nyumba

  1. HOMEX DESIGN

    Ramani, Ujenzi na Ushauri

    Vyumba vitatu, kimoja master, kimoja self, kingine single, sebule, dining, jiko, stoo na choo cha public. Kwa mahitaji ya ramani, ujenzi, ushauri n.k tuwasiliane 0719086787... Whatsapp & calls
  2. Forrest Gump

    Ukubwa wa nyumba ni 90m². Nisaidieni kujua makisio ya gharama hadi kuimaliza

    Nisaidieni kujua makisio ya budget ya nyumba hii. NOTE: *Haina fence *Vyumba vya kulala 2 *Bati migongo mipana gauge 30 *Finishing ya skimming, vinyl, w.guard *Gypsum brd, tiles, sitting toilets, kitchen set up, etc Karibuni.
  3. Manka R

    House4Rent Kodi 150,000/=

    Ipo Pugu kigogo fresh, Nyumba ina vyumba vinne vya kulala, sebule, dinning, jiko, choo&bafu ndani 0684223374
  4. E

    Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani

    Kazi kazi Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru ukubwa ni mita 20x30 ila nafasi ya kuongeza kubwa wa eneo ipo, kina faa kujenga Sheli sababu barabara kubwa ya lami itapita hapo siku sio nyingi, bei Tsh 50ML. Nina kiwanja maeneo...
  5. Fazz

    Nyumba jeneza ''coffin homes " China

    Idadi kubwa ya watu na umaskini wa kutisha unasababisha baadhi ya wakaazi wa china kuishi sehemu finyu sana ndo maana baadhi yao wakija huku wanapigana hadi na machinga wetu survive for fitness YouTube:
  6. Shooter Again

    Kiwanja hatua 15x15 kinatosha nyumba ya vyumba vitatu na sebule na choo?

    Habari za jioni ndugu zangu, Naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule jiko na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna sehemu nataka nianze ujenzi
  7. Stephano Mgendanyi

    Uhalisia wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi kwa Waathirika wa Maporomoko, Hanang, Manyara

    Uhalisia wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi kwa Waathirika wa Maporomoko, Hanang, Manyara Uhalisia wa hali ya ujenzi wa nyumba za makazi kwa waathirika wa maporomoko yaliyotokea katika Wilaya Hanang, Mkoa wa Manyara. Kumekua na wimbi la waandishi uchwara na wapotosha taarifa bila kuchukua muda...
  8. P

    Fundi rangi za nyumba naomba kazi

    Habari wakuu, Mimi ni fundi rangi za nyumba, nina uzoefu wa miaka zaidi ya 10 katika kazi hii. Ninauwezo wa kufanya kazi hii kwa ustadi mkubwa. Napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba kazi ama connection ya kazi, nawaahidi ufanisi wa kazi uliotukuka na uwaminifu mkubwa. Mimi napatikana Dar es...
  9. Hharyson

    Wale wanaopenda nyumba simple lakini classic tukutane hapa

    HII NYUMBA TULIDESIGN WENYEWE JAPO MTEJA ALIANZA UJENZI NA MTU MWINGINE THEN SISI TUKAANZA KUREKEBISHA 1. TULIREKEBISHA MSINGI MAANA ULIKUWA MFUPI SANA NA MKANDA ULIKUWA MDOGO MNO (REJ PICHA NO 1) PIA TULIONGEZA UKUBWA WA CLOSET YA MASTER NA CHOO MAANA ALIVIRUKA 2. TUKAANZA KUINUA UKUTA...
  10. Reptilia

    Kujenga msingi wa nyumba ya vyumba viwili na sebule

    Habarini wadau huko mliko , najua mambo yanakwenda SAKO kwa BAKO kwa upande wenu, Rejea kichwa cha habari hapo juu nilikuwa nahitaji kufaham je vyumba viwil na sebule kwenye msingi itanighalim shingapi ? Kulingana na eneo niliyopo nipo kahama mjin isije kuwa fundi amenipiga parefu yaani msingi...
  11. toriyama

    Akopea nyumba ya jirani Milioni 200 kwa Hati Feki. Malalamiko yalifika hadi Ikulu danadana nyingi

    Mtu mmoja ambaye ametajwa kwa jina la Mkwabi Nyanda akishirikiana na Mkewe wanadaiwa kugushi nyaraka za hati ya nyumba ya Jirani yao eneo la Kinondoni Jijini Dar es salaam na kutumia hati feki kukopea benki Jijini Arusha Tsh. milioni 150 mwaka 2016 na kisha milioni 200 mwaka 2017 na kupelekea...
  12. B

    Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba - Ep 2

    Nawasalim kwa jina la jmt... Nilileta thread hapa kuomba ushauri kuhusiana na mama mwenye wangu kunipa wakati mgumu sasa hali naona ndo inazidi kuwa mbaya yani kama moto ndo kama umemwagia petrol kibaya zaidi kashapata na namba yangu baasi ma msg kila nishamuonya suala kunitafuta mimi siitaki...
  13. matunduizi

    Kwa nini nyumba za watu wa imani hazina sehemu za ibada?

    Watu wa imani sala ndio kila kitu. Yaani wakati wasio na imani wanajisifia nyumba ni choo, wao wanatakiwa kusema nyumba ni chumba cha sala. Watu wengi wa kipato cha kati wakifikilia kujenga, ramani ni masterbedroom, chumba cha vijana wa kike, cha vijana wa kiume, choo cha ndani, sebule na...
  14. kijanamakini

    Nyumba ya Vyumba 3 inapangishwa - Nkuhungu, Dodoma (bila dalali)

    Nyumba ya vyumba vitatu. Ina store ya jikoni, ina dining area. Ipo kwenye compound yenye nyumba mbili, ila nyumba hii inajitegemea kila kitu - Umeme, na Maji. Pia kuna heater za maji ya moto. Hakuna udalali. Kodi 350,000/= (napokea ya miezi minne, tano au sita), kama unalipa ya miezi 8...
  15. B

    Msiandike mikataba ya ununuzi wa nyumba/ viwanja mahakamani, mahakimu hawaruhusiwi kufanya hivyo

    MSIANDIKE MIKATABA YA UNUNUZI WA NYUMBA/ VIWANJA MAHAKAMANI, MAHAKIMU HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVYO. Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. Nawaonya tena katika hili msiingie mkenge. Msiandike mikataba yenu ya ununuzi wa nyumba/ viwanja Mahakamani kwani inakatazwa. Huwa mnaamini kwamba ukinunua...
  16. Flexi lady

    House4Sale Nyumba inauzwa Chanika

    Nyumba iko Chanika, Talian. Ina vyumba vitatu tayari vimesimama, sebule na dining bado. Msingi umeinuliwa wote. Karibu bei ni kitongq inaanzia milion 10 tu. Mwenyewe anarudisha gharama tu za ujenzi ana shida.
  17. FK21

    Utata kwenye nyumba tuliyopanga

    kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ndugu zangu kuna mpangaji mwenzangu naona kabisa sio mtu mzuri kwanza anazungumza sana kuhusu uganga na mambo ya kuogofya kwenye simu tena kwa kupayuka kingene pindi ana hamia alikuja na vidada viwili miaka 17 na 18 tukajua ni nduguze ila sio nduguze kumbe...
  18. MFALME WETU

    Nyumba inaitajika

    Nahitaji Nyumba ya kununua ofa ni milioni 10 Lazima iwe ndani ya mkoa wa Dar. Maeneo ya Bondeni ❌ Piga simu usitume sms 0749979776
  19. Hismastersvoice

    Teknolojia mpya ya 3D kuchapa nyumba

    Dunia imeingia kwenye teknolojia mpya ya kuchapa nyumba badala ya kujenga, teknolojia hii inaitwa 3D HOUSE PRINTING, badala ya kujenga sasa unatumia printa inafanya kazi kama printa ya kawaida japo yenyewe wino wake ni kama zege! Hii mashine inamwaga zege kwa kuzunguruka kufuatana na ramani ya...
  20. H

    Napata wapi ramani ya kujenga nyumba?

    Nyumba ya vyumba vitatu
Back
Top Bottom