Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo
Ina Vyumba 2 kimoja master
Jiko,public toilet, sebule
Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20
Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa
Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000
Bei mln 19 maongezi yapo kidogo
0675 065906
Habari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri na hili lipo haswa maeneo ya uswahilini. Ifike mahala wabadilike hili jambo linakera Kwa mpangaji...
Agosti 5, 2024 kumefanyika makabidhiano ya mradi wa ujenzi wa nyumba 74 za waathirika wa maporomoko ya matope zilizopo katika eneo la Warret Wilayani Hanang kati ya Suma JKT na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara
Ujenzi umekamilika kwa asilimia mia moja (100%) ambao ulianza machi 18 2024 chini ya...
Wajameni, hebu tufanye tuko ndani na tunaishi ndani ya nyumba moja ambapo vihoja, vituko na vibwanga havikosekani!
Vingine vinafurahisha na vingine vinakera!
Haya mimi naanza…..
“Nani kala kiporo changu…, halafu mbona sioni kamba za viatu?”
MHE. WANU HAFIDH AMEIR ACHANGIA MILIONI 10 YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA RUFIJI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Unguja Kusini tarehe 30 Julai, 2024 alifungua Baraza la UWT Wilaya ya Rufiji na kuchangia Shilingi Milioni 10 kwa ajili ya kutatua changamoto zao ikiwemo kumalizia ujenzi...
Nimepata kusikia kuwa endapo nyoka akiingia ndani ya makazi ya mtu au nyumba basi njia bora zaidi ya kumtoa bila kumdhuru ni kuchoma kitu cha plastic kama mifuko au ndala na ile harufu inamfanya atoke ndani. Je ni kweli dhana hii?
Je, ni kuchoma mifuko ya plastic au bidhaa iliyotengenezwa na...
Nyumba inauzwa ipo kibaha mwenda pole. Si mbali na barabara kuu iendayo dar es salaam.
Ina vyumba 3 master 2 single Moja Ina sitting room dining room jiko store umeme maji mabanda ya kuku ya kisasa Ina tiles na madirisha ya aluminum.
Ukubwa wa eneo ni hatua 20 Kwa 60. Bei ni sh milioni 80 Tu...
Tupo kwenye mwaka mmoja na nusu ambapo kamati za miradi na ujenzi za makanisa na misikiti zinapanga mipango mingi ya kukusanya fedha kwa wanasiasa
Ni kipindi ambacho taasisi za dini uacha kuangalia uchafu wa fedha na kupima vyanzo vya fedha husika. Ni kipindi cha wanasiasa kupokea mialiko...
Pamoja na kuwa kuna wazee wa ovyo wengi ila bado kuna wazee wenye busara wengi pia.
Tuliwahi kupata msiba wa rafiki yetu ambaye alioa mke mrembo sana toka kaskazini,huyu mke alikuwa cha pombe na utulivu zero kabisa,hata kifo cha jamaa kilikuwa cha utata sana kuna watu walidai mke alihusika...
Wakuu mimi Niko hapa kwenu nawapa tip ya ujenzi hii hapa maana mimi kwenye ujenzi nmeboboa.
Kutreat mbao kwa dawa zile za kijani kijani wanazopiga wengi wauzaji wa mbao.
Oili chafu inadumu muda mrefu zaidi kuliko hizi dawa.
Ukweli ndio huo oili kwanza kadili inavyopigwa joto ndio kwanza...
Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi ila zile za hidden roof ni hatari kama ukipata fundi mbaya hizi hakuna nondo nyingi.
Kama unataka kuwasiliana na mimi 0743257669
Kujenga nyumba ya kupangisha kulingana na mahitaji ya soko la mtaa husika ni mbinu bora inayoweza kuleta mafanikio makubwa katika uwekezaji wa mali isiyohamishika.
Hapa chini kuna sababu 20 za kwa nini unapaswa kuzingatia mahitaji ya soko la mtaa husika wakati wa kujenga nyumba za kupangisha...
Nyumba (double, 2 in 1) zinapangishwa.
Ina master bedroom, sebule na public toilet, na sehemu ndogo kuweka meza ya kupikia.
Kodi ni 100,000 kwa mwezi
Eneo ni 1 km from Leganga (USA River). Iko karibu na Ngarasero Lodge
Hakuna hela ya udalali.
Kabla ya huajajenga nyumba yenye paa la kujificha ( hidden roof) soma ushauri huu👇
👉Hiddenroof ni nyumba ambazo zilikuwepo toka miaka ya nyuma hivi karibuni Zimekuja kwa Kasi.
Na zimeacha kilio kwa watu wengi, hii ni kutokana na kulalamikiwa kwenye changamoto ya kuvuja.
👉 Nyumba hizi...