nyuki

Nyuki (Russian: Нюки) is a rural locality (a selo) in Kabansky District, Republic of Buryatia, Russia. The population was 249 as of 2010. There are 4 streets.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Tafadhali: Mwenye habari kamili kuhusu kuuawa kwa mwalimu huko Kinyerezi Dsm, mtaa wa Kifuru- Msitu wa Nyuki.

    Ni story ya kusikitisha. Ugomvi wa kiwanja. Nimeiona hiyo nyumba inayotakiwa kubomolewakijuujuu tu. Tafadhali mwenye picha kamili
  2. Fred Katulanda

    Bee Venom: Zao la Sumu ya Nyuki na uvunaji wake

    Nchini Tanzania ni kama maeneo mbalimbali barani Afrika, kumekuwa na ufugaji wa nyuki kwa ajili ya uvunaji wa mazao yake ili kujipatia fedha lakini bahati mbaya kumekuwa na uvunaji wa mazao machache huku mazao mengine yakiwa hayajulikani. Kwa ufugaji wa kisasa Nyuki huvunwa mazao sita ambayo ni...
  3. J

    Nyuki sio kwaajili ya asali tu!!

    Kuna mtazamo wa watu wengi sana kuhusiana na nyuki lakini kwa kifupi nataka tujifunze mambo machache kuhusu hawa wadudu na umuhimu wao sana katika muendelezo wa jamii ya mimea mbali mbali Nikuibie siri tu ni kweli nyuki wanazalisha asali lakini kuna kitu kikubwa sana wanakifanya kwa mimea...
  4. Fred Katulanda

    Fahamu mbinu ya kugawa makundi ya nyuki uliyonayo kujaza mizinga mipya isiyo na nyuki

    Habari wadau; Leo naomba nidokeze namna ya kugawa Mzinga wenye nyuki ili kujaza mizinga yako mipya isiyo nyuki kwa njia ya haraka badala ya kutumia njia ya awali ya kuwatega na kungoja waingie jambo ambalo linaweza kukuchelewesha na kuchukua muda mrefu. Kwa mnaofuga au mnaotarajia kuanza...
  5. Fred Katulanda

    Fahamu namna ya utegaji Nyuki ili waingie kwenye mzinga

    Kutega Mizinga ili iweze kuingia nyuki ni sehemu ya utalaamu unapaswa kufanyika kwa makini. Wafugaji wapya wengine wamekuwa wakitega bila kupata mafanikio kutokana na kukosa ujuzi, hapa ninawaletea namna ya kufanikisha utegaji na nyuki waweze kuingia ndani ya mzinga. Hatua za kufuata; 1. Chukua...
  6. R

    Msaada ufugaji wa nyuki

    Habari wakuu. Ninaanza ufugaji wa nyuki kwa hiyo sina uzoefu. Kuna changamoto moja nimeisikia kwamba nyuki wana tabia ya juiacha mizinga na kuhamia sehemu nyingine. Kana hii ni kweli naomba kujua mbinu za kuwafanya wasihame. Natanguliza shukrani.
  7. Livingson1

    Aina za ujasiriamali zinazoweza kumtoa kijana kimaisha

    1. ufugaji wa kuku. Ufugaji wa kuku wa kienyeji ama kuku wa kisasa. Faida zake zinatokana na uuzaji wa mayai, nyama ya kuku, kuku wenyewe, vifaranga, mbolea n.k _ Ndege wengine wenye faida kama za kuku ni kanga, bata wa aina tofauti, njiwa, kware n.k 2. Ufugaji wa mbuzi. Mbuzi faida zake...
  8. R

    Wafugaji wa nyuki naomba msaada

    Wakuu nina swali kuhusu utengenezaji wa mizinga ya nyuki. Mzinga in lazima utengenezwe kwa mbao au unaweza kutengenezwa pia kwa material nyingine kama plastic?
  9. May Day

    Kundi la Nyuki limeingia chumbani, nawatoaje?

    Nimetoka kwenye mishughuliko yangu naingia ndani nakaribishwa na mivumo ya sauti za Nyuki zaidi ya kama mia moja hivi. Nitumie mbinu gani ya kuwatoa bila kuwaua, na kama ni kuwapulizia dawa wafe basi iwe ni chaguo la mwisho.
  10. Pdidy

    Simba tulete nyuki za Gwambina tunaweza shinda

    Kama mtanzania mpenda utaifa Sioni simba kupita kwenye mechi ijayo. Nashauri kuna nyuki zinatokea kila mara mechi gwambina tunaweza waa,zima kwa mda kwenye mechi yetu na kuwarudisha. Otherwise tumwombe dk mwamposa afanye maombi sikumoja kabla ya mechi na wachezaji wapakwe mafuta miguuni...
  11. Gamba la Nyoka

    Shairi: Sisi Nyuki tunasema, tupo na Malkia wetu

    SISI NYUKI TUNASEMA, TUPO NA MALKIA WETU 1. Sisi ni nyuki wakali, Imara tumesimama Kwa dhati pia ukweli, Tutamsaidia mama Tuko ngangari kamili, Kuipa nchi heshima Sisi nyuki tunasema, Tupo na Malkia wetu 2. Malkia keshasema, tayari yuko kamili Mpole mtenda...
  12. B

    Natafuta mizinga ya nyuki

    Habari wadau, Naomba kama kuna anayefahamu namna ninaweza kupata mizinga ya kufugia nyuki. Kwa ajili ya kuweka shambani kwangu. Ninahitaji michache kama mitano hivi. Mimi nipo Dar es Salaam Ila nataka kuiweka Mlandizi. Tafadhali Kwa anayejua wapi naweza kupata naomba msaada. Asanteni sana.
Back
Top Bottom