwema, samahan nahitaji asali mbichi ya nyuki wadogo nipo mwanza
  10. Kalpana

    Je, ukivamiwa na nyuki ufanyeje kujiokoa?

    Mwalimu wa shule ya msingi huko mkoani Kigoma afariki baada ya kuumwa na nyuki... Jirani na kwake kuna mwembe watoto walipotoka shule wakarusha mawe na kupelekea nyuki kutoka na kumvamia mwalimu huyo. Chanzo: BBC Hivi nyuki wakikuvamia unatakiwa ufanyeje kuepusha madhara? Kifo hiki ni cha...
  11. Lycaon pictus

    Tofauti ya asali ya nyuki wadogo na wakubwa ni nini?

    Eti wataalamu, tofauti ya asali ya nyuki wadogo na wakubwa ni nini? nyuki hao wanatofauti gani zingine mbali na ukubwa? maana binafsi huwa naona hili suala ni la marketing tu ili kupiga watu bei.
  12. Kindeena

    Ajali Wazo Hill: Daladala la Mbezi Tegeta Nyuki limeparamia bajaji na pikipiki

    BREAKING NEWS: Daladala inayofanya safari zake kati ya Mbezi na Tegeta kibaoni imefeli breki katika barabara yenye mteremko mkali ya Wazo Hill. Inaelezwa kuwa daladala hiyo imevamia Bajaji pamoja na Pikipiki kadhaa. Taarifa zaidi zitakujia hivi punde. East Africa TV
  13. Fred Katulanda

    Sasa unaweza kufuga Nyuki nyumbani kwako

    Jambo hili nimekuwa nikiulizwa sana na watu wengi iwapo mtu anaweza kufuga Nyuki wanaoudunga mwiba, (wengi wamezowea kusema Nyuki wanaouma) nyumbani, jibu lake ni ndiyo inawezekana. Kivipi, hapa ndipo inabidi nikupe shule maana Nyuki ni hatari sana wanaweza kusababisha madhara makubwa kwa watu...
  14. M

    SoC02 Mchango wa ufugaji nyuki katika kukuza uzalishaji katika sekta ya kilimo

    UTANGULIZI Ufugaji Nyuki ni sanaa na ni sayansi pia inayohusisha ukusanyaji , usimamizi na uongezaji wa makundi ya Nyuki kwa lengo la kuzalisha mazao ya mbalimbali ya Nyuki kama vile Asali, nta , gundi ya nyuki , sumu ya nyuki , maziwa ya nyuki , watoto wa nyuki n.k , lakini pia kufanya ustawi...
  15. Lidafo

    SoC02 Teknolojia na Jeshi katika zama za nyuki wasio na asali

    "Mwanajeshi wa kweli anapambana sio kwa sababu anachukia kilichopo mbele yake, Ila ni kwa sababu anapenda kilichopo nyuma yake". UTANGULIZI. Natumai tu wazima na wenye shida na matatizo Mwenyezimungu awape sahali. Nimeanza na msemo maarufu wa kijeshi unolenga kutoa maana ya ni nani mwanajeshi...
  16. Poker

    Wang'atwa na kundi la nyuki wakiwa gesti wamepumzika! 🐝

    Katika hali isiyo ya kawaida bishop mmoja huko kenya amekamatwa akila kondoo wake huko guest house. Mume wa kondoo huyo alipojua kuwa mkewe atakuwa anachepuka akaamua aende kwa mtaalam aweze kumsaidia, na ndipo alipopatiwa dawa. Bishop huyo akiwa ameshazoea kula kondoo wake alienda tena gesti...
  17. P

    Mradi wa FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara) ni mradi wa kuchangamkiwa na vijana wengi

    FUNYUKI Ni ufupisho wa neno FUga NYUki KIbiashara, mradi huu unaotekelezwa na kampuni ya TANZANIA INTERNATIONAL BEE yenye makao yake Dar es salaam ni mradi mkubwa wenye subtitle ya "The beekeeping hub of Africa" Mradi una malengo makuu mawili: 1. Beekeeping transformation from local/primitive...
  18. Chipukizi

    Tunauza mizinga na makundi ya nyuki

    Kwa mwenye huitaji Tunauza Mizinga na Makundi ya Nyuki kuanzia April 18. Tutakuwepo kwenye Viwanja vya 88 Morogoro Karibu tukuhudumie Toa order yako mapema!
  19. Investdodoma

    Fursa kwa wakazi wa Dar Fursa ya ufugaji wa nyuki kwenye maeneo ya mikoko

    Fursa kwa wakazi wa Dar es salaam na Habari ndugu,napenda kuwapa taarifa kuwa kuna fursa ya uanzishaji na ufugaji wa nyuki kwenye maeneo ya mikoko Dar es salaam. Maeneo yanagaiwa kwa walio tayari kwa ufugaji na pia kwa maelezo zaidi unaweza nitafuta kwa 0762842787 kupata taarifa zinazohusiana...
  20. Tajiri Tanzanite

    Huyu nyuki bado sijamuelewa

    Hapo vipi Jana majira ya mbili usiku, nikiwa ofisini kwangu,ghafla nyuki akaning'ata katika mkona wangu wakushoto juu ya kiwiko binafsi siku muona kabisa ila nilihisi maumivu tu. Cha ajabu leo nasikia harufu ya nyuki mwilini. Binafsi nahisi sio nyuki wa kawaida -- usiku nyuki atoke wapi...
Back
Top Bottom