Baada ya Mdau kuelezea kuhusu mchakato wa kubomoa nyumba zaidi ya 100 zilizopo Mapinga Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani, Serikali imechukua hatua ya kusitisha mchakato huo, malalamiko ya awali soma hapa ~ Nyumba zaidi ya 400 za Mapinga (Bagamoyo) kuwekewa X ili zivunjwe kuna harufu yenye shaka...
Unakutana na kundi la vijana wamevaa kanzu na kobazi wanakutaka uchangie ujenzi wa nyumba ya ibada huku mkononi kabeba karatasi yenye majina.
NB: Hawana utambulisho wowote
Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
Kwenye nyumba nyingi kuna ratiba ya kufanya usafi kama vile usafi wa chooni ,kufagia uwanja n.k
sasa vipi wewe uliko panga je utarabu huo upo na unafuatwa kama ulivyopangwa,share nasi hapa
Ushawahi kujiuliza nchi ughaibuni kuna vituko vingi vya majini kuliko mikasa ya hapa. Na rafiki yangu ni mganga ambaye hupata safari nyingi nchi za kiarabu kwa ajili ya kwenda kupambana nayo.
Unaambiwa alifika Oman ile nyumba walikuwa wana naswa vibao sana na hawafahamu ni nani na kila mtaalamu...
Kwanini kipindi chote raia wanajenga Nssf isiwastopishe?
Mmeacha mpaka watu wamemaliza ujenzi na kuamia katika makazi yao alafu leo hii nyumba zote zimewekwa X-Bomoa!
Muda wote mlikuwa wapi kuzuia watu wasijenge kwenye hayo maeneo?
Naomba serikali iangalie kwa jicho la pekee wananchi wake...
Anonymous
Thread
bonde la mto mzinga
bonde la mzinga
kero
magorofa ya nssf
malela
mzinga
nyumba
tuangoma
uvunjaji wa nyumba
Habari
karibu CHAMPION PAINT SHOP ni wauzaji wa rangi za nyumba, pia tuna mashine ya kuchanganya rangi mbalimbali Kwa kutumia kompyuta, BEI ZETU ni nafuu sana tunapatikana Mwenge-Lufungira
Karibu sana
mawasiliano 0789 026 963 calls & Sms
Whatsapp 0715 128 827
Location: Michamvi, Unguja, Zanzibar karibu na Karafuu Hotel
Price: 33,000,000/= Tshs
Contact: +255742004658 (WhatsApp only)
•Ina vyumba viwili na vyote ni self-contained
•Sebule
•Dining room
•Jiko
•Kifusi ndani kishajazwa
•Shimo la choo tayari limechimbwa
Wananchi wa Jimbo la Sengerema kata ya KISHINDA Kijiji cha TUNYENYE wamekaidi agizo la Mheshimiwa Mbunge wao Ndugu Hamis Tabasamu Mwagao kubomoa Nyumba zao kwa hiari.
Hii ni kutokana na ukweli kuwa,kuna upanuzi wa barabara inayoendelezwa na (TANROADS)ambayo ilikuwa chini ya TARURA...
Wakuu kuna biashara nimefungua sehemu lakini unashinda siku nzima hujauza hata mia.
Location ni nzuri ni karibu na center kubwa kabisa.
Hizi fremu watu hawakai huwezi kuta mtu amemaliza haya miez 6 .
Nimekuja kuanza kusikia maneno baada ya kuchukua fremu kwamba mwenye napo kuna vitu amefanya...
UTANGULIZI
Ningependa kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii muhimu kwa kuleta mapendekezo na mawazo bunifu yatayoimarisha nchi yetu kwenye sekta ya nyumba na makazi bora kwa raia wa Kitanzania.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi, hii inafanya kuwa na ongezeko kubwa la...
Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo.
Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya nyumba utakayo kuwa umechagua.
KARIBUNI.
WHATSAPP: 0755325977
Ndugu wajumbe,
Naombeni ushauri wa namna nzuri (economically optimal) ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu. Nalenga kupangisha wanafunzi wa chuo/shule, mabachelors, na watu wanaoanza maisha - mfano, mke na mme au mke mme na mtoto mmoja.
Je, naweza kujenga nyumba ya kupangisha kulenga...
FOR RENT - TSHS 300,000
NYUMBA VYUMBA 2 VYA KULALA NA SEBULE JIKO LA WAZI NA CHOO NDANI.
MAELEZO ZAIDI - 0679268006
Ipo Mbezi beach Makonde, umbali wa kutembea kutoka kituo cha daladala.
Maji bomba ndani, luku yake, Parking ipo.
Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga
nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
naombe ushauri wenu.
Nyumba za ibada kwa maana ya makanisa na misikiti ni sehemu ambazo waumini wa dini kuu mbili yaani wakristo na waislamu hukutana katika siku zao maalumu kwa ajili ya kufanya ibada na mikusanyiko mingine. Kwa kipindi kirefu nyumba hizi zimekuwa na mchango mkubwa katika jamii kwa kushiriki moja...
Hello wadau wangu najua wengi wanapenda kujenga nyumba nzuri lakini huwa hatuna bajeti ya kutosheleza nikushauri kama mmoja wapo
Jipatie mashine ya kutengeneza tofali za interlock bei zetu ni za kawaida sana
Hizi tofali ni za udongo zikiwa na muonekano mzuri sana huna haja ya kuskimu nyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.