Wakuu, hapa getho kwangu Kuna nyuki wamevamia toka majuzi,, wananifanya nisiishi kwa raha,, mama watoto wangu anashindwa kukaanga vizuri hapa kwa sababu ya hawa nyuki.
Naomba mnipe dawa au namna ya kuwaondoa hawa nyuki.
Kama Kuna dawa za kupulizia ili wasepe hapa jikoni kwangu nipeni maujuzi wadau